LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Jamaa punguani kweli lakini sishangai akili za mashoga huwq zipo hivyo zaidi ya mabasha zake watu wengine kwake hawana thamani.
Sasa kati ya waarabu na wayahudi,,,jamii ipi kwa idadi inaongoza kwa mashoga na walawiti na wasagaji na wanawake kuingiliwa kinyume??
NB: Rejea zanzbar kwenye jamii yenye utamaduni wa kiarabu
 
Hamas walivyosema kwamba Gaza itakua ni kaburi la Wanajeshi wa Israel walikua hawatanii..Shambulizi moja tu wameuwa wanajeshi 67 wa Israel

#BREAKING Al-Qassam Brigades ambushed Israeli soldiers, captured 43 soldiers and killed 67 soldiers.

Source:Israel channel 14

Israeli media and Military sources confirming the Ambush but denied any captured soldier

As a result of the attacks of the Al-Qassam brigade, a unit of the Givati Brigade had to withdraw from the north of Gaza —
Palestinian Source

Source:Israel channel 14,Palestinian Source.

Verfied by: War intel page on XView attachment 2799534

UPDATE: Unconfirmed report.......Hii habari bado sijajiridhisha,nilikua na haraka sana kuipost, huwa najitahidi sana kuleta habari za kweli humu na huwa nahakikisha naleta habari za uhakika kabisa!!Na hii habari niliitoa kwenye source ya uhakika kabisa lakini mleta habari amesema binafsi kuwa anaifanyia uchunguzi kwanza na akaifuta!!....Hii ni hadi nijiridhishe kwanza nilikua fasta sana kupost hii habari humu, so hadi nijiridhishe....Mimi sio kama kina Mk254 ambaye habari zake 95% anazoleta humu ni za uongo!!..........
Inaleta tafakuri sana kwenye huko kukurupuka
 
Mkuu kumbe according al jazeera chombo cha propaganda cha waarabu dhidi ya wayahudi.
UNADHANI IDF WANAENDA ENDA TU KAMA WAASI WA M 23???
NB: According al jazeera 🤣🤣🤣
Israeli recognition of huge losses in the ground war.

The Israeli's Minister of War stated:
In recent days, Israeli forces have suffered heavy losses as a result of the clashes that have occurred, and we have suffered numerous casualties in the clashes that took place in the Gaza Strip.

Israeli army spokesman:
The conflict in the Gaza Strip continues, and we have lost many soldiers in this conflict.

One of the field commanders of the Saraya Al-Quds battalions (the military wing of the Islamic Jihad movement) noted:
If Israeli leaders announce the number of casualties for today alone, Netanyahu's cabinet will fall immediately.
 
Attachments

  • IMG_5632.jpeg
    IMG_5632.jpeg
    89.7 KB · Views: 3
Sasa kati ya waarabu na wayahudi,,,jamii ipi kwa idadi inaongoza kwa mashoga na walawiti na wasagaji na wanawake kuingiliwa kinyume??
NB: Rejea zanzbar kwenye jamii yenye utamaduni wa kiarabu
Wewe shabiki mandazi tu na zile ndoa za Mashoga zinazofungwa Makanisani na Mapdri wameruhusu kwako si unaona sawa maana na wewe mmoja wao.
 
Hamas walivyosema kwamba Gaza itakua ni kaburi la Wanajeshi wa Israel walikua hawatanii..Shambulizi moja tu wameuwa wanajeshi 67 wa Israel

#BREAKING Al-Qassam Brigades ambushed Israeli soldiers, captured 43 soldiers and killed 67 soldiers.

Source:Israel channel 14

Israeli media and Military sources confirming the Ambush but denied any captured soldier

As a result of the attacks of the Al-Qassam brigade, a unit of the Givati Brigade had to withdraw from the north of Gaza —
Palestinian Source

Source:Israel channel 14,Palestinian Source.

Verfied by: War intel page on XView attachment 2799534

UPDATE: Unconfirmed report.......Hii habari bado sijajiridhisha,nilikua na haraka sana kuipost, huwa najitahidi sana kuleta habari za kweli humu na huwa nahakikisha naleta habari za uhakika kabisa!!Na hii habari niliitoa kwenye source ya uhakika kabisa lakini mleta habari amesema binafsi kuwa anaifanyia uchunguzi kwanza na akaifuta!!....Hii ni hadi nijiridhishe kwanza nilikua fasta sana kupost hii habari humu, so hadi nijiridhishe....Mimi sio kama kina Mk254 ambaye habari zake 95% anazoleta humu ni za uongo!!..........
Usiwe unakurupuka kutoa taarifa zisizo na uhakika kwa mizuka ya kidini

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Jeneral wa Jeshi la Urusi Bwana Andrei Gorolyov ambaye pia ni afisa mwandamizi huko Urusi amekiri kuwa kwa taarifa zake rasmi ni kuwa wanajeshi zaidi ya 500 wa Israel washaangamizwa hadi sasa!!

Jenerali wa Urusi Andrei Gorolyov [emoji635]: "Kulingana na taarifa zangu, idadi ya wanajeshi wa Israel waliouawa ni takriban 500." "Ufadhili wa Hamas unatoka Uturuki na Qatar, hiyo ni kweli.

Kwa sababu fulani, kila mtu anazungumza juu ya Irani, kwa hivyo lengo ni Iran? Wanataka kuiingiza Iran kwenye mzozo na kuishinda ili kulishinda taifa hilo?

. Katika miongo kadhaa iliyopita, Iran imepata maendeleo makubwa katika uzalishaji wa silaha za kisasa, na ndio maana hata aircraft carrier za kubebea ndege ya Marekani hawafurukuti lakini Wamarekani hawajali hasara na uharibifu utakaotokea.

Bali wanataka Israel kupigana na kila mtu, kwa hivyo tuko vitani na America na amani haitakuja.

BREAKING[emoji599][emoji599]: Russian General Andrei Gorolyov [emoji635]: “According to my information, the number of Israeli army personnel killed is about 500.” “Hamas’ funding comes from Türkiye and Qatar, that’s true.
For some reason, everyone is talking about Iran, so the target is Iran? They want to drag Iran into the conflict and defeat this republic.
Over the past decades, Iran has made serious progress in the production of modern weapons, and that is why the American aircraft carrier groups do not approach, but the Americans do not care about the losses and destruction that will occur.
Rather, they want Israel to fight everyone, so we are at war with the United States, and peace will not come. On Earth, there is only a multipolar world and the departure of the hegemonic power.”View attachment 2799627
Urusi amekuwa msemaji wa hamas siku hizi?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Israeli recognition of huge losses in the ground war.

The Israeli's Minister of War stated:
In recent days, Israeli forces have suffered heavy losses as a result of the clashes that have occurred, and we have suffered numerous casualties in the clashes that took place in the Gaza Strip.

Israeli army spokesman:
The conflict in the Gaza Strip continues, and we have lost many soldiers in this conflict.

One of the field commanders of the Saraya Al-Quds battalions (the military wing of the Islamic Jihad movement) noted:
If Israeli leaders announce the number of casualties for today alone, Netanyahu's cabinet will fall immediately.
Hizi propaganda tumezizoea tokea vita ya Yom kippur 1973 na hakuna lolote.
Waarabu ni watu wa propaganda tu
 
Wewe shabiki mandazi tu na zile ndoa za Mashoga zinazofungwa Makanisani na Mapdri wameruhusu kwako si unaona sawa maana na wewe mmoja wao.
Mkuu mm sijakataa wazungu au wayahudi au waswahili au wahindi au wachina kua ni mashoga.
ILA NIMEKUPA HALI HALISI YA USHOGA NA ULAWITI NA UFIRWAJI NA UFIRAJI NA WANAWAKE KUHARIBIKA MAUMBILE KATIKA JAMII ZA WAARABU
 
Muislam haijawahi kuwa mjinga na ndio maana haijawahi kuuziwa chuvi ,maji, mafuta kwa laki 2 kwa imani eti akitumia anaenda kuwa tajiri na kuondoa mikosi.

Waisilam sio wajinga kama wagaratia ambao wao wakitaka gari wanaombewa na mchungaji ila mchungaji akitaka gari waumini ndo wanamchangia.

Waisilam sio wajinga kama wagaratia ambao wakiumwa wanaenda kwa mchungaji kuombewa wapone wakati mchungaji akiumwa anaenda hospital ya gharama kupata matibabu bora.
Wapo waislam wanaojielewa,huwakuti wanashabikia huo upuzi lakini wewe ni gaidi wa kinadharia, nenda huko Gaza ukavae mabomu na kupambana na IDF tuone kama utarudi. Wewe kwa akili Yako HAMAS , Hezbollah wanaweza kumshinda Israel mwenye modern weapons + Nyuklia? Iran alishakiri Yuko na hamas na Hezbollah lakini wewe unahamishia Kwa Turkey na Quatar ! Wewe ni utakuwa ni mshia dini ya Ayatollah Khomeini
 
Halafu baadaye israel akiendelea kuwaangamiza wapalestina mnakuja hapa kulia lia.
Israel atashinda na sababu ziko wazi, ni support kubwa sana kutoka USA( Tech USA anapiga vita) lakini unajuliza, hivi hawa Hamas ndio wangekuwa kama ni nchi au tuseme wana silaha na jeshi kama nchi na pesa au tuseme wangekuwa na 50% ya resource za Israel hii vita ingekuwaje? kwa sasa ni kama boxing basi heavyweight kapanda ulingozi na Featherweight ila wako round ya 3. Israel and pewa pesa, misaada mikubwa ya kijeshi na mpaka ulinzi ila hawa Hamas wana watu yaani wapiganaji na mshujaa. Hii vita ndani ya Ghaza ina maafa makubwa sana kuliko ushabiki wetu humu, Nentanyau emekiri kisha waandaa wa Israel, hii vita ndefu na gharama itakuwa kubwa kimali na hasara ya binadamu. Kazi bado haijaanza.
 
Jeneral wa Jeshi la Urusi Bwana Andrei Gorolyov ambaye pia ni afisa mwandamizi huko Urusi amekiri kuwa kwa taarifa zake rasmi ni kuwa wanajeshi zaidi ya 500 wa Israel washaangamizwa hadi sasa!!

Jenerali wa Urusi Andrei Gorolyov [emoji635]: "Kulingana na taarifa zangu, idadi ya wanajeshi wa Israel waliouawa ni takriban 500." "Ufadhili wa Hamas unatoka Uturuki na Qatar, hiyo ni kweli.

Kwa sababu fulani, kila mtu anazungumza juu ya Irani, kwa hivyo lengo ni Iran? Wanataka kuiingiza Iran kwenye mzozo na kuishinda ili kulishinda taifa hilo?

. Katika miongo kadhaa iliyopita, Iran imepata maendeleo makubwa katika uzalishaji wa silaha za kisasa, na ndio maana hata aircraft carrier za kubebea ndege ya Marekani hawafurukuti lakini Wamarekani hawajali hasara na uharibifu utakaotokea.

Bali wanataka Israel kupigana na kila mtu, kwa hivyo tuko vitani na America na amani haitakuja.

BREAKING[emoji599][emoji599]: Russian General Andrei Gorolyov [emoji635]: “According to my information, the number of Israeli army personnel killed is about 500.” “Hamas’ funding comes from Türkiye and Qatar, that’s true.
For some reason, everyone is talking about Iran, so the target is Iran? They want to drag Iran into the conflict and defeat this republic.
Over the past decades, Iran has made serious progress in the production of modern weapons, and that is why the American aircraft carrier groups do not approach, but the Americans do not care about the losses and destruction that will occur.
Rather, they want Israel to fight everyone, so we are at war with the United States, and peace will not come. On Earth, there is only a multipolar world and the departure of the hegemonic power.”View attachment 2799627
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 KIMSI HUU UZI MWINGINE TENA 🤣🤣🤣🤣
Mbona kule umetukimbia 🤣🤣🤣
 
Muislam haijawahi kuwa mjinga na ndio maana haijawahi kuuziwa chuvi ,maji, mafuta kwa laki 2 kwa imani eti akitumia anaenda kuwa tajiri na kuondoa mikosi.

Waisilam sio wajinga kama wagaratia ambao wao wakitaka gari wanaombewa na mchungaji ila mchungaji akitaka gari waumini ndo wanamchangia.

Waisilam sio wajinga kama wagaratia ambao wakiumwa wanaenda kwa mchungaji kuombewa wapone wakati mchungaji akiumwa anaenda hospital ya gharama kupata matibabu bora.
WAISLAMU WAARABU NDIO WAJINGA WA KWANZA DUNIANI.
WANATUMIA HISIA KULIKO AKILI.
WANAKAZIMISHA WANACHOAMINI WAO NA WENGINE WAAMINI
 
Huu ni wakati wa Serikali ya Tanzania kuvunja mahusiano na Israel haraka sana kwa yanayoendelea huko Gaza!!

Huko nyuma tuliwahi kusema kuwa "kila mtu anastahili haki ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake". Pia tulisema kwamba kila watu wana haki ya kuwa na mahali ambapo watakuwa salama kutoka vitisho vyovyote vya utu wao na nafasi yao kama jamaa.

Tokea enzi za Nyerere tuliamini ya kwamba hakuna mwanadamu mwingine ambaye ana haki ya kumtawala kwa nguvu mwanadamu mwingine kwa kisingizio chochote kile. Hii ilikuwa ni falsafa yetu dhidi ya ukoloni.

Leo hii tunashuhudia yanayoendelea Palestina ambapo karibu maelfu ya watu wameshauawa. Je, Bunge linapokutana siku chache zijazo zilaani mauaji hayo? Je, serikali ilaani pande zote mbili kwa kusababisha mazingira ambayo yanamnyima mwanadamu nafasi ya kuwa huru kufanya lolote? Tunapaswa tuungane na nchi nyingine mfano Bolivia ambazo zimevunja uhusiano na Israel kutokana na suala la Gaza

Hatuwezi kuendelea kulisapoti taifa la kigaidi ambalo lina mchango mkubwa wa ubaguzi wa Rangi na.ambalo limeshiriki kuwaangamiza Waafrika wengi mfano wakati wa makaburi walitoa misaada ya kila aina kwa makaburu ili waendelee kuwauwa watu weusi kule Africa ya kusini bado zile cases za waafrika waethiopia kufungwa vizazi wasizae kwa nguvu!

Kwa yanayoendelea naiomba serikali ivunje uhusiano mara moja na huu utawala katili wa Israel View attachment 2799632View attachment 2799631View attachment 2799633View attachment 2799634
Wamelichokonoa wenyewe, walimalize wenyewe siyo kulia lia ooh tuvunje uhusiano na Israel. Bila kuchokozwa wangewachapa?
 
WAISLAMU WAARABU NDIO WAJINGA WA KWANZA DUNIANI.
WANATUMIA HISIA KULIKO AKILI.
WANAKAZIMISHA WANACHOAMINI WAO NA WENGINE WAAMINI
Naona unavyo ugulia maumivu bila shaka kisu kimepiga mpaka kwenye moyo.

Bila shaka na ww utakuwa miongoni mwa warokole wanao watajilisha akina zumaridi.
 
Back
Top Bottom