LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mungu yupo lakini siwezi amini hizo story za jamii flani imebarikiwa kiliko nyingine kupitia dini watu wengi wamekufa dini ni chuki
 
🤣🤣🤣
Screenshot_20231027-211017_Twitter.jpg
 
Huyo Erdogan ni mnafiki tu na hana lolote, yeye ameshaua wakurd wangapi.
Huenda akaonekana mtetezi wa Palestine na hii itampaisha kwake kisiasa na kwenye Ulimwengu wa kiislamu.

Hata kama ni siasa ila yupo sahihi kabisa, mauaji ya raia wa Gaza yanapaswa kukoma na magharibi waache unafiki na double standards.
 
Moto wanaotembezewa Hamas leo ni hatari
Hatari sana na mawasiliano yashakatika yaan hali ikiendelea hivi ndani ya mwezi mmoja Gaza itakuwa full jehanam, inasikitisha but ndo dawa ya magaid wa allah na mtume wa mchongo mudi.
 
Back
Top Bottom