LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
"At 4am on 22 Feb you'll feel [our new policy]. I'd like 2022 to be peaceful. But I love the truth, for 70 years I've said the truth. It won't be peaceful. It will be a year when Russia once again becomes great." Vladimir Zhirinovsky prophecy.

They guy was very accurate. How is that possible!?
Screenshot_2023-10-08-08-46-14-790_com.twitter.android.jpeg
 
Kaz Nzuri kuna wajinga fulan uwa wanaamin waizilaeri ndio kila kitu kumbe misaada ndio inawabeba
Vita ni akili na mipango makini.Muda mzuri simba akitaka kujipatia mlo bila kutumia nguvu kubwa ni pale wanyama wanapokushanyika kula au kunywa maji.
Hamas walichagua asubuhi ya Sabato na muda ambao Marekani na UK walioiunda Israel zimeshasema haziwezi tena kufadhili vita huko Ukraine kutokana na ukata.
 
Is it too crazy to wonder if Israel allowed this to happen for a few hours so they would have an excuse for a massive retaliation?
Una hoja mkuu....

Hii serikali ya sasa ya Israel ni ya kihafidhina na inaundwa na vyama vyenye msimamo mkali dhidi ya Wapalestina huenda wanataka kutumia hili tukio kujinyakulia ardhi na kuhalalisha ukaliaji wa maeneo ya Wapalestina kimabavu
 
Wewe Yohana mbatizaji.... U.N ni Toothless dog kwa mataifa makubwa.... U.N inaonea nchi ndogo tu kama Congo... Mbona walishindwa kuzuia vita ya Urusi na Ukrein, U.N siku zote iko upande wa Marekani.... Na hapo kwenye kikao Palestina ndio anaenda kukaangwa
 
Baada ya kulifikiria hili suala, naamini hii ni mipango ya ashkenazi na Mossad ili kuhalalisha mauwaji ya Wapalestina na kuendelea kuikalia Palestina.
Una hoja nzuri, naunga mkono hoja hii
 
Wewe Yohana mbatizaji.... U.N ni Toothless dog kwa mataifa makubwa.... U.N inaonea nchi ndogo tu kama Congo... Mbona walishindwa kuzuia vita ya Urusi na Ukrein, U.N siku zote iko upande wa Marekani.... Na hapo kwenye kikao Palestina ndio anaenda kukaangwa
Israel Ndio Marekani
 
Kundi la wapiganaji wa HezboLlah wameitikia rasmi wito uliotolewa na viongozi wa kipalestina juu ya kuungana nao kuishambulia Israel.
Mapema leo makombora ya masafa marefu ya Hezbollah kutokea kaskazini yalirushwa kuelekea vituo vya kijeshi vya Israel karibu na mashamba ya Bersheba.
Kwa upande mwengine Israel imekiri kuwa miongoni mwa askari wake waliouliwa ni mwenye cheo cha major na huku meya wa jimbo mmoja akiwa miongoni mwa waisrael hao waliokwishakufa.
Sambamba na hilo mapigano yanaendelea maeneo ya kusini ya Israel yanayopakana na Gaza huku wapalestina zaidi wakimiminika maeneo hayo.
Kwa mara ya mwanzo wapiganaji wa Hamas na wenzo wa Islamic jihad wameonekana wakimiliki na kuendesha magari ya kivita ya Humvee waliyoyateka kutoka jeshi la Israel.
View attachment 2775202
Balanced story ndo inayotuweka JF

Seems Israel ana wakati mgumu
 
Aisee hii vita ni ngumu kutokuhusisha hata kama hawana hatia lazima wafe Hamas wanatumia sana makazi ya watu kijifucha na kufanyia mashambulizi Israel inatuma tu kombola litembee na jengo nzima
Wanakua kwenye mahandaki wale ndio maana vikiisha wanarudi tena kulianzisha...
 
Una hoja mkuu....

Hii serikali ya sasa ya Israel ni ya kihafidhina na inaundwa na vyama vyenye msimamo mkali dhidi ya Wapalestina huenda wanataka kutumia hili tukio kujinyakulia ardhi na kuhalalisha ukaliaji wa maeneo ya Wapalestina kimabavu
Najua ni ngumu kuamini lakini mpaka sasa Israel haijayarudisha maeneo yaliyo tekwa na Hamas tangu jana, mapigano makali yanaendelea huko kusini mwa Israel kati ya majeshi ya Israel na wapiganaji wa Hamas kuwania maeneo hayo.
 
Back
Top Bottom