LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Piga kabisa hayo mashetani yanayovaa kobazi
 
Pia wameamua kuua hata mateka wa Israeli walio Gaza.

Sasa nimeamini Israeli ni taifa la Kishetani.
 
Alfu wanajisahau kabisa pamoja vyote hivyo
 
Israeli Army Radio, a Station ran by the Israeli Defense Force, has stated On-Air that they will continue Airstrikes on Hamas Positions in the Gaza Strip even at the Risk of Harming the Hostages.
 
🇮🇱 Wanamgambo wa Israel wanatwangana wenyewe risasi za vichwa kwa uwoga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hebrew media: The soldiers suspected armed infiltration, so they shot at them thinking they were members of Hezbollah, and this incident resulted in casualties.

🚩 @ResistanceTrench
 
Hakuna Kurudi Nyuma ni mwendo wa uharibifu na kuvunja kwa kwenda mbele
 

Attachments

  • Screenshot_20231009-192347.jpg
    94.9 KB · Views: 1
Jamani kuna vitu twende navyo polepole sana lineage ya ibada kwa Mungu inaanzia Adam ambaye ni baba wa wote. Kuanzia hapo Mungu ametuma manabii duniani kuwaonya watu wote na akawaita watu wamjue Yeye na wawakulishe wengine maana Mungu hawezi kuwa monopolized na watukana kwamba si Mungu wa wote. Tatizi la ku Monopolize Mungu ni ujinga wa kibuadamu ambaye anadhani kwa kutumwa kama nabii au mjumbe au kwa kufunuliwa kile watuwanatakiwa watende anadhani yeye ni bira kuliko wasiomjua Mungu. Hili ndio tatizo la dini hizi ambazo zimeanzia mashariki ya kati Israeli akipewe mitume na manabii wengi kuliko kabila lolote tuniani na ndugi zake. Hata hili jina Israeli maana yake ni Yakubu mtoto Isihaka mjukuu wa Ibrahimu. Tatizo la Israel ni kutomjua Mungu wakadhani wao ni bora sana na kum monipolize Mungu na kutenga wengine asiwe Mungu wao ndio maana manabii waliowaambia kuwa Mungu anao watu nje yao na kuwa nai ni waasi tu kama wengine waliwaua. Tatizo la arabss ni kudhani kuwa wanaweza kuanzisha mfumo mwingine wa ibada ya Mungu ambaye ni wa wote nai waka m monopolize Mungu pia.
Hawa Mayahudi (Jews) ni wana wa Yuda kati ya kabila zao 12 na ibada yao ya judaism ilibaki na ibada ya mwili wala si ya roho. Mungu anasema Mpende Mungu , mpende jirani yako kama nafsi yako. Sasa hapo wana huo UPENDO? No!. Waarabu waliamini dini ya mayahudi mwanzini lkn mayahudi walipoona waarabu si watu wa kuwa nao Waarabu wakageukia namna yao jambi ambalo si swa. Wangewaacha wapuuuzi na upuuzi wao wao wakaendelea kuwa na ibada ya kwi isiyo na sanamu.
Tatizo la wote Jews na Arab walimktaa Masihi Yesu ambaye ndiye Mwokozi wa wote.
Tatizp lililopo linachakigizwa na elites ( Alluminata au Freemason) na wengi wao ni Jewswaasi hususan Roch family. Hawa kazi yao ni ku create chaaos duniani. Kama Jews na arabs wakamwani Al masih issa ambaye wanamtazama kama imam Mahdi ajaye watakwepa kupiganishwa na kuishi kama ndugu na jirani.
Vita hii ina political mentality na religious idealogy zote za kipuuzi. Wapo Jews wanamheshimu Mungu na Arabs as well.. Ni upuuzi kugombea maeneo eti ni ya Hija huyu akisema Suleiman alikiwa wa dini yetu. Suleima, Daudi, Yakobo wala Ibrahim hawakuwa na judaism wala islamic worship. Afterall "Mungu ni Roho wamwabudup watamwabudu ktik Roho na Kweli" hizi ibada zingine ujinga wetu kibinadamu.
Dunia itahukuniwa kwa mktaa AlMasih Yasua mwana wa Mariam ktika mwili. The incarnated God.
Acha wauane. Wewe acha kutumia ukristo au uislam au namna yoyote kumdharau mwenzio kiyama yaja utahukumiwa kwa matendo yako.
Inshallah. Shalim. Sifa ni kwa Bwana wetu Kristo Yesu. Amina
Unaongea kitumwa zaidi.hitler ni mkatoliki na aliwaua Jewish unazani kwa nn? Hao hawautambui ukristo usijipendekeze na waliwakataa manabii wote wa mungu ebu tumia akili acha kumezeshwa pumba
 
Ile tweet ya netanyahu maghorofa yavunjwa kama biscuit joy tu🤣🤣
 
Jamaa wa Israel wanaharibu hospitals, ambulance wanazivunja na kuzilipua maana ake hata wale majeruhi wasipate matibabu nao wafe!! Makazi ya watu wanaharibu Ili wakose pa kukimbilia Aisee... Gaza imegeuka jehanam ya mateso
Israel songa Mbele wamekuchokoza wenyewe
 
Hii Gaza mbona kama inapashinda Dar hapa...au photoshop sielew
 
Hayo mayahudi yalikuwa yanaishi wapi kabla ya 1947?! Si yarudi kwao?!
Walikuwepo hapohapo miaka yote, na wote Wayahudi na Wapalestina walikua chini ya utawala wa ukoloni wa Muingereza.
Sema mwenye sauti na ambao walikua wengi na kutawala pale ukimuondoa Uingereza alikua ni Palestina
Hivyo story za watu kuwa pale hawakuwepo si kweli, kilichotokea ni baada ya Wayahudi kuuawa sana huko Ulaya na chuki kujengwa dhidi yao ndipo wakaona kuna umuhimu wa kurudi kwenye ardhi yao ya asili wakaungane na ndugu zao. Hicho kitendo cha kuji mobilise na kuamua kurudi ndiyo watu wanasema wazungu w ulaya walienda kuvamia, wanasahau kuwa hata kabla ya kuamua kurudi, tayari wenzao walikuwepo pale wakipambana na wapalestina, maana wayahudi walikuwa ndiyo wanaishi maeneo machovu na walikua ndiyo watu duni huku Palestina wakila bata.
Wanasahau Crusades zote zilizopiganwa pale Jews walikuwepo.
Wanaleta story sijui Asheknza Jew mara Jews wa wapi yote ni kujichanganya tu, sababu watu kuchanganya asili ni kawaida, machotara siku hizi ni wengi, na mhusika ndiyo ataegemea asili anayoipenda lakini zote anakuwa tayari anazo.
 
FaizaFoxy kimsboy nk mchongo huo mkawapiganie ndugu zenu katika imani
View attachment 2777015
Mkuu wasivunje jeshi letu JWTZ linanunua siraha nyingi kutoka Israel saraha nyingi walinunua baada ya magu kuweka balozi kule.
Mabeyo alinunu siraha za kutosha.
Moja wapo kama drone, bunduki za Tavor pamoja na galal.
Kuna zingine kama
gilboa snake double barrel
Pamoja na Uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…