LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ukiachana na ushoga,propaganda na uzushi na kuua wanawake na watoto ni ipi sifa nyingine ya jeshi la utawala haramu wa kizayuni wa Israel yaani IDF/IOF?

#Tiktok army
#Lgbtq army vs Gentlemen of Hamas brigades
#Gaza imegeuka kuwa makaburi ya wazayuni

#Vifaru vyao ndo majeneza yao

#Vifaru wakaviita merkava maana yake ni kitanda cha Mungu eti ndo kifaru bora zaidi duniani kumbe vipo kama Box la mikate tu, Ushaona wapi kifaru kinavunjwa vunjwa na na kabunduki aina ya #Yasin ambayo kabomu kake kameundwa na sukari na chumvi hafifu?

Sipati picha siku makombora ya Iran yatakapofyatuliwa na kutua kwenye vichwa vya wazayuni kina netanyahu na wenzake!!

Kaskazini mwa Israel kumekua ni jinamizi la Wazayuni...Gaza napo ni kinamasi cha wazayuni
Yote uliyoongea ila ujue IDF ikiendelea na hii operation Gaza hata miezi 3 haishi Hamas watakuwa wameisha Gaza wengi watakimbilia Qatar, Jordan, Syria, Lebanon

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Sifa nyingine ambayo Waarabu hawatakaa waisahau ni kwamba ukiwachokonoa wanakusambaratisha

gettyimages-1752139716_custom-3689b350517c649aa9ba13127900f3538ab17c92-s1100-c50.jpg
 
Ukiachana na ushoga,propaganda na uzushi na kuua wanawake na watoto ni ipi sifa nyingine ya jeshi la utawala haramu wa kizayuni wa Israel yaani IDF/IOF?

#Tiktok army
#Lgbtq army vs Gentlemen of Hamas brigades
#Gaza imegeuka kuwa makaburi ya wazayuni

#Vifaru vyao ndo majeneza yao

#Vifaru wakaviita merkava maana yake ni kitanda cha Mungu eti ndo kifaru bora zaidi duniani kumbe vipo kama Box la mikate tu, Ushaona wapi kifaru kinavunjwa vunjwa na na kabunduki aina ya #Yasin ambayo kabomu kake kameundwa na sukari na chumvi hafifu?

Sipati picha siku makombora ya Iran yatakapofyatuliwa na kutua kwenye vichwa vya wazayuni kina netanyahu na wenzake!!

Kaskazini mwa Israel kumekua ni jinamizi la Wazayuni...Gaza napo ni kinamasi cha wazayuni
Bangi hizi umezivuta saa ngapi? Achana na hayo mambo kafanye kazi za kulijenga taifa, kukosa akili ni janga Kwa familia na taifa, mkiambiwa nendeni shule mkasome mnakalia mambo ya upuzi. Uzuri Iran amesoma arama za nyakati na wazair mtasfuwa mambo ya nje wa Iran Zarif ameonya Iran ikiingia vita na Israel ndo utakuwa mwisho wa Ayatollah.
 
Ukiachana na ushoga,propaganda na uzushi na kuua wanawake na watoto ni ipi sifa nyingine ya jeshi la utawala haramu wa kizayuni wa Israel yaani IDF/IOF?

#Tiktok army
#Lgbtq army vs Gentlemen of Hamas brigades
#Gaza imegeuka kuwa makaburi ya wazayuni

#Vifaru vyao ndo majeneza yao

#Vifaru wakaviita merkava maana yake ni kitanda cha Mungu eti ndo kifaru bora zaidi duniani kumbe vipo kama Box la mikate tu, Ushaona wapi kifaru kinavunjwa vunjwa na na kabunduki aina ya #Yasin ambayo kabomu kake kameundwa na sukari na chumvi hafifu?

Sipati picha siku makombora ya Iran yatakapofyatuliwa na kutua kwenye vichwa vya wazayuni kina netanyahu na wenzake!!

Kaskazini mwa Israel kumekua ni jinamizi la Wazayuni...Gaza napo ni kinamasi cha wazayuni
Utawala haramu! Wamechagua na kwa mujibu wa sheria zao leo umekuwa utawala haramu.
Kati ya Plo na Hamas upi utawala halali.
 
Ukiachana na ushoga,propaganda na uzushi na kuua wanawake na watoto ni ipi sifa nyingine ya jeshi la utawala haramu wa kizayuni wa Israel yaani IDF/IOF?

#Tiktok army
#Lgbtq army vs Gentlemen of Hamas brigades
#Gaza imegeuka kuwa makaburi ya wazayuni

#Vifaru vyao ndo majeneza yao

#Vifaru wakaviita merkava maana yake ni kitanda cha Mungu eti ndo kifaru bora zaidi duniani kumbe vipo kama Box la mikate tu, Ushaona wapi kifaru kinavunjwa vunjwa na na kabunduki aina ya #Yasin ambayo kabomu kake kameundwa na sukari na chumvi hafifu?

Sipati picha siku makombora ya Iran yatakapofyatuliwa na kutua kwenye vichwa vya wazayuni kina netanyahu na wenzake!!

Kaskazini mwa Israel kumekua ni jinamizi la Wazayuni...Gaza napo ni kinamasi cha wazayuni
Sifa kubwa ya hawa jamaa ni kuhakikisha mwarabu analegea kama mlenda kila akimuota
 
ahahahah kijana kakimbia uzi, umetoka madrasa shehe wako kakupiga fix umekuja nazo nzima nzima bila hata kujiridhisha yanayoendelea huko gaza, haya maneno mliyasema kabla israel hajaingia gaza, mkajipa moyo eti kama wao ni wanaume waingie gaza waache kurusha mabomu, wakazama panya za hamas zikajificha pangoni, leo northern gaza iko chini ya israel, vituo vya polisi, bunge na hospital zote ziko chini ya israel, msako wa panga road hamas ni mkali na inawezekana hamas wamekimbilia south, next operation itahamia south kuhakikisha hakuna hamas aliyejificha huko, machaguzi mliyonayo hamas ni kujigeuza raia na kukimbilia uarabuni... ila mjue gaza ndio bye bye.

kwahyo sifa nyinginne ya IDF ni KIBOKO YA WAARABU, kazungukwa na waarabu tupu lakini ana jeuri na la kumfanya hamna.

IRAN ni mfanya biashara, hawezi fanya vita ya moja kwa moja, zaidi sana anawapa salaha mkamalizwe wenyewe.
 
Ukiachana na ushoga,propaganda na uzushi na kuua wanawake na watoto ni ipi sifa nyingine ya jeshi la utawala haramu wa kizayuni wa Israel yaani IDF/IOF?

#Tiktok army
#Lgbtq army vs Gentlemen of Hamas brigades
#Gaza imegeuka kuwa makaburi ya wazayuni

#Vifaru vyao ndo majeneza yao

#Vifaru wakaviita merkava maana yake ni kitanda cha Mungu eti ndo kifaru bora zaidi duniani kumbe vipo kama Box la mikate tu, Ushaona wapi kifaru kinavunjwa vunjwa na na kabunduki aina ya #Yasin ambayo kabomu kake kameundwa na sukari na chumvi hafifu?

Sipati picha siku makombora ya Iran yatakapofyatuliwa na kutua kwenye vichwa vya wazayuni kina netanyahu na wenzake!!

Kaskazini mwa Israel kumekua ni jinamizi la Wazayuni...Gaza napo ni kinamasi cha wazayuni
Waabudu Allah na mashetani yake mko so frustrated. Kichapo kipo pale pale.
 
ALIYESEMA WAPALESTINA WAFUTWE WOTE AFUTWA NA HAMAS NI YULE MZEE ALIYETREND SANA ISRAEL

Wengi mnamkumbuka Ezra Yashin yule mzee wa Kizayuni na mwanajeshi mstaafu aliyekua anasema Wapalestina ni wanyama na wanapaswa kufutwa wote ameangamizwa tayari yeye na wenzake

Announcing the killing of the Zionist general - and me Ezra Yashin, 95 years old, After confirmation by DNA testing, 8 soldiers were targeted in the Tiger armored vehicle and burned until they were charred. Ezra is a participant in the 1948 massacres. The beginning of the war on October 7 circulated a clip of him urging the soldiers, “Kill them to leave none of them.”
download (24).jpg
images - 2023-11-18T105759.394.jpg
 
MWANAJESHI HUYU ALISEMA WAPALESTINA WAFUTWE WOTE NAYE AMEFUTWA NA HAMAS
Huyu mwanajeshi mzee wa Israel alitrend sana Alisema wapalestina ni wanyama na wanapaswa kuuawa wote na kufutwa wote hatimaye naye kauawa na Hamas..Alienda mbali zaidi kwa kuwahasisha IDF wauwe wanawake na watoto!!

Everything that calls for genocide to be committed in Gaza is being done by Netanyahu & his Zionist gang.
They called a 95 year old Zionist reservist to talk with the soldiers, in order to raise morale !
Listen to him encouraging the zionist soldiers to kill every Palestinian or even Arab !

F8WBFi4XAAAXAfa.jpg_large.jpg
download (24).jpg
 
The Zionist general "Ezra Yashin" was killed at the age of 95 along with 8 soldiers. They were targeted in an armored vehicle and burned until they were charred.
Ezra is a participant in the 1948 massacres.
A clip was circulated of him inciting the soldiers, “Kill them and leave none of them.”
20231118_114118.jpg
 
MWANAJESHI HUYU ALISEMA WAPALESTINA WAFUTWE WOTE NAYE AMEFUTWA NA HAMAS
Huyu mwanajeshi mzee wa Israel alitrend sana Alisema wapalestina ni wanyama na wanapaswa kuuawa wote na kufutwa wote hatimaye naye kauawa na Hamas..Alienda mbali zaidi kwa kuwahasisha IDF wauwe wanawake na watoto!!

Everything that calls for genocide to be committed in Gaza is being done by Netanyahu & his Zionist gang.
They called a 95 year old Zionist reservist to talk with the soldiers, in order to raise morale !
Listen to him encouraging the zionist soldiers to kill every Palestinian or even Arab !

Announcing the killing of the Zionist general - and me Ezra Yashin, 95 years old, After confirmation by DNA testing, 8 soldiers were targeted in the Tiger armored vehicle and burned until they were charred. Ezra is a participant in the 1948 massacres. The beginning of the war on October 7 circulated a clip of him urging the soldiers, “Kill them to leave none of them.”View attachment 2817479View attachment 2817480View attachment 2817481
Mimi huwa nawashangaa wafia dini akiuawa muisrael mnashangilia mnawapongeza Hamas ila Israel ikijibu mapigo mtalalamika mtapaza sauti wapalestina wanauawa UN ipo wapi,umoja waarabu upo wapi,

Back
Top Bottom