LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
View attachment 2822300

Binti mmoja mdogo kabisa wa umri alimuuliza Mama yake, Mamaa naona wenzangu kule Ghaza wanauawa, wanateswa!

Kwanini Mwenyezi Mungu (S.W) hawatumii adhabu hawa Mazayuni? Mama akafikiriaa akamwambia👉 Mwenyezi Mungu (S.W) amesha-waadhibu mazayuni.

Vipi Mamaa? Akasema👉 ukiwaona hawa Mazayuni utamuona kwamba Mwenyezi Mungu (S.W) hayupo kabisa katika nyoyo zao, na ndio maana hata ukiwaona katika vyombo vya habari wanapokua wanajibu maswali unaona shari inayodhihirika kabisa wazi wazi katika macho yao na nyuso zao, ina maana hakuna adhabu kali kama Mungu au Mwenyezi Mungu awe hayupo kabisa katika moyo wa binaadam, lakini pahala pake huo ugumu, ukatili, unyama, kumbe Mwenyezi Mungu (S.W) ameshaanza kuwaadhibu Mazayuni kabla adhabu kubwa inayowasubiri kwa Qiyamani, jibu zuri kwa huyo mama!

Mkono kwa Mkono hadi Peponi!
Mtoto mdogo kawajuaje mazayuni kama sio ameshaanza kumezeshwa chuki toka kwenye kile kitabu cha aya za shetani.
 
Mateka 240 wa Israel ni sawa na wafungwa 5300 wa palestina waliopo magerezani.
 
Hii Vita pamoja na mambo mengine pia tunaandika na kuhifadhi kumbukumbu kwa ajili ya Rejea za baadae

Anayajua aliyeomba Vita isimame temporarily ni nani?

Ahsanteni sana 😄🔥
Walioomba ni wale jamaa wa #Free Palestine, haya mengine yanatokana na thamani. Thamani ya Myahudi mmoja ni sawa na Wapalestina 10000.
 
🚨 JUST IN: Hezbollah Claims Responsibility for Most Intensive Rocket Attack Since the War Began - 48 Katyusha Rockets Fired on Northern Israel

Source: Yediotnews
 
⚡️#BREAKING Qatar yatangaza makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza kuanzia Ijumaa saa 7 asubuhi - Reuters
 
Back
Top Bottom