DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Je huwa mnapata faida gani kufatilia habari Ambazo haziwahusu na kushangilia aliyakuwa nyie mpo huko buguruni mnashida ya Umeme na MAJI.Et na ww unajihita GT humu, unafikiri kwa mawazo yako haya utafanikiwa japo hata kurejesha inchi moja ya ardhi iliokwisha kuchukuliwa na Israel?
Tunasubiri kuona kati ya Iran na Israel nani ana majeshi waoga, wamevizia raia wameua wamebaka wameteka wazee, watoto, wanawake sasa wamefikia wapi?
Ardhi tayari imerudi? au ndo Gaza inaenda kunyakuliwa na wanaume, mimi na wewe tusubiri tuone huo uoga usemao ok