LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Haya niwaulizeni mliokua mnashabikia kuwa eti kuwa Gaza itageuzwa majivu na wapalestina wanaenda kufutwa mko wapi?Yashapita masaa 48 sasa

Ni kipi Israel wameweza kufanya cha maana?

Taifa teule la Mchongo haya uko wapi usuperpower?

Tuliwaambia Israel sio chochote wala lolote mkabisha

Waisrael karibia 1000 washauawa sasahivi wanatapatapa kupiga majengo na open space tu??

Hawa ndo wale mnasema wangekua na ubavu wa kuishambulia Iran au kupigana na Hezbollah?

Taifa linalopewa misaada ya hali na mali linachakazwa na vitoto ya Hamas ambao hata 3000 hawafiki

Ndo maana Snowden alisema Israel sio lolote bali linakuzwa kwa propaganda tu

Mambo mengine ni fedheha tu na vichekesho imagine kamanda wa jeshi komandoo nzima anadakwa kizembe hivi na Hamas[emoji1313][emoji1313]

Mko wapi mliokua mnasema Hamas na Palestine inaenda kufutwa??
 
Aisee kwahiyo unaamini Israel ni ardhi ya wapelestina?

Israel ni kaanani,hawataondoshaa ht hao hamars wapigane vipi!

Tupo hapa, tusubiri matokeo
 
Unapomwambia atumie akili unamkosea sana mkuu what if kama hizo akili zenyewe hana?
We kiazi , comment unaipita kama huioni umeamua kukimbia majadiliano kutokana na umbumbumbu wako.

Siku nyingine usijifanye mjuzi kwenye mambo ambayo hauyajui wakati kichwani mwako umebeba karo la choo.
 
Sidhani km ambao wako upande wa Israel wote ni wakristo!
Pili hata hiyo hamas Ina watu nyuma yake, so ngoma droo

Nasubiri mwisho wa haya...
Hata Quran haikuwasema wakristo wote ni wafuasi wa Paulo hivyo naongelea wafuasi wa Paulo si wafuasi wa Yesu.


Turudi kwenye mada Hezbullah anasema US hana kitu cha kumtisha kisha mchapa leo Israel tena pale Sheba firm's hayo tuone kama US ataipiga Hezbullah ๐Ÿ˜‚
 
IDF spokesman Rear Adm. Daniel Hagari says Israeli troops have regained control of all towns on the Gaza border. He says incidents of clashes between troops and Palestinian terrorists in the last few hours have been "isolated." Hagari says in the Shaar Hanegev Regional Council three terrorists were killed by troops; in Be'eri another was killed; in Holit and Sufa another five were killed; and in Alumim four were killed. He says that currently, there is no fighting in any of the towns."It is possible there are still terrorists in the area,".
Hagari says the breaches in the Gaza border barrier will be physically secured by tanks, and supported by combat helicopters and drones. He says the army has evacuated 15 out of 24 towns on the border, and will continue to evacuate the others in the coming day. Sderot will not be evacuated at this stage, he says. Hagari says some 4,400 rockets have been launched toward Israel since the fighting started on Saturday morning.
Regarding the draft of reservists, Hagari says the IDF "has never mobilized so many reservists so quickly, 300,000 reservists in 48 hours."
 
IDF spokesman Rear Adm. Daniel Hagari threatens Hamas's leadership.

"Yahya Sinwar is the commander of the campaign, and is a dead man," Hagari says in a press conference.

"Its military and political leadership, all of its assets, are attackable, and doomed," he adds.
 
Mkuu hiyo tangu enzi na enzi Israel ndo hiyo Kauli yao ni kuteketeza Kila kiumbe haijalishi n Mnyama au Binadamu mtoto kwa Mkubwa!! Ukisoma history yao ndo hivyo, hata Sauli aliagizwa na Mungu ateketeze Kila kitu katika Nchi Ai lakin akaacha wananya Mungu alichukia sana.
Kwaiyo wao Kuua ni jambo la kawaida na kuawa kwa ajili nchi ni kama ufalme. Wao wapo tiari
 
Safari hii Gaza inarudi kwa watoto wa Yakobo. Mungu ibariki Israel, walinde watoto wa Yakobo.
 
Hiyo history niliyoeleza ndio certified zaidi na yote haya yameandikwa na kuhakikiwa katika ุชุงุฑูŠุฎ
ุงู„ุฃู…ู… ูˆ ุงู„ู…ู„ูˆูƒุŒ ุงู„ุจุฏุงูŠุฉ ูˆ ุงู„ู†ู‡ุงูŠุฉ, na vitabu vingi vya kutegemewa.
 
Aisee kwahiyo unaamini Israel ni ardhi ya wapelestina?

Israel ni kaanani,hawataondoshaa ht hao hamars wapigane vipi!

Tupo hapa, tusubiri matokeo
Acha kutuletea hadithi za kitabu chenu maana si kila mtu anakiamini.

Mpaka iliyo wekwa na wakoloni hieshimiwe ,hata nchi yako ilisha pigana vita na Ugada baada ya kukiuka mipaka iliyo wekwa na wakoloni, hivyo wapalestina wana haki ya kupigania taifa lao.
 
Mi nakwambia ukweli unakuja na ghadhabu, kutokujua kitu haimaanishi unachodhani ndicho. Jifunze uishi kwa amani. Hizi hasira si uende ukasaidie hamas vita tu.
 
Nimefuta kauli sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ