Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
Uzuri sisi wapalestina hatuogopi kufa kifo kwetu ni ibadaWatu wa haki za binadamu wasiaze kulialia ,majibu yatakua mazito sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri sisi wapalestina hatuogopi kufa kifo kwetu ni ibadaWatu wa haki za binadamu wasiaze kulialia ,majibu yatakua mazito sana
Muda kuangua taifa feki la waizraeli umefikaHawa Hamas wanauwezo mdogo sana wa kupambana kijeshi na wayahudi feki wa kizungu, cjui kwanin hawataki kuishi kwa amani, Kama hii habari niya kweli basi Hamas niwapumbavu tena waoga sana kwa kuua raia wasio na hatia na kushindwa kupambana na wanajeshi wa kiyahudi. Hapa naona ile hali ya mwaka 2014 inaweza ikajirudia au kuwa mbaya zaidi maana Benjamin Netanyau huwa hacheki na kima. MUNGU awasaidie kwakweli.
Kiongozi wa kundi la Hamas Ismail Haniyeh amesema Dhoruba ya Al-Aqsa imeanza kutoka Gaza na itaenea hadi Ufukwe wa Magharibi, Yerusalemu, na nje
View: https://youtu.be/iAA2bMOfdl8
Mkuu wa Ofisi ya Siasa ya Harakati ya Hamas, Ismail Haniya, alisema, "Tunaendesha mchezo wa kishujaa kujibu uvamizi wa Msikiti wa Al-Aqsa." Aliongeza Haniya katika hotuba yake ya televisheni kwamba vikosi vya upinzani vinapigana wakati huu katika historia hii ya kishujaa, na lengo kuu ni Al-Aqsa na vitu vitakatifu vyetu na wafungwa wetu, na chanzo cha yote ni uvamizi wa kikatili wa Kizayuni uliotokea kwenye Msikiti wa Al-Aqsa."
Ile series matata sana. Ila wale akina Doron waligeuziwa kibao sehem ya mwisho Hadi nikawaonea huruma.Haya mashambulizi yanafanya nikumbuke visa vya kwenye series ya Fauda...
Israel kuna mahandaki, maisha yanaendelea chini ya mahandaki. palestina hakuna icho kitu, na utamsikia mwarabu wa mbagala anasema israel wanaumia. hata kama wameuawa kadhaa, ni suala la muda tu watasimama na maisha yataendelea.Muda kuangua taifa feki la waizraeli umefika
Adau anapopanga njama huwa anatumia njia nyingi. Kupata taarifa mpaka ufanikiwa kupenyeza shushushu inner circle ya Adau.Vipi MOSAD wasigundue?
Kila siku tuliambiwa hao watu ni hatari vipi leo?
Kuwa Shiraka Bola la ujasusi sio kwamba kwamba kipimo ni kila mission inafanikiwa hapana. Au kila njama anayopanga adui wewe unajua. Hapana.Vipi MOSAD wasigundue?
Kila siku tuliambiwa hao watu ni hatari vipi leo?
Sawa, hata Russia mlisema hivi hivinakupa wiki moja ndefu, uzi huu utakuwepo hapa, sote tutaanza kuwalilia wapalestina hapa. Mungu awasaidie.
umeme umetoka israel?Kumbe hata Gaza wanapata umeme kutoka huko
hata hao maaidi watakufa, sema ni kwasababu hata wao wanalijua hilo na wamejitoa mhanga.Mwishoni wanaokufa wamama na watoto.
kitakachofuata hapo, hakutakuwa na mawasiliano ya simu, wala radio wala tv, unabaki unakimbiakimbia tu hujui wenzako wako wapi. hata kwa magaidi hayatajua wenzao wapo wapi, wajipaneje, shida tupu.Yani wanaanza kuaribu facilities za mawasiliano na kusambaza taarifa Gaza.
Hii strategies ipoje
tofautisha hamas na russia. mifano miwili tofauti.Sawa, hata Russia mlisema hivi hivi
Una ushahidi wa hichi unachoandika au story za kahawa?😂Israel kuna mahandaki, maisha yanaendelea chini ya mahandaki. palestina hakuna icho kitu, na utamsikia mwarabu wa mbagala anasema israel wanaumia. hata kama wameuawa kadhaa, ni suala la muda tu watasimama na maisha yataendelea.