LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Israel washaizunguka Gaza huko. Wamesema wanapiga watu mpaka wanyama. Washawakatia maji na umeme. Mafuta nayo hamna! Israel hawataki aibu
 
Walionywa mchezo na Islael siyo mzuri, sasa waparestina wanajuta kujihusisha na Hamas, ni kichapo cha mbwa koko.. inasikitisha aisee - Gaza hamna umeme, Maji na Internet - Jiji limezingirwa lote na wajeda wa Islael.

View attachment 2776798
Mm nikategemea utakuwa upande wa palestina kupigania ardhi yao kama unavyo sapot Ukraine 😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Mtajiita rangi zote lakini kichapo kiko pale pale, upuzi wa kuchokoza halafu ukijibiwa unalia lia, wapuzi sana, uzuri Israel haijawahi niangusha, ukiwachokonoa wanakushukia.
 
Wayahudi katika watoto wa Mungu, walikuwa ndio yule mtoto pendwa yule, lakini kwa viburi vyao, na roho zao ngumu walimuua Yesu. Walimuua kwa kifo cha mateso na dhihaka Yesu ambaye kwangu ni Mungu.
Wakristo tulikombolewa kutokana na mateso, kumwaga damu, kifo na ufufuko wa Yesu Kristo. Tafakari hilo
 
Wasipozuiwa Israel watawakaanga wapalestina wote. Maana wanashona ipasavyo huko
 
Allah alizuia tetemeko kule afghan?kama mnamuona allah hajiwezi na kumsaidia kudhuru,kuua ni nyie.Eti hana mshirika huko kumsaidia kuua kwa jina lake huo kama nyie ni washirika wake?

Allah huyo Hayupo

Tetemeko la Syria na Uturuki lililo ua maelfu ya raia ambao wengi ni waislamu,
Allah huyo mbona haku waokoa? Au alisahau?😄

Tetemeko la Morocco lililo leta maafa makubwa na vifo kwa wananchi wa Morocco ambao wengi ni waislamu, Allah huyo Alishindwaje kuwa okoa? Au alisinzia?

Mafuriko ya Libya yaliyo ua tena maelfu ya wananchi wengi ambao ni waamini wa huyo Allah, Allah huyo akashindwa tena kuwaokoa😄😄

Nakwambia hivi 👇

Allah huyo Hayupo.
 
Acha ujinga, mkristo gani anayeilaani israel? We ni mpumbavu fulani hivi uliyeona ukiandika we ni mkristo utavutia pro hamas wakusome. Tulia magaidi wasafishwa acha mzuka wa kidini
Mkristo mpumbavu tu ndio anaweza kusapoti Israel ambao wapo kinyume hata na Mungu.kwa mfano wanaosapoti ushoga,wanawatesa wapalestina mpaka wapalestina wameamua kulipa.
 
Yupo maajabu yake ni kuzaliwa kwako na wew hutaki kumjua sema siku ukifa itakua ndio maana ya uumbaji wake
 
Mm nikategemea utakuwa upande wa palestina kupigania ardhi yao kama unavyo sapot Ukraine 😀😀😀😀😀😀😀😀
Parestina, Islael na Saudia wamekuwa kwenye mazungumzo ya amani ya mashariki ya kati - majuzi tu walikuwa wa sign makubaliano - cha ajabu hao magaidi wameingilia kati mazungumzo na vita hii sasa. Hamas watafagiliwa Gaza rasmi.





Israel controls Gaza's air and maritime space and six of Gaza's seven land crossings. Israel reserves the right to enter Gaza at will with its military and maintains a no-go buffer zone within the Gaza territory. Gaza is dependent on Israel for its water, electricity, telecommunications, and other utilities.
 
Wapalestina asili yao ni Kanaani walikuwepo eneo hilo tangu zamani

Walishazichapa sana Wakanaani na Waisraeli kipindi cha Yoshua na Daudi

Hawa jamaa bifu lao ni la kitambo sana
Hakuna mcanaanayo yupo hai wewe. Ile breed yote ishafutwa. Ni kama wanefili hao watu hawapo. Hilo eneo liliitwa Palestine na Roman by the time wanatawala hapo. Baada ya mapigano na Jews wakitaka kujikomboa. Hawa hapo wote waarabu walichukua nchi ya watu baada ya makalifa kushinda vita.
 
Kabla ya Isaka kuna mtoto alizaliwa tena wa kiume, unaweza kutueleza alienda wapi? Je alirithi nini?? La pili, Yakobo na kizazi chake walienda Misri, je kizazi cha Essau kilienda wapi?? Kumbuka mtoto wa kwanza wa Ibrahim naye alipata uzao.
 
Alikuwa anataka kujua asili ya Wapelestina
 
May Allah almighty bless Mujahedeen in Palestine
 
Unaongelea kwa kuwa hauwajui vita ya huko na hapa umeongea kama unashabikia Simba na Yanga hiyo ni vita kumbuka vita ya Israel na Hezbora ilivyoua wanajeshi wakigombea kurudishiana maiti kadhaa mpaka baadae Egypty aliingilia kati hao wahuni wana mahandaki na ndio walipo huko unadhani mateka wamewaweka wapi zaidi ya mateka 100 na kumbuka Israel sio wakristo ni Jews wale wapinga Kristo kama hauna taarifa maana unaleta ushabiki wa Kidini ambao si wengine hatuna..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…