LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Sasa mkuu unaongelea historia ya miaka zaidi ya 4000 iliyopita kutumia reference ya kitabu kilichoandikwa miaka 1000 na kidogo tu iliyopita...Ina make sense kweli???
Qur'an ndio kitabu authentic zaidi kuliko vyote, na habari za hao wana wa israeli zimeelezwa kwenye torati na injili na zaburi, Qur'an imekuja kuziswadikisha tu hizo habari, na ndio maana ukisoma Qur'an utaona kuna challenges ndani yake kuwa kama una mashaka na haya tunayokusimulia basi waulize wenyewe wana wa israeli watakueleza ni kweli ama uongo, kwasababu kwenye vitabu vyao mambo hayohayo yameelezwa pia.

All in all, kuamini ni jambo linahitaji ufanye utafiti mwenyewe bila kuwa biased uiachie akili yako kuwa huru.
 
Acha ujinga, mkristo gani anayeilaani israel? We ni mpumbavu fulani hivi uliyeona ukiandika we ni mkristo utavutia pro hamas wakusome. Tulia magaidi wasafishwa acha mzuka wa kidini
 
Sio mara ya kwanza kwa hamas na israel kupigana,. wameshapigana sana, wanajuana hao
 
Imani zingine huondoa akili.
Sasa kitendo hata cha kuua raia 2,000 wa Israel ikiwa hao hamas wataweza, kitawagharimu uharibifu wa makazi yao na uhuru wao daima.

Yaani watskao salia wataishi kama wanyama
Kwani wamefika 2000 au unaonfeza chumvi
 
Walionywa mchezo na Islael siyo mzuri, sasa waparestina wanajuta kujihusisha na Hamas, ni kichapo cha mbwa koko.. inasikitisha aisee - Gaza hamna umeme, Maji na Internet - Jiji limezingirwa lote na wajeda wa Islael.

1696850548393.png
 
Haha yani Israel anakata maji, umeme, anavunja masijid, makanisa, majumba na mabarabara anadhani ndio atashinda vita

kweli vichaa hawa wa Israel, vita ingieni Gaza kama wanaume mnaogopa nini simlijidai mmekuja na wanajeshi 300,000 sa mnaogopa vijana wako 3000 tu.
Mzee vita zina steps, hukurupuki tuu, ukikurupuka kama Palestine wanavofanya watakufa watu wengi.
Mzee Israeli imeanza pigana vita muda mrefu, wana jua wanachofanya, unadhani watakurupuka tuu kuingia gaza kichwa kichwa.

Kila siku palestine wakipigana na Israeli wanapigwa na watu wao wengi wanakufa, hawatumii akili wanatumia sana hisia, wanaponzwa na Iran.

Angalia hii hapa ndo utajua hawa jamaa hawajifunzi.

View: https://twitter.com/stats_feed/status/1711328353288892702?t=OqE-PoSFEC336qPXl2zGpg&s=19
 
Vita ya Russia na Ukraine imepouwa sana acha tuangaze huku Israel majibu yao.
 
Najiuliza hivi nyie wanawake wa humu jamii forum mmefuata nini hapa? coz mnachokifanya ni umbea tu na ushabiki maandazi hapa sio fb jamn
Wewe MPUMBAVU sikujui, Hunijui.

By the way, Mimi ni Mwanaume perception zako za kimama hizo usidhani kila mtu ni mwanamke mwenzako hapa.

Kama huwezi kujibu hoja kwa hoja, Kakojoe ulale, Fala wewe.

Kama huna hoja za kujibu pita kimya kimya.
 
Walionywa mchezo na Islael siyo mzuri, sasa waparestina wanajuta kujihusisha na Hamas, ni kichapo cha mbwa koko.. inasikitisha aisee - Gaza hamna umeme, Maji na Internet - Jiji limezingirwa lote na wajeda wa Islael.

View attachment 2776798
Acha wanyooke,juzi walikua wanacheka na kujipiga selfie
 
Hezbullah kawatwanga huko tuone sasa kama US ataingia vitani na Hezbullah hasubutu hata siku moja
Screenshot_20231009-152546_YouTube.jpg
 
Mungu wao Baal atakuwa amelala au yupo likizo[emoji23][emoji23] maana ppaka sasa wameshakufa 500 , huku 1
Mungu hayupo.

Kama ingekuwa kweli Israel ni taifa teule la huyo Mungu, Mungu huyo Asinge ruhusu hata kombora moja kutua kwa waisraeli.
 
Back
Top Bottom