heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Mpaka watoke wale watanzania watusimulie wananzengo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakitoka wadakwa na USA kuwapangia vya kusemaMpaka watoke wale watanzania watusimulie wananzengo
Tena kwa lugha ya KigogoMpaka watoke wale watanzania watusimulie wananzengo
Na madolari juuWakitoka wadakwa na USA kuwapangia vya kusema
[emoji23][emoji23][emoji23] ... Ila mwanangu ,unajitekenya halafu unacheka mwenyeweView attachment 2798564
Ktk video inayosambaa mitandao mateka wa Isreal waomba msamaha.
Wamesema wanajua kwamba serekali yao inawaua wa Palestina miaka yote na inawakandamiza sana.
Wao wameomba msamaha kwa Ukatili wanaofanyia.
Wamewapongeza Hamas kwa ubinaadam na utu wanaounyesha ktk kipindi chote wanachoshikiliwa
Wamesema hapo mwanzo waliaminishwa kwamba wauchukue uislamu na waislam kwa jumla lkn wanaona utafauti mkubwa.
QURAN IPO WAZI
Mwenyezi Mungu hawakatazi kuwafanyia hisani na uadilifu wale ambao hawakupigana nanyi kwa ajili ya dini, wala hawakuwafukuza katika nchi zenu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao uadilifu. Isipokuwa Mwenyezi Mungu anawakataza kuwafanya marafiki wale wanaopigana nanyi katika dini, na wakawafukuza katika nchi zenu na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu, na wawafanyao marafiki, basi hao ndio madhalimu" (60: 8 - 9)
Wapo nyuma ya keyboard wanatypeNimeangalia Al jazeera news kiukweli siku si nyingi hautakuwa na Gaza tunayoijua labda Gaza Kifusi
Wako wapi Waarabu akina FaizaFoxy?
Inasikitisha sana
Naona hapa Nyumba ya Kiongozi namba 2 wa Hamas imegeuzwa KifusiWapo nyuma ya keyboard wanatype
Na bado moto ndio kwanza kuni zipo zinaanikwa zipate kukauka vzr zikachochewe vzr ziwake vzr.Naona hapa Nyumba ya Kiongozi namba 2 wa Hamas imegeuzwa Kifusi
Hamas wangetoka zipigwe kuliko kujificha katikati ya raia na kulialia.Wakijitokeza kama wayukreni wanavyopambana head to head ningewaona wa maana.Tofauti na hapo wanajitekenya na kujichekeshaIsrael hamna kitu kabisa bila USA, Kwa walichofanya urusi Bakhamut Kwa nini inakua ngumu kuingia ground hapo GAZA wakati wanasapoti ya west wote?. Wanaogopa nini?.
Hamas wangetoka zipigwe kuliko kujificha katikati ya raia na kulialia.Wakijitokeza kama wayukreni wanavyopambana head to head ningewaona wa maana.Tofauti na hapo wanajitekenya na kujichekesha
Bakhamut hawakutoka pia walijificha kwenye mahandaki na warusi walifuata huko huko, na Israel ifanye hivyo hivyo, halafu bahati mbaya Hamas hawana hata Ndege wala long range, ilitakiwa urusi awasaidie ili tuone mbungi kama la Ukraine.Hamas wangetoka zipigwe kuliko kujificha katikati ya raia na kulialia.Wakijitokeza kama wayukreni wanavyopambana head to head ningewaona wa maana.Tofauti na hapo wanajitekenya na kujichekesha
Bakhamut hawakutoka pia walijificha kwenye mahandaki na warusi walifuata huko huko, na Israel ifanye hivyo hivyo, halafu bahati mbaya Hamas hawana hata Ndege wala long range, ilitakiwa urusi awasaidie ili tuone mbungi kama la Ukraine.
Wawape Lebanon,wazipige huko Kusini ambapo HEZBOLLAH yupo, kudivert attention, Kisha baada yahapo watajua nini Cha kufanya.Mkuu Gaza ni kama gereza
Jamaa wamefungiwa mle ndani hakuna kinacho ingia wala kutoka.
Sasa hao Russia watapitishia wapi hizo silaha?
Channel gani mkuukuna video kulee telegram znasambaa mazee dah! wale vijana wakitanganyika akina molel wananyanyasika kingono ...yale mapalestina yaskiee tuuu ....