LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Nimekupata mkuu, Ila hii ndoto ya two states solution ni kama vile imeshajifia tu, hata Israel hawaitaki tena ndio maana mazungumzo yote kuhusu hili yamekwama sababu ya kuendelea kwa upanuzi wa maeneo ya 'settlers' wa Israel kwenye ardhi za Wapalestina.
Two State solution inaonekana haitawezekana tena sababu walichokifanya waarabu ni kufanikiwa kuwafanya Wapalestina kuwachukia waisrael, kitu ambacho wamefanikiwa sana.

Wapalestina walishakuwa na maeneo yao ambayo ndiyo wangeyatawala, lakini waarabu hawataki kabisa kulisikia hilo, wanachofundishwa ni Israel kufutwa kabisa, huku gharama ya misimano hiyo ikibebwa na wapalestina.
Kizazi cha sasa cha Wapalestina, kimeshasahau historia yao na sasa kimezaliwa na kukuzwa katika misingi ya Chuki.
Israel na wao wamelazimika kuwaonya watu wao kuhusiana na wapalestina, kwamba wale kiasili ni adui zao wenye lengo la kufanya kila wawezalo ili kuwafuta hivyo wanapaswa kuwa makini nao sana.

Wapalestina walikuja na mbinu ya kuanzisha mahusiano na waisrael na kupelekea kuoana. Lengo lao lilikua ni kuwa naturalised kama waisrael na kuupata haki zote na baadaye warudi kati maeneo waliyokua wakiishi kabla ya ile first Arab - Israel war.

Israel ilistukia mpango huo, ikaweka sheria inayoondoa naturalization. Wanasema Israel ni ya Wayahudi na itabaki kuwa hivyo. Ingawa sheria hii imekua ikilalamikiwa kuwa ni ya kibaguzi, inawabagua Waisrael wasio Wayahudi. Kuna 15 - 18%ya waisrael ambao ni waarabu hivyo sheria hiyo itakua inawabagua.
 
Huo mzozo umeanza hata kabla ya Hamas kuanzishwa, kilichotokea ni mwendelezo tuu wa huu mzozo.

Waondoke waende wapi?....

Suluhisho la kudumu ni kuundwa kwa taifa huru la Wapalestina lenye mipaka yake halali
Kuundwa kwa taifa huru la Wapalestina kama ambavyo baadhi ya watu wanasema, vilevile kunaweza kusiwe suluhisho la kudumu la mgogoro uliopo.

Mtizamo juu ya hicho kitu kinachoitwa "taifa huru la Wapalestina" ni tofauti kabisa pande zote mbili. Ndio maana mpaka sasa jitihada za kufikia hapo hazijaleta mafanikio.
 
Kuundwa kwa taifa huru la Wapalestina kama ambavyo baadhi ya watu wanasema, vilevile kunaweza kusiwe suluhisho la kudumu la mgogoro uliopo.
Naomba ufafanuzi wa kina hapa, hasa kuhusu huo utofauti wa pande mbili ni upi?

Awali Wapalestina walipinga uwepo wa Israel (ambao ndio msimamo wa awali wa PLO na Hamas), ila baadae ilibidi wakubali uwepo wa Israel maana waliona uwezekano wa kuiondoa Israel kinguvu haitowezekana......

Au labda mipaka (ambayo tayari imeshamegwa) ya hilo taifa jipya la 'wapalestina' ndio tatizo kuu?
 
The IDF will have to be clever if it launches a ground war in Gaza. Hamas likely planned for this scenario well ahead of time.
 
Vita ambayo tayari wameshashindwa hamas wamekuwepo na wataendelea kuwepo na palestine ataendelea kupata support ya hela na kujengwa kila siku , swali israel ataweza kuishi kwa amani na kushawishi dunia kuhusu intelligence yake na kuvutia watu wakaishi kama nchi zingine, they have failed miserably
Ndiyo ataweza.
 
Waliokuwa wanashangia majuzi wakati makombola ya roketi zaidi ya 5,000 yakielekea kutua Islael, huku mamia ya magaidi wa HAMAS wakivuka uzio moja kwa moja kwenda majumbani na kuanza kuchinja watoto na wamama wa ki Islael bila huruma - Leo hii vilio vimetawala nchi nzima, ni majonzi ya hatari - kweli hii inakwenda kuwa historia.

Hospitali zimezidiwa, umeme hamna, maji hamna, mawasiliano hakuna, chakula hamna na mafuta yanakwenda kwisha - sijui itakuwaje.

Inasikitisha sana lakini hili ndilo funzo kuu kufuga hawa wahuni & magaidi duniani kote.

The IDF will have to be clever if it launches a ground war in Gaza. Hamas likely planned for this scenario well ahead of time.
wewe, mji hauna maji, hauna umeme, hauna mawasiliano, hosptali zimejaa - una nguvu ipi ya kupigana? Hao HAMAS tayari wako ndani ya box.
 
Two State solution inaonekana haitawezekana tena sababu walichokifanya waarabu ni kufanikiwa kuwafanya Wapalestina kuwachukia waisrael, kitu ambacho wamefanikiwa sana.

Wapalestina walishakuwa na maeneo yao ambayo ndiyo wangeyatawala, lakini waarabu hawataki kabisa kulisikia hilo, wanachofundishwa ni Israel kufutwa kabisa, huku gharama ya misimano hiyo ikibebwa na wapalestina.
Kizazi cha sasa cha Wapalestina, kimeshasahau historia yao na sasa kimezaliwa na kukuzwa katika misingi ya Chuki.
Israel na wao wamelazimika kuwaonya watu wao kuhusiana na wapalestina, kwamba wale kiasili ni adui zao wenye lengo la kufanya kila wawezalo ili kuwafuta hivyo wanapaswa kuwa makini nao sana.

Wapalestina walikuja na mbinu ya kuanzisha mahusiano na waisrael na kupelekea kuoana. Lengo lao lilikua ni kuwa naturalised kama waisrael na kuupata haki zote na baadaye warudi kati maeneo waliyokua wakiishi kabla ya ile first Arab - Israel war.

Israel ilistukia mpango huo, ikaweka sheria inayoondoa naturalization. Wanasema Israel ni ya Wayahudi na itabaki kuwa hivyo. Ingawa sheria hii imekua ikilalamikiwa kuwa ni ya kibaguzi, inawabagua Waisrael wasio Wayahudi. Kuna 15 - 18%ya waisrael ambao ni waarabu hivyo sheria hiyo itakua inawabagua.
Hiyo misimamo ya kutoitambua Israel ilibebwa hasa na Misri, PLO ya Arafat (Rip)...ila baada ya makubaliano ya 1978 Misri iliitambua rasmi Israel jambo liliowaudhi Sana waarabu.

Hata Wapalestina walishasema wapo tayari kuitambua Israel ila wapewe 'go ahead' ya kuundi taifa lao, ila hilo pia limeshindwa, hata Israel hailitaki hilo taifa jipya jirani yake.

Israel ya sasa imekuwa na nguvu ya ushawishi mkubwa duniani hivyo ni rahisi wao kuizima hii agenda ya mataifa mawili kila inapoibuka.

Utawala wa Clinton, Bush jr, Obama ulijaribu hilo la two states ila lilikwamishwa na Israel kwa kuendeleza ujenzi wa makazi ya walowezi na Marekani ilishindwa kuzuia hilo, kwa ufupi Marekani sio mpatanishi wa kutumainiwa maana sera zake zinaegemea upande mmoja.

T14 Armata
 
Hamas published a banner in English directing Palestinians to go to the Israel border on Friday.
 
Attachments

  • 20231011_161111.jpg
    20231011_161111.jpg
    149 KB · Views: 2
Gaza war update:
Israeli airstrike kills founding member of Hamas Abu Osama and 2 of his sons (they were also Hamas men); Gaza power plant runs out of fuel; heavy rocket barrage targets central Israel, Tel Aviv under attack right now (this will not stop Israel's assault)
 
Israel forming emergency government:
War cabinet to include 3 members, 2 observers:
1. Prime Minister Netanyahu
2. Defense Minister Gallant
3. Ex-Defense Minister Gantz
4. Ex-Army Chief Eisenkot (observer)
5. Strategic Affairs Minister Dermer (observer)
 
Back
Top Bottom