ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Huyu ambaye yupo ana enyeshwa na wahuni wa hama wasio na chochote zadi ya bunduki na viroketi ndo aje amusumbue Iran?ππππππmuajemi ni takataka tu kwa israel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ambaye yupo ana enyeshwa na wahuni wa hama wasio na chochote zadi ya bunduki na viroketi ndo aje amusumbue Iran?ππππππmuajemi ni takataka tu kwa israel
Tujifunze kama yepi mkuu,vita havifai!Tulipigana na uganda,mpaka sasa tunalalamikia uchumi!Sio kuchekelea isipokuwa tunatakiwa tujifunze mengi katika mzozo huu
Unafikiria kwa kutumia ubongo ama unatumia Lokasa ya mbongo, hao matajiri wanaoshikiria uchumi wa USA ni Jews. Hii mijamaa inamiliki technology ni mitajiri haswaaa, ipo katika jangwa ila ni hodari kwenye kilimo.Huwa tunaikuza sn israel hila bila misaada na mikopo hata mishahara ya wafanyakazi itawashinda sasa km battle na hamas wameomba msaada halafu ndio huwa wanataka kushambulia iran
Tujifunze mtu anapopigwa kwa ghafla kizunguzungu kinchompata mpaka anaropokwa.Tujifunze kama yepi mkuu,vita havifai!Tulipigana na uganda,mpaka sasa tunalalamikia uchumi!
Zile meli za USA zilizosogezwa Sio kwa ajili ya magaidi ni kwa ajili ya taadhari mfano ikitokea nchi za kiarabu zikiinuka zote kuingia vitani.Acha kujifariji trip hii Israel kaya kanyaga kasha anza kuomba msaada wa silaha kutoka kwa shoga mkuu wa dunia wakati vita ndo ina siku mbili tu.
Kwani Hamas hajaomba? Hujaona barua yao kwenda UN?Acha kujifariji trip hii Israel kaya kanyaga kasha anza kuomba msaada wa silaha kutoka kwa shoga mkuu wa dunia wakati vita ndo ina siku mbili tu.
SawaTujifunze mtu anapopigwa kwa ghafla kizunguzungu kinchompata mpaka anaropokwa.
Vifo vinavyo ripotiwa kutokea gaza ni maiti zikizopatikana, kumbuka kuna nyumba, mahorofa na misikiti vimeshushwa vizima kama vilivyo na vimebaki vifusi na hakuna uokozi unaoendelea. Siku ya kuja kuvufukia ndiyo namba ya waliofarika itapatikana.Aisee! Kama Hamas waliua raia, ina maana wametoa tiketi ya Israel kuua raia pia?
Yeah, nimechanganyaKabla ya 1947 nadhani ulitaka kumaanisha
π afu siku zote huwa inaingia kumsaidia Israel nasikia ndege zake zinashambulia gazaπ€£π€£π€£Marekani kwa mikwara tu hawajambo, kwanini hiyo aircraft carrier wasiipeleke black sea kwanda kuongeza nguvu kwa Ukraine
tulia uone magaidi wakipata kichapo cha mbwa kokoAcha kujifariji trip hii Israel kaya kanyaga kasha anza kuomba msaada wa silaha kutoka kwa shoga mkuu wa dunia wakati vita ndo ina siku mbili tu.
Usishangilie mkuu.Kikubwa ni kuombea amani irejee.Naunga mkono hoja Israel anepelekewa moto
Ndugu zako wanalia huko hawana silaha, kakikundi kadogo ka hamas kanawatoa kamasimuajemi ni takataka tu kwa israel
Hahahah mnachimbana bitiWewe Mbwa usinizoee, Mimi sio saizi Yako wewe Malaya. Stop it otherwise nitakufanyia kitu
Wlitaka wagawe ziwe nchi mbili kutoja nchi ipi?.Warabu ni wajinga kumbuka UN 1947s walitaka kugawa nchi hiyo iwe nchi mbili Israel na Palestina, Israel walikaribisha mpango huo ila sasa muarabu akisapotiwa na muarabu wa mbali alikataa.
For now hata huo mpango haupo tena, kifupi no nchi ya Palestina, ebu tuone hatua zinazoenda kuchukuliwa na makomandoo wa pande zote mbili ok
Inasikitisha sana kuona binadamu tumefikia hapa.Baadhi ya Waisraeli waliouawa na Hamas Kusini mwa Israel
View attachment 2776327
View attachment 2776329
View attachment 2776330
View attachment 2776331