LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hatari sana na mawasiliano yashakatika yaan hali ikiendelea hivi ndani ya mwezi mmoja Gaza itakuwa full jehanam, inasikitisha but ndo dawa ya magaid wa allah na mtume wa mchongo mudi.
Leo supu ya nguruwe inanywewa gaza
 
Naamini iran iliwadanganya hamas
Ayatollah anapigana proxy war huku yeye anakula urojo wapalestina wanakung'utwa nyuma mbele chini juu yaani wapo mbendembende chali mlalo wa mende ila ile 7th October wapalestina wa dole, mchambawima, kwa mpalange waliisifia sana hamas leo hii na wao wanalialia walikuwa wakitoa takwimu za waisrael waliouliwa na magaidi ya hamas wakijisifu ni wengi sana kuliko wapalestina waliouwawa na israel leo hii hawataki tena kutoa takwimu walimsifu sana allah na mudi leo hii wanamuonea aibu allah na mudi wake.
 
Mchuma janga hula na nduguze, samaki mmoja akioza wote wameoza
This statement is irrational...

Kwa kinachoendelea Gaza ni makosa kusema hayo, kinachofanyika kwa wale wanyonge ni uhalifu na uovu mkubwa.
 
Attachments

  • VID-20231021-WA0048.mp4
    21.3 MB
This statement is irrational...

Kwa kinachoendelea Gaza ni makosa kusema hayo, kinachofanyika kwa wale wanyonge ni uhalifu na uovu mkubwa.
hamas/wapalestina wapo vitan wakiipambani ardhi yao kwa hiyo wamejiandaa na hii vita kufa ni mojawapo ya matokeo ya vita. Na wakati hamas anafanya uhalif na uovu ile tarehe 7th Oct sidhan kama hawakujua kuwa hakutakuwa na revenge na kama waliwaza israel wangekaa kimya tu basi ni ajabu sana
 
Israel ni taifa la kiliberali lenye demokrasia kubwa, kulipiza kisasi kwa kuua raia wa Palestina ovyo kama Hamas walivyofanya kwao ni fedheha na matusi kwa demokrasia yao.
 
Israel ni taifa la kiliberali lenye demokrasia kubwa, kulipiza kisasi kwa kuua raia wa Palestina ovyo kama Hamas walivyofanya kwao ni fedheha na matusi kwa demokrasia yao.
Hi si vita we ulitaka Israel wakae kimya baada ya kuvamiwa? Tz si ilirevenge kwa uganda baada ya uganda kufanya shambulio mpakani?
Wewe ukivamiwa mbele ya familia yako utabung'aa tu ugeuzwe geuzwe tu ukung'utwe tu utalia lia tu huku wavamiz wakifanya yao halaf utawaachia waondoke kwa kuwa ni fedheha na matusi kwako kureact?
 
Collective punishment ni makosa.
 
Hadi sasa wanogopa kuingia na waliongia wamechapika wamegeuza na wengine wameuliwa , walishaambiwa huo ni mtego hawasikii , hamas na hezbollah wanajua tu kama hawa watafanya ground invasion na wanawasubiri kwa hamu ila mbona hawaendi pamoja na msaada wa wanajeshi wa marekani

Acha kuskliza vijiwe vya wavaa makobaz wenzio, fuatilia hizi taarifa vizuri ustadhi, mnapotoshana huko, muhimu sana mkawa na ilmu ya dunia.
 
Ww shoga nilisha kwambia achana na mm sina muda na kundu lako baya kama la nyani.
Hahahahah nimecheka sana aiseee,yaani hao wapalestina na waisrael ambao hata hamna vinasaba nao ndio wanawafanya mtukanane kiasi hiki? Waafrika wenzenu kila siku wanauana lakini siwaoni mkigombana kwa ajili yao. Kweli hizi dini zinawapumbaza.
 
Sasa kama ameanza kunitukana nimchekee tu?
Akipenda heshima na yeye aheshimu wenzake.
 
Hata baada ya azimio la umoja wa mataifa kutaka Israel isiendeleze mashambulizi ili kutoa nafasi ya majadiliano na kuingia misaada,jeshi la IDF kwa mashinikizo kutoka wanasiasa wa nchi hiyo limeona liingie Gaza kikamilifu.

Mashambulizi yanayoendelea ni makali sana kwa kutumia aina zote za silaha ilizonazo jeshi hilo.IDF ni moja ya majeshi makali na yenye mafunzo

Kwa upande wao Hamas ambao wamekatiwa chakula,maji na nishati ikiwemo mawasiliano, leo wametangaza wameanza kurudisha mapigo huko kaskazini ya Gaza IDF walikoingilia wazima wazima.
 
Back
Top Bottom