LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Na hapo usisahau usa naye yupo ground anasaidia lakini wanapata tabu na kikundi cha mgambo ndio maana netanyahu mashambulizi ya hezbollah anayavumilia anajua akilianzisha kule patakuwa hapakaliki
Wanalambishwa sana mchanga
 
Nyinyi Waislam ni mafundi sana wa kugeuzaga habari, hatushangai kwani mmerithi Toka kwa Mungu wenu ALLAH, yule aliyempita hata Ibilisi kwa kuudanganya Quran 15:39 yeye huyo huyo ambaye huwachukia watu wasiofanya dhambi kiasi Cha hata kuwaua na badala yake huwapenda wale wanaofanya dhambi Sahih Muslim Hadith 2748
View attachment 2812925
Ndo nini sasa ulichoscreenshot? Sijaelewa uhusiano wake na kinachoongelewa hapa.
 
Kumekua na mrundikano wa vifaru na magari mengi ya Israel yaliyokutana na kipigo (ambush) katika jiji la Gaza..

[emoji298]Israeli vehicles destroyed in Gaza ambush - local mediaView attachment 2812926
vita haina macho kikubwa ubao unasoma vzr upande wa nan? sidhan kama dhamira ya hamas ilikiwa kulipua vifaru vnne tu
 
Magaidi ambayo yameganda kwenye hospitali yalijaribu kushambulia jeshi la Israel, wakawahishwa fasta kwenda kwa mabikira....

Screenshot-2023-11-13-185355.jpg
The Israel Defense Forces says troops killed members of a terror cell that opened fire at Israeli forces from Al-Quds Hospital in Gaza City.

According to the IDF, the cell had opened fire at troops of the 188th Armored Brigade with light arms and RPGs, while being “embedded within a group of civilians at the entrance of the hospital.”

The IDF says troops, with air support, returned fire at the Hamas operatives, killing 21 of them. No troops were hurt but one tank was damaged by an RPG, the IDF says.
Mabikira wenyewe wapo basi?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
A picture shows a large number of damaged and destroyed Israeli tanks, armored vehicles, and bulldozers near Al-Shifa Hospital in Gaza.

As the IRGC commanders said, the Palestinians are prepared for a long-term war and have always hoped that Israel would invade Gaza.
 
Sasa Mkuu kumiliki jengo la bunge ndo kuiangamiza hamas mbona haueleweki?
 
Back
Top Bottom