LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
- Day 2 of conflict in Gaza.

In the Fight:

  • Israeli army targets Hamas intelligence chief's home.
  • Hezbollah strikes Israeli sites.
  • Palestinian health authority reports 313 deaths, 1990 injuries.
  • Over 600 casualties in Israel, 2048 wounded, and more than 100 taken as prisoners.
  • Hamas continues fighting within Israeli cities.

Diplomacy and Politics:

  • Israel's Security Cabinet authorizes the war.
  • The US hints at military support for Israel.
  • UN Security Council holds emergency consultations.
  • Egypt, Saudi Arabia, and Jordan work to stop the conflict
 
Israeli Armor including Merkava Mark lll and lV Main Battle Tanks as well as a number of Self-Propelled Artillery Batteries have begun to arrive at “Staging Areas” in Northern Israel near the Border with Lebanon, in order to Defend against any Aggression that is launched by Hezbollah.
 
IDF says it carried out widespread strikes in the Gaza Strip overnight, "to critically harn the abilities of the Hamas terror group."
 
🇮🇱 Israel's History of Conflict:

Israel has faced numerous conflicts since its 1948 establishment:

  • 1948 Arab-Israeli War: Birth of Israel, Palestinian displacement.
  • 1956 Suez Crisis: Israeli victory, foreign forces exit Egypt.
  • 1967 Six-Day War: Israel gains territories.
  • 1973 Yom Kippur War: Ceasefire, partial territory return.
  • 1982 Lebanon War: Israeli withdrawal, PLO relocation.
  • 2006 Lebanon War: UN ceasefire, peacekeeping forces.
  • 2008-2009 Gaza War: Ceasefire, tense Gaza situation.
  • 2014 Gaza War: Ceasefire, ongoing Gaza tension.

These conflicts have complex legacies impacting both Israelis and Palestinians
 
Nikisomaga hizi nukuu kutoka kwenye bibilia huwa napata wakati mgumu sana kuamini bibilia ni kitabu kiichobeba maneno ya mungu
 
Ukiona chuki inaddhidi kuwa kubwa kwa wayahudi ujue ndio ule wakati wa mataifa mengi kushikwa na hasira na kuungana kwenda kupigana vita nayo, ile vita kuu iitwayo harmagedoni. Itakuwa ni vita mbaya sana kwa maiti nyingi kuzagaa bila kuzikwa. Zitatumika silaha kali za kisasa za maangamizi makubwa zikiwemo nyuklia. Usiwe na chuki dhidi ya wayahudi utakuwa sehemu ya kupigana vita hiyo
 
Usiwe na chuki dhidi ya wayahudi, unaonekana we ni wa dini ile inayowachukia wayahudi na kuwaita mayahudi
 
Nilicomment huko nyuma sijui ni post number ngapi ila ukitizama katika profile yangu utaona nimeelezea habari hiyo kwa ufupi, ila waisraeli hawana usuperior wowote juu ya wanadamu wengine.
Wanaowatukuza ni Hawa wakristo......wasijue kwamba waisrael sio wakristo ila wapalestina Kuna wakristo wengi tu....
This world is sick
 
The IDF spokesperson has said that Israel is currently cooperating with the U.S. Military in the terms of general operations and intelligence.

If there are attempts by Iranian proxies to act, it may lead to a U.S. attack.
 
HABARI ZA MOJA KWA MOJA KUTOKA MEDANI YA KIVITA TEL AVIV NA GAZA PALESTINE


Kombora likilipuka eneo la Gaza usiku wa jumapili

09 Oct 2023
Wakuu heshima kwenu.
Habari Za hivi punde kutoka uwanja wa kivita zinadokeza kuwa watu 700 wameuliwa upende wa Israeli huku watu 400 wakithibitika kuuliwa upande wa Palestine. Hospitali za mjini Gaza zimefurika maelefu ya majeruhi. Mpaka kufikia asubuhi ya Leo tayari zaidi ya wapalestina laki moja wamekimbia makazi yao.

KUTOKA TEHRAN HIVI LEO
Iran "haikuhusika" katika shambulio lililotekelezwa na wanamgambo wa Hamas kusini mwa Israel, ujumbe wake katika Umoja wa Mataifa umesema.

"Tunasimama kwa nguvu katika kuunga mkono Palestina; hata hivyo, hatuhusiki katika shambulio la Palestina, kwani linatekelezwa na Palestina yenyewe," ilisema katika taarifa ya Jumapili, kulingana na Reuters

MELI YA KIVITA KUTOKA MAREKANI IMEWASILI KARIBU NA ISRAELI LEO

Meli ya kubeba ndege ya USS Gerald R. Ford inaelekea eneo hiloImage caption:

Marekani inasema inahamisha shehena ya ndege, meli na jeti hadi mashariki mwa Mediterania na pia itaipa Israel vifaa na risasi zaidi.

Hii inafuatia shambulio la Hamas kusini mwa Israel, ambalo Rais Biden aliliita "shambulio lisilokuwa na kifani na la kutisha".

Marekani pia ilikuwa ikifanya kazi ya kuthibitisha ripoti kwamba raia wake walikuwa miongoni mwa waliouawa na kuchukuliwa mateka, Waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken amesema.

Israel inasema zaidi ya watu 700 wameuawa na 100 kutekwa nyara.

Mjini Gaza, zaidi ya watu 400 wameuawa kufuatia mashambulizi ya anga ya kulipiza kisasi ya Israel, kulingana na maafisa wa Palestina.

Waziri wa ulinzi wa Marekani Lloyd Austin alisema meli ya kubeba ndege ya USS Gerald R. Ford, meli ya kubebea makombora na zana za kuharibu makombora vimepelekwa katika eneo hilo. Ndege za kivita za Marekani pia zinapelekwa Gaza.

Misaada zaidi ya kijeshi kwa Israel itatumwa katika siku zijazo, Ikulu ya White House ilisema.

Rais wa Iran Ebrahim Raisi ameeleza kuunga mkono shambulio la Hamas akisema Israel inapaswa kuwajibika kwa kuhatarisha eneo hilo.
October 11, 2023

Hali ya kibinadamu ya Gaza inazidi kuwa mbaya, huku Israel ikitarajiwa kuanza mashambulizi ya ardhini​

Huku Gaza sasa ikiwa imezingirwa kikamilifu na wanajeshi wa Israel na baada ya siku tano za mashambulizi ya mabomu, hali ya kibinadamu inazidi kuwa mbaya.
Umeme ulikatika leo baada ya kituo pekee cha umeme katika eneo hilo kukosa mafuta. Hospitali, ambazo zimejaa maelfu ya majeruhi, zinasema zinakosa dawa.
Umoja wa Mataifa unasema watu nusu milioni wa Gaza hawajapata mgao wao wa chakula tangu Jumamosi. Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kuanzishwa eneo la kibinadamu. Afisa mmoja wa Misri aliiambia BBC kwamba serikali mjini Cairo ilikuwa katika majadiliano na pande zote kujaribu kuruhusu msaada kuingia Gaza kupitia Misri hata kama ni kwa saa chache tu.
Wakati huo huo, kuna matarajio makubwa kwamba Israel hivi karibuni itaimarisha zaidi operesheni yake kwa mashambulizi ya ardhini.
Msemaji wa Israel alisema vikosi, ikiwa ni pamoja na askari wa akiba 300,000, walikuwa karibu na mpaka wakijitayarisha kwa kwa mashambulizi, ili kuhakikisha kwamba kunakuwa na "mwisho wa vita hivi Hamas hawana tena uwezo wowote wa kijeshi".
Kwa idadi ya watu waliouawa na Hamas mwishoni mwa juma ambayo sasa inajulikana kuwa zaidi ya 1,200, ujumbe huo utakuwa na uungwaji mkono mkubwa wa umma wa Israeli
 
Kuamua ile ardhi inayogombaniwa kati ya Israel na Palestina ni ya nani ni suala gumu kulitatua

Mwaka 70 A.D Waisraeli walitawanyika kutoka hapo wakati wa utawala wa Roma pakabaki hapana mmiliki (maandiko yanasema palibaki ukiwa)

Wapalestina wakaingia kwenye ardhi hiyo wakaanza kuishi hapo vizazi na vizazi

Miaka 2000 baadaye yaani 1948 Waisrael wanarudi kutwaa eneo hilo wakisema ardhi ni yao na kuanzisha taifa la Israel.

Ugomvi unatokea kati ya Israel na Palestina kila mmoja akidai ni eneo lake

Ikiwa wewe ungepewa kesi hii uisuluhishe ni nani ungempa umiliki halali wa eneo hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…