Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nikategemea utakuwa upande wa palestina kupigania ardhi yao kama unavyo sapot Ukraine 😀😀😀😀😀😀😀😀Walionywa mchezo na Islael siyo mzuri, sasa waparestina wanajuta kujihusisha na Hamas, ni kichapo cha mbwa koko.. inasikitisha aisee - Gaza hamna umeme, Maji na Internet - Jiji limezingirwa lote na wajeda wa Islael.
View attachment 2776798
Ndio maana mnafeli kila kitu, soma vizuri...khenge mzuri weww😂Kwani wamefika 2000 au unaonfeza chumvi
Wakristo tulikombolewa kutokana na mateso, kumwaga damu, kifo na ufufuko wa Yesu Kristo. Tafakari hiloWayahudi katika watoto wa Mungu, walikuwa ndio yule mtoto pendwa yule, lakini kwa viburi vyao, na roho zao ngumu walimuua Yesu. Walimuua kwa kifo cha mateso na dhihaka Yesu ambaye kwangu ni Mungu.
Allah alizuia tetemeko kule afghan?kama mnamuona allah hajiwezi na kumsaidia kudhuru,kuua ni nyie.Eti hana mshirika huko kumsaidia kuua kwa jina lake huo kama nyie ni washirika wake?
Waisraeli 1000 vs wapalestina 400+Wasipozuiwa Israel watawakaanga wapalestina wote. Maana wanashona ipasavyo huko
Mkristo mpumbavu tu ndio anaweza kusapoti Israel ambao wapo kinyume hata na Mungu.kwa mfano wanaosapoti ushoga,wanawatesa wapalestina mpaka wapalestina wameamua kulipa.Acha ujinga, mkristo gani anayeilaani israel? We ni mpumbavu fulani hivi uliyeona ukiandika we ni mkristo utavutia pro hamas wakusome. Tulia magaidi wasafishwa acha mzuka wa kidini
Yupo maajabu yake ni kuzaliwa kwako na wew hutaki kumjua sema siku ukifa itakua ndio maana ya uumbaji wakeAllah huyo Hayupo
Tetemeko la Syria na Uturuki lililo ua maelfu ya raia ambao wengi ni waislamu,
Allah huyo mbona haku waokoa? Au alisahau?😄
Tetemeko la Morocco lililo leta maafa makubwa na vifo kwa wananchi wa Morocco ambao wengi ni waislamu, Allah huyo Alishindwaje kuwa okoa? Au alisinzia?
Mafuriko ya Libya yaliyo ua tena maelfu ya wananchi wengi ambao ni waamini wa huyo Allah, Allah huyo akashindwa tena kuwaokoa😄😄
Nakwambia hivi 👇
Allah huyo Hayupo.
Parestina, Islael na Saudia wamekuwa kwenye mazungumzo ya amani ya mashariki ya kati - majuzi tu walikuwa wa sign makubaliano - cha ajabu hao magaidi wameingilia kati mazungumzo na vita hii sasa. Hamas watafagiliwa Gaza rasmi.Mm nikategemea utakuwa upande wa palestina kupigania ardhi yao kama unavyo sapot Ukraine 😀😀😀😀😀😀😀😀
Hakuna mcanaanayo yupo hai wewe. Ile breed yote ishafutwa. Ni kama wanefili hao watu hawapo. Hilo eneo liliitwa Palestine na Roman by the time wanatawala hapo. Baada ya mapigano na Jews wakitaka kujikomboa. Hawa hapo wote waarabu walichukua nchi ya watu baada ya makalifa kushinda vita.Wapalestina asili yao ni Kanaani walikuwepo eneo hilo tangu zamani
Walishazichapa sana Wakanaani na Waisraeli kipindi cha Yoshua na Daudi
Hawa jamaa bifu lao ni la kitambo sana
Kabla ya Isaka kuna mtoto alizaliwa tena wa kiume, unaweza kutueleza alienda wapi? Je alirithi nini?? La pili, Yakobo na kizazi chake walienda Misri, je kizazi cha Essau kilienda wapi?? Kumbuka mtoto wa kwanza wa Ibrahim naye alipata uzao.Siyo Kweli Hiyo Aridhi ni ya Israel tangu enzi!! History inaanza hapa baada ya Ibrahim kuambiwa na Mungu Toka kwenye Nchi ya Baba ako soma hapa
Mwanzo 12 : 1 Bwana akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha; ambapo inaonyesha Ibrahim anatoka kwenye Nchi ya Baba yake anaenda mpaka nchi ya Kanani ambayo ndo Israel Sasa.
Soma hapa
Mwanzo 12 : 5 Abramu akamchukua Sarai mkewe, na Lutu mwana wa nduguye, na vitu vyao vyote walivyokuwa wamejipatia na hao watu waliowapata huko Harani, wakatoka ili kwenda nchi ya Kanaani; nao wakaingia katika nchi ya Kanaani.
Ukiendelea kusoma hiyo sura inaonyesha Mungu anaapa Kuwa atawapa hiyo na atawafanya Kuwa Taifa na kulibariki uzao.
Baada ya hapo Ibrahim akamzaa Isaka naye akamzaa Yakobo ambaye alizaa watoto 12 ambazo ndo kabila 12 za Israel
Kwaiy kupitia hayo mandiko hiyo Aridhi ni ya Israel ambayo Mungu aliwapa ni aridhi ya mababu na Mabibi zao na makaburi yapo.
Badae wakaenda utumwani Misri lakin hata hivyo Mungu aliwarudisha katika Nchi yao kupitia Musa. Vizazi vikasonga Baada ya hapo wakaja wakasambaratishwa tena tawala za Kirumi na hapo ndo wapalestina walijipatia nafasi ya kujichukulia aridhi lakin Mungu aliwakusanya tena ni story ndefu sana.
Ukaja utawala wa Urusi Kipindi hicho kukiwa Choko Choko ya Urusi na Ulaya wakauawa wengi katka Karne ya 19 wakasambaratishwa tena lakin Mungu akawarudisha kupitia mashirika yao Zionism.
Mwaka 1948 Taifa lao likaundwa na Aridhi yao wakairudisha tena .
Israel ni Taifa kubwa Mungu aliapa kwao kua atawabariki, kwaiy hata kama warabu watumie Nguvu kubwa uwezo wa Kuliondoa hilo Taifa haupo hao Jamaa Wana Mbinu za Kivita maana vita vimepiganwa kwao tangu Kuanzishwa kwao ni Vita tu mpaka Leo kwaiy kwao walisha Zoea na ni Jambo la kawaida.
Kwa akili hizi hizi nawewe nikuulize Wapalestina kwao wapi!!?Ni kwao, ni translation tu za watu wakiongea kwa kuongozwa na mahaba yao binafsi. Isreal home is right where they are tena tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Alikuwa anataka kujua asili ya WapelestinaHakuna mcanaanayo yupo hai wewe. Ile breed yote ishafutwa. Ni kama wanefili hao watu hawapo. Hilo eneo liliitwa Palestine na Roman by the time wanatawala hapo. Baada ya mapigano na Jews wakitaka kujikomboa. Hawa hapo wote waarabu walichukua nchi ya watu baada ya makalifa kushinda vita.
Asili yao ni waarabuAlikuwa anataka kujua asili ya Wapelestina
Unaongelea kwa kuwa hauwajui vita ya huko na hapa umeongea kama unashabikia Simba na Yanga hiyo ni vita kumbuka vita ya Israel na Hezbora ilivyoua wanajeshi wakigombea kurudishiana maiti kadhaa mpaka baadae Egypty aliingilia kati hao wahuni wana mahandaki na ndio walipo huko unadhani mateka wamewaweka wapi zaidi ya mateka 100 na kumbuka Israel sio wakristo ni Jews wale wapinga Kristo kama hauna taarifa maana unaleta ushabiki wa Kidini ambao si wengine hatuna..Mkuu hii vita haiwezi kukoma kwa sasa. Hamas walifanya timing kubwa, tena kwa asilimia kubwa wakishambulia watu waliokuwa kwenye sherehe zao huko. Wale magaidi ukiwaangalia vizuri, kuna watu flan siyo weupe, ni kama Wasomali au Wahabeshi au Wairan. Wakati wa mashambulizi haya wananchi wakishangilia kwa furaha.
Israeli kashawazibiti na anakaribia kufagia wale waliobakia ndani ya Israeli. Mpaka sasa Israeli hajaanza vita au kulipiza kisasi, katafuta silaha za kutosha tena zitakazopunguza vifo kwa askari wake. Baada ya hapo Gaza itawaka moto, watakaangwa ipasavyo. Huu siyo muda wa kujali wanawake na watoto, adabu inapaswa kufuata mkondo wake.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app