LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hamna lolote hizo ni kelele tu, toka lini hao wanaojita Israel wakawa wakusema ukweli.

Kwanza nashangaa vipi waliruhusiwa kutumia jina la Mtume liwe inchi, wana lana kweli hawa, kutumia jina la Mtume ambaye hakuwahi kuasi wakaenda itwa hao walio laniwa jina lake.
bado hujasema [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamna lolote hizo ni kelele tu, toka lini hao wanaojita Israel wakawa wakusema ukweli.

Kwanza nashangaa vipi waliruhusiwa kutumia jina la Mtume liwe inchi, wana lana kweli hawa, kutumia jina la Mtume ambaye hakuwahi kuasi wakaenda itwa hao walio laniwa jina lake.
kulingana na imani zao wametumia jina la baba yao, pilipili usiyoila we yakuawashia nini?
 
Incoming BREAKING NEWS

🇨🇳🇮🇷 Chinese State Media, Xinhua report

— "China will continue to firmly support Iran in safeguarding its national sovereignty, territorial integrity, and national dignity, and will strongly oppose any external forces interfering in Iran's internal affairs.
 
Kumekucha:Mwanajeshi wa special force wa Israel adakwa mpakani na Hamas

Tukisema Hamas ni habari nyingine kwa vita ya ardhini muwe mnaelewa!! Special force kwi!kwi!kwi![emoji1787] wanadakwa kama kuku na vitoto vya Hamas....Eti ndo jeshi la Mungu special force gani hii? Walikua wanatest mitambo kuingia Gaza kadakwa tayari mapema[emoji1313][emoji1313]ii
[emoji599]BREAKING: REPORTS OF ISRAELI SPECIAL FORCES MEMBER KIDNAPPED BY HAMAS

We reported less than an hour ago reports we received of an incursion by the IDF into Gaza, and an Apache helicopter being called in to help evacuate the Israeli troops.

Hamas now announced via radio:

"Tomorrow, Abu Ubaida will tell you what happened and who is in our hands."

We're receiving reports that Hamas was able to take an Israeli Special Force troop as hostage.

Location: Al-Borij Camp along the Border Fence with the Central Gaza Strip

MORE UPDATES AS THEY COME

Tujikumbushe kuwa ni juzi makomandoo wa kikosi hatari cha Delta waliotoka Marekani baadhi walienda Gaza eti kuwaokoa mateka wakidhani ni zile propaganda zao za kwenye movie za Hollywood confirmed report ni kuwa waliuawa wote huko huko Gaza hakikurudi hata kiwiliwili..

Wazayuni walivyoambiwa wakitia mguu Gaza ndo patageuka makaburi yao walidhani Hamas wanatania....Wanasubiriwa kwa hamu sana!

Mungu hakai upande wa Mashoga hata siku moja!
Screenshot_20231027-014443.jpg
 
Waislam koko .........na waislaeli wa kimbiji wakitoana upepo........lakini hapa kuna cha kujifunza........nyie watu wa mnyaaaazi mnaumia wapi??
 
So whats fun?
Kwenye politics nina F nzuri sana… IDN chanzo cha vita but I pray Mungu asaidie waache kupigana.
Nadhani ungeanzia kwa wale wazayuni weusi wanaokaa humu kutukana urusi na Palestina

Its funny hata hivyo maana sikuhizi ukomando unanajisiwa sana comando wanadakwa kienyeji hivyo tena jeshi teule la baba[emoji13][emoji1787]
 
Back
Top Bottom