Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wapo wapo tuu Kwa ajili ya maandamano 🤣Hivi rockets 5000 zikirushwa hapa Tanzania tuna air defence za kuizuia?au tupo tupo tu.
Kule pagumu ndugu yangu!Si wapeleke Ukraine .... Si wanamsupport pia
This navy vessel deployed to the eastern Mediterranean will be 350km away but within Lebanon/Gaza Strip range of attack, if Hamas attacks this U.S navy vessel this war will erupt.
View: https://twitter.com/spectatorindex/status/1711098597574607146?t=QMItveMU7NlzR_CUznZtZw&s=19
Mungu alishawakataa Waisrael hata kwenye bible mstari upo, wameona bora ushoga acha wapelekewe motoLabda Mungu kawaacha waisraeli wapigwe kidogo kwa sababu waisraeli wamemuacha Mungu.kwa mfano wameruhusu ushoga ambayo ni ibada ya shetani.
Bongo sie ea-difens zetu ni kutii chochote anachoamuru kiranja mkuu. Period!Hivi rockets 5000 zikirushwa hapa Tanzania tuna air defence za kuizuia?au tupo tupo tu.
Walishamwasi Mungu hawa acha wapelekewe moto, Yakobo ndo aliwaachia ushoga?Mungu wa Yakobo akalifanye agano lake kuwa imara zaidi na zaidi! Mwanaharamu hatorithi na mwana wa ahadi! Ibarikiwe nyumba ya Yakobo! Amen.
Romani ya mwaka 1947 hii ilikuwa ya ukweli na sio fake hebu fafanua hili pleaseWamewanyang'anyq wapi mkuu?
Yaani Israel na Palestine issue Yao sio km watu wanavyoichukulia!
Hapa Palestine ndo sio kwake!
Kuna ramani ya Palestine ya 1947 nimeiweka hapoNi kujibebea laana kabisa....
Kuwapa mgongo WA palestina ni laana...
Mimi nimesoma Hadi hapo BBC chapisho la 6days war....ni wazi kabisa Hawa jamaa wamewakwapua wapalestina ardhi Yao.....embu imagne mtu aje achukue kiwanja chako alafu anajipigia na fensi kabisa.....
Duniani Kuna watu wakatili sana....
Angalia hiyo stori ya milima ya golani,imagne huo ukuta WA kimabavu....
Kweli ni Mungu ndo ana amuru huu ukatili?
Watu WA Dunia wanataka WA palestina waende wapi?
Maana kadri wanavyozidi kukaa kimya watapotezwa kabisa hapo kwenye ardhi Yao...
Mungu ninaemuamini ipo siku ataleta suluhisho Kwa watu WA palestina Kwa sababu na wenyewe wameumbwa na Mungu huyo huyo
Siyo mbaya tunaheshimu mchango wako wa mawazo. Lakini hilo la Israel kupata wakati mgumu kwasababu ya viarabu halipo.Hata Amerika akifyatua makombora kuelekea eneo la Gaza mashariki ya kati yote itawaka moto hiyo! Na watampa Israel wakati mgumu mno kuwahi kutokea.
Sawa!Siyo mbaya tunaheshimu mchango wako wa mawazo. Lakini hilo la Israel kupata wakati mgumu kwasababu ya viarabu halipo.