Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, ndiyo maana unakuta tech kabla haijawa released inawekewa mifumo kibao ya kujilinda na ikishindikana basi ijiharibu kabisa ili adui asiweze kuichukua akaisoma na kuifanyia reverse engineering.Hatari sana. Ukipigiwa kwa ndani inabidi utulie.
Ila Tech inaenda kasi, siku hizi drone ya tsh 20M inaweza kushusha Airdefence ya Billion 700 moja kwa sekunde. Mambo ni mengi.
Israel ushoga umeruhusiwa Palestina hakuna kitu kama hiko.sodoma na gomora hata hao hamas wengi hawana marinda. si unajua suna za kiarabu.
Hapa cha kuwasiadia Israel waandae Operation ya kuifuta kabisa Hamas hata kwa msaada wa US.Sasa kazi ya hiyo mosad ambayo huwa mnaisifu inafanya kazi gani kama haiwezi kuhakiki kuwa adui tena aliye mdomoni mwako anatengeneza silaha hatarishi kwa taifa lao?
Tangu Hamas idhibiti ukanda wa gaza miaka 15 iliyo pita imesha pigana vita na Israel zaidi ya mara tano lakini cha kushangaza hamas badala ya kudhoofika inaendelea kuimarika kila uchao na uwezo wao wa kufanya mashambulizi unaongezeka sasa hizo operation huwa zina faida gani?
Alafu tuambie hiyo Mosad ilikuwa wapi mpaka wanafanyiwa ambushi ya kifala namna hiyo maana wana jeshi wengi wamekufa na wengine wakiwemo makamanda wa gazi ya juu wametekwa, raia wengi wamekufa , na magari na vifaru vimeharibiwa na kutekwa.
Mpaka sasa hakuna madhara kwa WapalestinaMwandishi kaandika kana kwamba wapalestina hawajafa hata 1
Hii inaenda kuwa worsen zaidi.According to Aljazeera atleast 189 people has been killed in Gaza by Israel air attack after Hamas offensive in Israel.
Vipi MOSAD wasigundue?Mkuu ni shambulio la kushitukiza.
Maana hata sisi wenywe Tz hapa tulipata aibu kule mtwara magaidi waliingia na walisumbua kama wiki hivi.
Kuvamia mok vitu vya police.
Kumbuka mpka APC ya jeshi ilipigwa na wanajeshi baadhi walipotea kule mtwara.
Mpk raia kule kitaya walitekwa na wengine kukatwa vichwa.
Watu waligeuka kuwawakimbizi kiule umesahau.
Nafikili ni shambulio la kishitukiza ni kawaida kwa uvamivi.
Waling'ang'ania maandamano. Wakajisahau kujilinda,naona Hamas wametumia mwanya huoHii vita ni mbaya sana zaidi ya Waisrael 100 wameshakufa!! Waisrael zaidi ya 1000+ wamejeruhiwa vibaya
Wanajeshi zaidi 75 wapo kizuizini mateka kwa wapalestina ikiwemo makamanda wa juu ya Israel
Haijawahi kutokea Waisrael wakafa kwa mamia hivi ndani ya masaa machache tu hii vita kama itaendelea tutarajie kuona mamia na maelfu ya Waisrael wakiangamizwa!!View attachment 2774557View attachment 2774558View attachment 2774559
Ngoja kwanza, kwahiyo hoja imehama kutoka Israel kufeli operation mwaka 2014 na sasa hoja ni Mossad walikuwa wapi leo.Sasa kazi ya hiyo mosad ambayo huwa mnaisifu inafanya kazi gani kama haiwezi kuhakiki kuwa adui tena aliye mdomoni mwako anatengeneza silaha hatarishi kwa taifa lao?
Tangu Hamas idhibiti ukanda wa gaza miaka 15 iliyo pita imesha pigana vita na Israel zaidi ya mara tano lakini cha kushangaza hamas badala ya kudhoofika inaendelea kuimarika kila uchao na uwezo wao wa kufanya mashambulizi unaongezeka sasa hizo operation huwa zina faida gani?
Alafu tuambie hiyo Mosad ilikuwa wapi mpaka wanafanyiwa ambushi ya kifala namna hiyo maana wana jeshi wengi wamekufa na wengine wakiwemo makamanda wa gazi ya juu wametekwa, raia wengi wamekufa , na magari na vifaru vimeharibiwa na kutekwa.
Msimamo wako kuhusu Israel kwenye hii comment umebadilika Sana nini tatizo?kinachoshangaza, namna intelijensia ya israel ilivyokuwa imelala, netanyau na crew yake watapata criticism sana na watatakiwa kujiuzuru.
Sio rahisi kabisa, hata wakiua viongozi wa hayo makundi bado watarithi wengine.Hapa cha kuwasiadia Israel waandae Operation ya kuifuta kabisa Hamas hata kwa msaada wa US.
Wakimaliza waifute kabisa Hezbullah kwa gharama yoyote.