Binafsi ningekuwa na uwezo wa kuwashauri wahusika, ushauri wangu ungekuwa mgumu sana. Taifa moja hapo liteketezwe, ama makusudi au waachwe wapigane mpaka tone la mwisho.
Vita imeshaua watu wengi sana duniani, hii yao haimshangazi mtu hata wakifa wote itakuwa ni sawa kabisa. Kwa sababu wameshindwa ku coexist, hakuna namna. Hatuan pa kuwapeleka, hakuna ardhi isiyo na mwenyewe. na hakuna sayari mbadala.