DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Je huwa mnapata faida gani kufatilia habari Ambazo haziwahusu na kushangilia aliyakuwa nyie mpo huko buguruni mnashida ya Umeme na MAJI.Et na ww unajihita GT humu, unafikiri kwa mawazo yako haya utafanikiwa japo hata kurejesha inchi moja ya ardhi iliokwisha kuchukuliwa na Israel?
Tunasubiri kuona kati ya Iran na Israel nani ana majeshi waoga, wamevizia raia wameua wamebaka wameteka wazee, watoto, wanawake sasa wamefikia wapi?
Ardhi tayari imerudi? au ndo Gaza inaenda kunyakuliwa na wanaume, mimi na wewe tusubiri tuone huo uoga usemao ok
Tufanye ndio sio kwake naomba ujibu maswali haya yafuatayo halafu kumbuka hata Marekani asili yao kwa wahindi wekundu ,Wangoni Songea si kwao ,Wanyaturu kiasili sio wazawa wa Tz..Hatuwezi ongea lugha moja sbb
Kila mmoja anatetea kutoka Kona tofauti!
Kuna hii ya Imani
Na Kuna wengine hawaangalii hii....shida Iko hapa kwenye tofauti!
Mi nikisoma kitabu Cha Hesabu 33 pale , Palestine sio pake hapo!
Haya ukija kwenye siasa huku nako Kuna sbb zao, Bado hujaenda Imani ya Muslim.
Ndo maana Hawa watu Mungu pekee ndo atamaliza hii, na hii haitakaa iishe mpk Yesu anarudi,itakua unapumzika tu ...
Acha unafiki hayo ni matokeo ya mbegu za chuki na mateso waliyopitia Wapalentina ,mbona kabla ya utawala wa Kizayuni walikuwa hapo wanaishi flesh pamoja na Wapalentina na Waarabu wakati wakibaguliwa na kuteswa ulaya ?Yet again they call themselves victims.
These people have no remorse for human life and human suffering.
Peak Hypocrisy.
Ukiwa haujapitia vitu hivi utaona kawaida ,unadhani hata wanakuwa Waasi na MaPirate wanapenda ? katika maisha mtu kuna vitu unafanyiwa mpaka unajioa sio mwanadamu na unakuwa tayari kwa lolote lile .Uvamizi wa Wazayuni umesababisha familia nyingi za Kipalestina familia zao kutetea,mali zao nk.Yet again they call themselves victims.
These people have no remorse for human life and human suffering.
Peak Hypocrisy.
Amen 🙏. Kushabikia vita ni ujuha wa hali ya juu sana.Sisi watu wenye UPENDO na hekima tunawaombea Amani Mungu awe upande wao natamani kuona mataifa yote Duniani watu wakiishi bila Vita.
Hahahahaha. Mayahudi ndo nini mkuu. Ni hivi, Israel amepigwa ambush kali sana, ameumizwa, walio upande wa Palestine wamefurahi. Lakini kifuatacho ni kigumu sana.Viarabu ndio lugha gani mkuu? Pole sana
Natamani sana ningekuwepo huko nikaunganenao, watu kama wewe nikuone umejitokeza kuwasaidia hao mayahudi aise mkuu sitaangalia umetoka huku, hahhaaa
Yalikuwa Kwa mabwana zao Ulaya huko kuliwa.Tufanye ndio sio kwake naomba ujibu maswali haya yafuatayo halafu kumbuka hata Marekani asili yao kwa wahindi wekundu ,Wangoni Songea si kwao ,Wanyaturu kiasili sio wazawa wa Tz..
Maswali yangu ni haya ;
1.Walikiwa wapi mpaka Palestine walipotawala nchi na kuwa pure Arab county ?
2.Je walitolewa na Wapalentina hapo katika Ardhi yao ?
Mateka ni WapalestinaHawa ni raia wa upande upi?
Nani apewe Haki Sasa ?mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Ndo maana miye nasema wao na waparestina wapigane nyuklia wafe wote tuongee mambo mengine ya maanaDah moyo umeniuma sana halafu ubaya ni kwamba unamtesa mtu hata hahusiki,wazayuni ni Makatili yaani kupewa akili nyingi kumewafanya wawe na kiburi kupitiliza. I
ts pathetic
Kwa nini aliwasaga Mayahudi? Au maigizo?Za ndani kabisa wanasema Adolf nae alikuwa yahudi
Sasa wanakufa wa upande mmja wasio na Msaada.Wafe wote Hawa kenge waparestina na waisrael