Mkuu Israel wameshambulia maeneo ya mpaka wa misri na Gaza, na misri walisema wanataka kupeleka msaada kwa wagaza.
Israel walionya watambulia atakaye Peleka msaada, wao wakasema watapeleka hivyohivyo.
Baada ya mashumbulizi heavy wakaacha.
Yeah sasa hivi ule mpaka wa Rafah umeshafungwa.
Hamas walipiga hesabu mbovu sana.
Huko Gaza sasa hivi watu wanakufa kwa majeruhi ya mashambulizi. Ikishafika Ijumaa, watu wataanza kufa kwa, njaa, kiu, magonjwa ya maambukizi n.k
Pia Dunia itaanza kuisahau Gaza kwakuwa hakutakuwa na taarifa nyingi kutokea Gaza kama ilivyo hivi sasa sababu ya kukosekana kwa umeme wa kuweza kuchajisha simu na vifaa vingine vya mawasiliano na vya kuchukulia matukio.
This is possibly the end of Gaza.
Mataifa ya Ulaya na Marekani hayawezi kuja na kauli ya kuitaka Israel kuacha mashambulizi wala ya kutaka wafanye mazungumzo ya amani kwa kuwa hata wao wangeguswa kama ilivyoguswa Israel, wangefanya kitu hichohicho.
Kama ilivyoshambuliwa Marekani kipindi kile, halafu aje mtu awaambie wakae meza moja kufanya mazungumzo ya amani.
Ni kama Tanzania ilipovamiwa na wale washenzi kule kusini, halafu aje mpuuzi kutwambia tukae na wale magaidi tufanye mazungumzo ya kutafuta amani.
Ili kufanikisha lengo lake, ni lazima Israel wakope mbinu iliyotumiwa na Tanzania kule kusini...unahamisha game mazima kwa kuitoa kwenye macho ya dunia na kuihamishia gizani huko.