LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kiongozi wa kundi la Hamas Ismail Haniyeh amesema Dhoruba ya Al-Aqsa imeanza kutoka Gaza na itaenea hadi Ufukwe wa Magharibi, Yerusalemu, na nje

View: https://youtu.be/iAA2bMOfdl8
Mkuu wa Ofisi ya Siasa ya Harakati ya Hamas, Ismail Haniya, alisema, "Tunaendesha mchezo wa kishujaa kujibu uvamizi wa Msikiti wa Al-Aqsa." Aliongeza Haniya katika hotuba yake ya televisheni kwamba vikosi vya upinzani vinapigana wakati huu katika historia hii ya kishujaa, na lengo kuu ni Al-Aqsa na vitu vitakatifu vyetu na wafungwa wetu, na chanzo cha yote ni uvamizi wa kikatili wa Kizayuni uliotokea kwenye Msikiti wa Al-Aqsa."
 
Hawa Hamas wanauwezo mdogo sana wa kupambana kijeshi na wayahudi feki wa kizungu, cjui kwanin hawataki kuishi kwa amani, Kama hii habari niya kweli basi Hamas niwapumbavu tena waoga sana kwa kuua raia wasio na hatia na kushindwa kupambana na wanajeshi wa kiyahudi. Hapa naona ile hali ya mwaka 2014 inaweza ikajirudia au kuwa mbaya zaidi maana Benjamin Netanyau huwa hacheki na kima. MUNGU awasaidie kwakweli.
Muda kuangua taifa feki la waizraeli umefika
 
Kiongozi wa kundi la Hamas Ismail Haniyeh amesema Dhoruba ya Al-Aqsa imeanza kutoka Gaza na itaenea hadi Ufukwe wa Magharibi, Yerusalemu, na nje

View: https://youtu.be/iAA2bMOfdl8
Mkuu wa Ofisi ya Siasa ya Harakati ya Hamas, Ismail Haniya, alisema, "Tunaendesha mchezo wa kishujaa kujibu uvamizi wa Msikiti wa Al-Aqsa." Aliongeza Haniya katika hotuba yake ya televisheni kwamba vikosi vya upinzani vinapigana wakati huu katika historia hii ya kishujaa, na lengo kuu ni Al-Aqsa na vitu vitakatifu vyetu na wafungwa wetu, na chanzo cha yote ni uvamizi wa kikatili wa Kizayuni uliotokea kwenye Msikiti wa Al-Aqsa."

si ukute anaongea hayo akiwa mafichoni. huyo hana maisha marefu.
 
Muda kuangua taifa feki la waizraeli umefika
Israel kuna mahandaki, maisha yanaendelea chini ya mahandaki. palestina hakuna icho kitu, na utamsikia mwarabu wa mbagala anasema israel wanaumia. hata kama wameuawa kadhaa, ni suala la muda tu watasimama na maisha yataendelea.
 
Vipi MOSAD wasigundue?
Kila siku tuliambiwa hao watu ni hatari vipi leo?
Adau anapopanga njama huwa anatumia njia nyingi. Kupata taarifa mpaka ufanikiwa kupenyeza shushushu inner circle ya Adau.

Mfano utakuta iner circle ya hamas wapo watu 10 ndo wanapanga mipango na njia zote. Sasa wewe kupata taarifa lazima uwe na mtu wako ndani ya inner circle hio.

Utakuta waliwaambia wapiganaji wao wawe tayari mda wowote , pia utakuta waliaambia tangu mwanzoni mwa mwaka huu.

Kufanikiwa kupata taarifa ni ngumu.

Idala ya ujasusi kuwa imara sio kwamba kila mission na kila njama ya adui mtaijua hapana. Italy ya ujasusi haipimwi hivyo mkuu.

Kumbuka hata kagame aliwahi kupenyeza mtu kwetu huku kwenye jeshi letu. Tena alifika cheo mpaka Lutean kanali.
 
Vipi MOSAD wasigundue?
Kila siku tuliambiwa hao watu ni hatari vipi leo?
Kuwa Shiraka Bola la ujasusi sio kwamba kwamba kipimo ni kila mission inafanikiwa hapana. Au kila njama anayopanga adui wewe unajua. Hapana.
Duniani hapa hakuna shirika la ujasusi lenye uwezo humu.

Afu izo attack mbona zinafanyika sana.
 
Israel kuna mahandaki, maisha yanaendelea chini ya mahandaki. palestina hakuna icho kitu, na utamsikia mwarabu wa mbagala anasema israel wanaumia. hata kama wameuawa kadhaa, ni suala la muda tu watasimama na maisha yataendelea.
Una ushahidi wa hichi unachoandika au story za kahawa?😂
 
Back
Top Bottom