Ndio nashangaa cku ya pili hana silaha ikipigwa week itakuaje na hapo anapigana na kikundi tuh likiingia jeshi la iran itakuaje?Acha kujifariji trip hii Israel kaya kanyaga kasha anza kuomba msaada wa silaha kutoka kwa shoga mkuu wa dunia wakati vita ndo ina siku mbili tun
Ujue shida hapa Kila mmoja ataongea na kutetea hoja kutoka Kona tofauti.Si kweli mkuu, yaaqub mwenyewe ambaye ndio israeli alikaribishwa na waarabu wa kanaan hapo palestine na mmoja wa wake zake ni mkanaani, hawa waarabu ndio wenyeji wa mahali hapo tangu kale.
Na ukumbuke hiyo ni ardhi takatifu, mpaka walipoandikiwa kuingia hapo kutoka misri utumwani miaka zaidi ya 400 toka kufa kwa yuusuf amani iwe juu yake, na walikataa.
So kwa asili wakanaani wametangulia hapo kabla yaaqub baba wa waisraeli hajafikiriwa kuzaliwa.
Wayahudi dini yao ni hio hio tangu enzi izo za kina musaIsrael Kuna dini tofauti km ilivyo mataifa mengine.
Dini ya kiyahudi, Muslim
Cha kushangaza ni kuwa, raia wa Palestina wananufaika sana na Israel ikiwemo fursa za kazi na huduma bora za afya. Imagine kwa hapa Bongo ukihitaji top notch treatment mnachanga ndugu na jamaa na wananchi ili uende at least India, ila Wapalestina ni suala la kupata tu entry unapata world class service. Ni hawa HAMAS wanawaharibia raia na kuwajaza chuki za kijinga, otherwise ni neema kubwa sana kuwa jirani na Israel, maana by nature Israel hawavamii ila wanarespond kwenye uvamizi, ila response yao sasa utaona rangi zote.Mimi Muislamu na nakubali kuwa chini ya utawala dhalimu wa serikali ya Israel Wapalentina wamepata madhila makubwa ya ukatili ,mauji nk ila siafiki mapambano yao ambayo yanazidisha hasara kila siku.
Wangeishi hivyo hivyo kwa amani ya uongo huku wakiendelea na maisha yao na wakijipanga kwa mipango madhubuti kisha kuibuka kuliko hivi sasa .Hata Israel mpaka kufika hapo walikuwa na mipango na mikakati ya muda mrefu na madhubuti sio kurupu kurupu kila siku mtaishia kupigwa na kuuwawa maelfu ya Raia.
Hujasoma biblia labda. Ni taifa teuleWayahudi dini yao ni hio hio tangu enzi izo za kina musa
Wameletewa mitume kibao wamewakataa na kuwatesa afu leo mseme hao ni taifa teule c uchiz utakua
Ni kwao, ni translation tu za watu wakiongea kwa kuongozwa na mahaba yao binafsi. Isreal home is right where they are tena tangu kuumbwa kwa ulimwengu.Mnaposema Israel hapo sio kwao kwani kwao kabisa ni wapi?..
Kumbuka hakuna jamii isiyo na kwao
Hawa wakristo wafuasi wa Paulo huwa wabishi sana dunia nzima inajua ndege za US zinapiga gaza mwache ajifurahishe tu.Kwa hiyo unakataa kuwa Israel haijaomba msaada.
Hapana jiwe litasalia juu ya jiwe jingine nakwambia. Safari hii HAMAS wamechemka sana. Wanaumiza tu watoto kwa kufanya maamuzi ya kizembe kama haya.Gaza si itakuwa kifusi Sasa naona majengo yanashushwa sekunde
Sidhani km ambao wako upande wa Israel wote ni wakristo!Hawa wakristo wafuasi wa Paulo huwa wabishi sana dunia nzima inajua ndege za US zinapiga gaza mwache ajifurahishe tu.
Nchi yangu haina changamoto, tusipangiane maisha. Mimi nikitatua za zangu inatosha.Nguvu uliokwisha tumia hapa bibie, ungeielekeza kwenye kutatua changamoto za nchi yako nafikiri saiz tungeshapata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.