LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Imezuia makombora mengi
 
Baada ya magaidi aliyoyafadhili kufurushwa na kuuliwa anapiga mkwara kama kibisa ndani ya shimo Hazbullah wameshatulizwa sasa hivi Hamas inapokea kichapo cha mbwa koko. israel ipo busy kuifuta Hamas kwanza round inayofuata ni yeye
 
Mbona mnaandika kwa lugha ya kigalatia badala ya ile lugha yenu pendwa iliyokuwa inatumiwa na mudi?
 
Hii vita ni kati ya Iran na dunia ya magharibi na USA. Palestina na Hamas ni kama chambo tu ya Iran kutest mitambo yao ni kama ilivyo kwa Ukraine na Rusia ukiangalia ni vita kati ya Rusia na dunia ya magharibi
 
Mkuu waeleze hawa wapumbavu wanafikiri vita imeshaanza hawajajua kuwa Hamas inaenda kufutika kama ilivyokuwa kwa kaka yao Al-queda
 
Vita ya Iran na Israel wala haitotumia muda mwingi. Israel haiwezi afford kupambana fronts nyingi mipaka yote ndio maana ilitengeneza bomu la nyuklia. Kwanza haina population hiyo kuwezesha mobilization hata sasa Waisrael waliokuwa nje ya nchi ndio wanarejea kuongeza nguvu jeshini.

Hapo ni few nukes kuzuia capability ya cruise na ballistic missiles za Iran wanabaki wapiganaji jihad ambao ni maroketi madogo na risasi.
 
Jana tu wamewauawa raia wake watano ambao waliwaokoa mateka kwa Hamas kwa hasira baada ya hao raia kusema hawaiungi mkono Israel tena

Jana wanajeshi wake wamejibizana kwa risasi na kufa wanne papo hapo kwa kile kinachoonyesha ni mabishano na migawanyiko katika jeshi la Israel

Leo wamefanya mashambulizi ya Anga Gaza wakauwa raia wake wanne waliokua mateka Gaza

Huu utawala umeanza kuchanyikiwa wanahaha hawana pa kushika, Mliokua mnasema hawa jamaa ni taifa teule mko wapi[emoji23][emoji23]

Ni mwendo wa kichapo tu hadi Netanyahu akimbie nchi

BREAKING | Al-Qassam Brigades spokesman Abu Obaida: "Israeli occupation's airstrikes on Gaza last night and today have killed 4 Israeli enemy prisoners in our hands and some of the resistance fighters guarding them."
 
Unafikiri Iran hana hizo silaha za maangamizi?Unafikiri wangekua na jeuri ya kuwavimbia Wamarekani na Waisrael feki?
 
Sasa hilo zahama linalowaangukia wanajuta ukanda wa gaza utakuwa kifusi
 
Mikwala kama ya Putin mwanzoni mwa vita
 
Ahaa, kumbe chanzo cha habari yako ni hao hao Wapalestina wanaopigwa!
Kama hujagundua, hiyo ni janja ya wapalestina hao Al-Qassam ili kuitaka Israel isitishe kuwapiga kwa kuhofia kuwaua mateka. Kwa ufupi hiyo ni propaganda ya kutaka kupunguziwa kipigo, ambayo hata hivyo imegonga mwamba
 
Hao Magaidi wa hamasi wamejichanganya na raia haswa waliowateka. Hivyo hilo sio jambo la ajabu kutokea. Huijui vita wewe.
Kipindi Cha vita ya Iddi Amin Watanzania walitingua ndege Yao wenyewe kwa bahati mbaya kama hizi, Lakini bao Amini alitandikwa mpaka arabuni.

So endelea kishangilia upumbavu.
 
Unajua nini bibie, unaboa sana yaani, una propaganda ambazo hazisaidii Palestina bali Iran, acha kupotosha mnatumika kwa mgongo wa uislam kuwachonganisha watu wa Gaza na Israel, je ni kwa faida ya nani wewe au Iran?

Watu wa Gaza wanataabika, Gaza wanapitia makali toka enzi na enzi ila nyie kwa kujidahi ni waislam wa Iran hamtaki watu wa Gaza kwao kuwe na amani hata kidogo najiuliza ni kwa faida ya nani?

Gaza imezingirwa, raia wanatembezewa kichapo in so called ulipizaji kisasi lakini waliofanya ugaidi sio watu wa Gaza ni Iran na kikundi chake kwa maslahi yake na sio. maslahi ya watu wa Gaza.

Ebu tutolee ujinga wako huu hapa, washia ni watu wajinga sana, sasa nendeni mkawaokoe watu wa Gaza, tunafuatilia media zote Gaza hali ni mbaya zaidi ila sasa unachokileta humu........!!!
 
sawa ustadhati tumekuelewa. ombea afhghnstan watu wanakufa sana kuna maafa usishabikie sana vifo vya waisrael.
 
Nikusahihishe tu, Israel sio taifa la Kikirsto. Usiwe mjinga kama umati wa Mudi
 
Dunia nzima imeshuhudia Israel ikichokozwa na Wapalee. Hakuna hata mmoja alielaani hiki kitendo. Sasa tusijelaumiana baadae kwa kile kitakachowakuta wapalee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…