Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Qur'an ndio kitabu authentic zaidi kuliko vyote, na habari za hao wana wa israeli zimeelezwa kwenye torati na injili na zaburi, Qur'an imekuja kuziswadikisha tu hizo habari, na ndio maana ukisoma Qur'an utaona kuna challenges ndani yake kuwa kama una mashaka na haya tunayokusimulia basi waulize wenyewe wana wa israeli watakueleza ni kweli ama uongo, kwasababu kwenye vitabu vyao mambo hayohayo yameelezwa pia.Sasa mkuu unaongelea historia ya miaka zaidi ya 4000 iliyopita kutumia reference ya kitabu kilichoandikwa miaka 1000 na kidogo tu iliyopita...Ina make sense kweli???
Wakristo wa wapi wanaofundisha hivyo? Mnajitia kuujua Ukristo kumbe hamna mlijualo.Tunawafahamu mmedanganywa kuwa funguo zenu za uzima wenu wa milele wanazo mabwana zenu wa kiyahudi.
Sasa ujinga kama huo sisi tutauponya vipi?
Kwani wamefika 2000 au unaonfeza chumviImani zingine huondoa akili.
Sasa kitendo hata cha kuua raia 2,000 wa Israel ikiwa hao hamas wataweza, kitawagharimu uharibifu wa makazi yao na uhuru wao daima.
Yaani watskao salia wataishi kama wanyama
Mzee vita zina steps, hukurupuki tuu, ukikurupuka kama Palestine wanavofanya watakufa watu wengi.Haha yani Israel anakata maji, umeme, anavunja masijid, makanisa, majumba na mabarabara anadhani ndio atashinda vita
kweli vichaa hawa wa Israel, vita ingieni Gaza kama wanaume mnaogopa nini simlijidai mmekuja na wanajeshi 300,000 sa mnaogopa vijana wako 3000 tu.
Kumbe na sasa hivi na lugha zina dini ?alafu na ww eti una mke kweli wanawake wana huruma sanaMbona mnaandika kwa lugha ya kigalatia badala ya ile lugha yenu pendwa iliyokuwa inatumiwa na mudi?
Wewe MPUMBAVU sikujui, Hunijui.Najiuliza hivi nyie wanawake wa humu jamii forum mmefuata nini hapa? coz mnachokifanya ni umbea tu na ushabiki maandazi hapa sio fb jamn
Acha wanyooke,juzi walikua wanacheka na kujipiga selfieWalionywa mchezo na Islael siyo mzuri, sasa waparestina wanajuta kujihusisha na Hamas, ni kichapo cha mbwa koko.. inasikitisha aisee - Gaza hamna umeme, Maji na Internet - Jiji limezingirwa lote na wajeda wa Islael.
View attachment 2776798
Mungu hayupo.Mungu wao Baal atakuwa amelala au yupo likizo[emoji23][emoji23] maana ppaka sasa wameshakufa 500 , huku 1