LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hezbullah 1,000 wamekufa, wayahudi 120, na unasema walishindwa vita.
Ilikuwa hivi.
Hezbullah waliattack North Israel na kuuwa watu. Israel ikaamua kuivamia Lebanon kwa lengo ya kuwaangamiza kabisa hezbulla.

Walishidwa kuwangaliza ila hezbullah walipeteza askari wengi kuna vyanzo vingine wanasema walikufa zaidi ya 5000.
Ila walificha tuu.

Ishu ni kwamba watu wanafikili vita avimuathiri jeshi lenye nguvu. Kwa kawaida vita hasara zipo pande zote.
Hata hio kupigana na hezbullah kuna kikosi kimoja cha Israel kilipigwa hambush mpk kupelekea askari wao 3 kufa palepale na wengine 3 kutekwa na hezbulla nafikili walionyesha mpk kwenye TV.
Na matukio mengine.

Sasa watu wakiona hivyo wanaona aaaaa Israel ilishidwa ilipigwa sana.
Wakati matokea yake raia wa Lebanon walikufa zaidi ya 8000
Hezbullah zaidi ya 1000.
Na majengo kibao kuaribiwa mengi sana yalialibiwa.
 
israel huwa anaamua kuacha kupiga kwasababu ya kelele za mataifa duniani na kwa ajili ya kulinda reputation yake, kwasababu pamoja na kwamba anaonekana katili lakin bado yupo duniani anahitaji mataifa yawe rafiki zake, kufanya biashara na mataifa mbalimbali, kwa kifupi anajua yeye sio kisiwa hawezi kuishi peke yake. hivyo ukiona ameacha jua anatafuta wema hataki kuonekana shetani. vita na hezbullah ni nguvu kwasababu hupigani na taifa hivyo sheria za kivita hazipi, israel watafuata sheria ya vita ila hezbullah hawatafuata sheria na watachukua raia kama kinga, na kwasababu wewe hutaki kuua raia, inakuwa ngumu kwako. utofauti wake na Gaza ni kwamba, raia wanaondoka, na watabaki hamas na israel peke yake, hapo ndipo kitakuwa kiama ya hamas. umepata picha hii?
 
Umeona eee
 
Mwarabu kwenye vita yupo vizuri ni mtu ambaye akijitoa anajitoa, hili linafahamika na lipo wazi.

Kinachomgharibu mwarabu ni unafiki na si hizo sababu nyenginezo unazozisemea.
waarab wanapokumbuka tu mabikira 70 na mito ya pombe pindi wakifa mori huwapanda sanaaaà ndo maana wengine hujitoa mhanga wakapate hayo mathawabu aliyoahid allah🤣😂
 
Hezbullah 1,000 wamekufa, wayahudi 120, na unasema walishindwa vita.
VITA VYA LEBANON 🇱🇧 2006 Angalia matokea yake, afu unasema umeshida vita kweli.
T14 Armata
Levitt-Hezbollah-web.jpg
July_12.png
img-4.jpg
direct_hits_in_khiam_unifil_op2_2.jpg
Screenshot_20231014-172828_Google.jpg
74w4sgqxo33x7yfcris34a3ord6jc3sachvcdoaizecfr3dnitcq_3_0.png
Screenshot_20231014-172757_Google.jpg
21mideast600.2.jpg
july-2006-war-3.jpg
julywar.jpg
13assess600.jpg
1018316866.jpg
beirut_explosion001.jpg
MDL_LEBANON002.jpg
The-Israeli-Lebanese-war-of-2006.jpg
 
Hii ndiyo Gaza, sasa watu wanatoka north Gaza kwenda huko South - ka nchi ni kaduchu sana. Upande mmoja bahari upande mwingine Islael - yaani ukishabananishwa hata pa kukimbilia ni tatizo.
Cha kushangaza hivi utatangaza vita na mtu anaye control airspace yako kweli?

1697293856680.png
 
hivi unafikiri Hezbulah ambao wamewekeza sana hapo, wana maduka na biashara nyingi za majengo, hawaogopi? wanajua hapo patakuwa vumbi na watakula hasara kubwa.
 
Unatetea ujinga na una support ujinga.

Kwann unateka watoto??

Watoto wamekufanya nn??

Hao watoto ndo wamekuibia ardhi??

Hao watoto walikuwepo wakati mnaibiana ardhi??

Huyo mtoto asaiv angekuwa mikononi mwa mama ake, atapata care anayostahili.

Huyo mtoto asaiv angekuwa ananyonya kwa mama ake, na angekuwa na amani lakini hao watoto wanaonekana wamelia hadi wamechoka(their faces are very pale)

Usiwe unaandika mambo bila kufikiria.
 
kwahiyo unataka kusema kwamba hezbullah waliishinda israel? au israel aliondoka mwenyewe kwasababu dunia ilikuwa inalalamika mno jambo ambalo kwa uchinjaji uliotokea majuzi hata dunia haiongei chochote?
Mzee! Labda hili suala uwe unaliongelea kiushabiki. Lebanon kuna jeshi la nchi halafu kuna jeshi la Hizbullah.

Israel alilipiga jeshi la nchi na kuingia Lebanon. Hizbullah akaingia vitani kuinusuru nchi yao. Jeshi la nchi la Lebanon lilishindwa. Lakini jeshi la Hizbullah waliikomboa nchi.

Hizbullah walikuwa wanapigana vita ya namna mbili; ya ardhini na angani. Kitu ambacho kwa mara ya kwanza mashambulizi yakawa yanafika mpaka Israel na matokeo mshindi hakupatikana.
pia, kwenye vita, jua kuwa ni kitu kigumu sana kupigana na gaidi anayejificha kwenye raia na kukurushia bomu wakati wew ehautaki kuua raia unataka kumpiga yeye peke yake. hapo ndipo wanatofautiana. ila kwa hilo, nafikiri unajua kinachoendelea gaza, kama raia wanajaliwa tena basi waambie waendelee kubaki gaza. anapiga bila kuangalia sasaivi.
Labda kama hufahamu sheria za kimataifa za vita. Hata vunge la EU mbunge kutoka Irish kawaumbua wenzake kuwa Israel anavunja sheria za vita za kimataifa: Kuzuia huduma muhimu kama maji, umeme, msaada wowote kuwafikia, chakula n.k uhalifu wa kivita

Ninachomaanisha ni kwamba; Israel si kikundi cha mgambo kama Hamas! Au ni kikundi cha kigaidi. Wao ni nchi kamili na wanajeshi ambao wapo ndani ya sheria za kimataifa za kivita.. Kinachotakiwa kufanywa ni kitumia weledi wa medani za kivita kwa upande wao na si kulipua makazi ya raia. Waingie Gaza na wapambane kuwatokomeza Hamas.

Kwa sasa unashindwa kumtofautisha Israel na Gaidi kwa sababu mbinu wanazotumia zote ni sawa!
pia, jambo ninalokuhakikishia ni kwamba, Hezbullah wangekuwa na uwezo kuishinda israel, basi israel ingeshafutika kwenye uso wa dunia zamani sana. kama huamini endelea kubaki na imani yako. hezbullah na hamas siku zote huwa wanapona kwa njia ya kulialia ili waonewe huruma na dunia lakini sio uwezo wa kupigana
Sasa utavamiaje pasipo kuvamiwa?
Yaani Hizbullah ashambulie tu Israel? Hata wewe ukilipima hili linakuingia akilini?

Unachoshindwa kuelewa ni kwamba: Hamas ni kikundi tu cha wanamgambo! Wanatengeneza roketi kwa kutumia pipe za kupitishia maji, hawana zana zozote za kufanya liwe na sifa ya kuitwa jeshi.

Hizbullah wana jeshi la anga, la ardhini na majini. Hawana tofauti na Israel kwa sifa wote wanaitwa jeshi. Wana vifaru n.k
Kwa misingi hiyo Israel hawezi kupambana na Hizbullah hata mnadhimu wao wa jeshi kwa sasa kinachoendelea ameshakizungumzia.
 
Mkuu ww ndio Una Lana usijumuishe watu VP Mzee kwahyo kwakua umeshindwa kujiheshimu ndoo utukane watu wote
 
Unatetea ujinga na una support ujinga.

Kwann unateka watoto??

Watoto wamekufanya nn??

Hao watoto ndo wamekuibia ardhi??

Hao watoto walikuwepo wakati mnaibiana ardhi??

Huyo mtoto asaiv angekuwa mikononi mwa mama ake, atapata care anayostahili.

Huyo mtoto asaiv angekuwa ananyonya kwa mama ake, na angekuwa na amani lakini hao watoto wanaonekana wamelia hadi wamechoka(their faces are very pale)

Usiwe unaandika mambo bila kufikiria.
We kweli huelewi huyo mama na watoto wake wako free Hamasi huwa hudhuru watu wasio na hatia wenye kuonea watu ni Israel taifa la mungu wa bibilia wao ndege zao na mizinga kuwauwa watoto na wa wanawake au raia wa kawaida.
 
Mkuu vita vya 2006 ni hivi mimi navijua matokea yake
View attachment 2781918
Hezbollah zaidi ya 1000 walikwenda.
T14 Armata
Njoo
Labda kuna habari uliikosa nikupatie pia!

Israel walivamia nchi ya Lebanon na waliitwanga vya kutosha. Mataifa tofauti pamoja na nchi za kiarabu kupitia baraza la usalama umoja wa mataifa walimtaka Israel asitishe vita nchini Lebanon. Kilochotokea Marekani alimkingia kifua kwa sababu ilikuwa ni faida kwa Israel. Kwani ilikuwa ni faida Israel angeliweza kuongeza mipaka.

Ila baada ya jeshi la Hizbullah kuingia vitani mchezo ulibadilika. Na hii Hizbullah kuingia vitani ni baada ya jeshi la nchi ya Lebanon kushindwa.

Kilichoendelea hakikua Israel kuipiga Lebanon bali ikawa piga nikupige. Matokeo yake mashambulizi yakawa yanatumwa mpaka Israel. Baada ya matokeo ya namna hiyo Marekani ndiyo akawa anaharakisha kwenye baraza la UN ufikie mpango wa amani baina ya Israel na Lebanon.

Kwa misingi hiyo huwezi kusema Hizbullah alipigwa! Ukienda Lebanon Hizbullah anapewa taswira ya mkombozi wa nchi. Lililoshindwa ni jeshi la nchi ya Lebanon.
 
Wewe inafahamika tangu huu Uzi uanze ni mtu mwenye chuki na wapalestina na waarabu na waislamu.

Sasa sijajua kama chuki ni sehemu yako ya ibada kwamba ukiifanya ndipo baraka za Mungu wako kwako zinaongezeka ama laa!

Chochote ambacho unakiabudu ama kukihusudu kwako ndicho Mungu wako basi kwa roho yako Mungu wako atakuwa ni mwenye chuki kubwa sana isiyomithilika!
 
Huyu Mungu Yehova ambaye Israel ndio mzaliwa wake wa kwanza, yeye asiyelala wala asiyesinzia ndio mkuu. Wewe endelea kuabudu Allah anayewapa watu mito ya ulevi na mabikra 72 huko Jannah firdaus baada ya kuchinja, kuchoma moto, na kubaka watu wasio hatia. Kuabudu hilo dude lenye mguu mmoja ambapo Qur'an inasema ndie atakuwa wa kwanza kutupwa kwenye ziwa la moto baada ya kuwaingiza chaka lazima mtu awe Punguani kidogo. Mwaabudu msichokijua
Mimi siabudu alah mimi ni mkristo lakini na kufundisha kutumia akili.Taifa gani la Mungu linaruhusu machukizo kama ushoga,utoaji mimba,taifa gani la Mungu halina huruma na Viumbe wa Mungu?fungua akili hao sio hawa.hawa wamemuacha Mungu hawana tofauti na mataifa ya magharibi.sasa hivi taifa la Mungu ni wanaofuata mafundisho na maelekezo yake.hilo taifa lina damu ya watu wa Mungu.
 
Kwani Mitume wamekuja vipi bila kutumwa, na we dalili zako leta vipi Mtume wetu hakutumwa, we nani mpaka useme hakutumwa.
Israel hii ya sasa sio taida la mungu kwakua yanayo tendeka ndani ya Israel hayampenzi hata mungu sio miaka mingi kulikua na sherehe za mashoga hapo Israel sasa cjui kama mungu anabariki Hilo kwahyo hyo Israel inayoitwa taifa la mungu sioni sifa hzo kama wanazo
 
Back
Top Bottom