Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona raha gani kumuita mwenzio kafiri we🐒,?Kafiri naona upo kazini
Mgogoro huo kiini chake ni dini sio kingine.Pole kwa kufikiri bepari anaridhika.
Ameingia Gaza na hatoondoka.
Kuiba au kupita so Kwamba huna Bali Ni kuaccumulate utajiri /rasilimali kadiri inavyofaa.
Marekani iliachilia usd bil 6 kwenda Iran. Iran ikawafadhili Hamas km ilivyo kawaida na kuwapa jeuri ya kuanzisha Vita. Lkn Iran mchezo mzima anaujua.
Unadhani mosad wamelala kiasi hawakua mipango ya mashambulizi ya Hamas.?
Unadhani Israel kugundua gesi yake ndiyo hataitaka na ya Gaza.
Fikiri nje ya box.
Hawa mabepari hawaingii Vita isiyo na maslahi mapana ya kiuchumi.
Hii Vita haina hata chembe ya dini Bali Ni Vita ya kiuchumi.Kwa wanaofikiri na wnatafuta habari za kina.
Kuna mengi huyajui.
Achana nae huyo mwarabu wa kwa mparange Kwanza ukijua maana ya neno kafiri hata haina haja ya kukasirika kafiri ni mpingaji sasa yy anaupinga ukristo ni kafiri pia .Unaona raha gani kumuita mwenzio kafiri we[emoji205],?
Mkishakula urojo mnawaza kukuna mbupu tu vibarazani na badae mkanywe supu kwenye mafuriko jangwani badae vyoo vyote vinajaa.
Usije ukasema hujaambiwaYesu ndio njia ya kweli na uzima,kimbia upesi kabla hujachelewa.
Tuli kuwa tunaliswa matango pori kuwa vufaru vya Israel havipigiki ,na hapo Hamas wanatumia Ant_tank walizo jitengenezea wenyewe kienyeji hivyo hazina nguvu sana na zina hitaji kulenga target kwa ukaribu wa mita mia tu, hivyo kuwaweka hatarini ya kuuawa kwa walengaji wa shabaha.Kumekua na mrundikano wa vifaru na magari mengi ya Israel yaliyokutana na kipigo (ambush) katika jiji la Gaza..
[emoji298]Israeli vehicles destroyed in Gaza ambush - local mediaView attachment 2812926
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.(Yohana 14:6).Kafiri ukifa bado ni mkiristo ni motoni. Hili neno nitalirudia . Wengi wananifata inbox ili niwaeleze kiundani. Washashtuka
Agano jipya hilo itakuwa la mabiboYesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.(Yohana 14:6).
Uwezo wako wakuona ndio umeisha hapoVifaru vinne ndiyo mrundikano
Kama si muislam ni hasara. Hakuna upagan hakuna niniKila mtu aende sehemu inayomuhusu tusipangiane,
wengine ni born again pagan hapa utawaweka wapi?
Hakuna njia ya kwenda mbinguni bila kristo na huko uliko uko upande wa mpinga kristo.kwanini umefumbwa kiasi hiki hata hutaki kuelewa?.usije ukasema hujaambiwa