LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
mateka wanasema walikuwa wanakaa kwenye nyumba siyo mahandaki kama tunavyoamishwa😂
Akili yako ndogo sana,hao mateka ukiambiwa ni mapandikizi ya wake zao hao Hamas na watoto wao utachoka.
 
[emoji298]️[emoji1134][emoji1193]Information received indicates that an Israeli military commander from the high command of the occupation army was killed this morning during his visit to Israeli forces located in (southeast) Gaza.

The country has declared a state of emergency and the Israeli army's private hospital has been closed since midday.
/#Palestine #Israel/

[emoji736][emoji837] @sepah_pasdaran_ru
IMG_20231205_032615.jpg
 
Hakuna jeshi lenye kushinda vita isiyo na military objectives.

Sasa ukimuuliza Netanyahu anapigana ili aachive nini, atasema kuwa ni kuitokomeza HAMAS. Sawa uwezo wa kuitokomeza HAMAS anao lakini kwa kuikalia Gaza Nzima, tena kwa muda mrefu. Je anao uchumi wa kukalia watu milioni 2 in full combat gear?, au anategemea mjomba USA ampe maokoto?

kama waliweza kukalia Sinai nzima,eneo la syria na lebanone kwa wakat mmoja tena miaka hyo 1967 watashindwa leo!!
Shida mnalia sana wakipga kidogo mnakusanya watoto na wamama waliokua pamoja na hamas kuililia dunia isingekua hivo Gaza yangebaki majivu
 
kama waliweza kukalia Sinai nzima,eneo la syria na lebanone kwa wakat mmoja tena miaka hyo 1967 watashindwa leo!!
Shida mnalia sana wakipga kidogo mnakusanya watoto na wamama waliokua pamoja na hamas kuililia dunia isingekua hivo Gaza yangebaki majivu
We bado umekariri ya mwaka 47,, hata sie tulijua Israel ukipiga bomu linadunda kwa ulinzi na teknolojia waliyonayo,, kwa sasa ona kinachowakuta,, wanakufa kama kuku ingawa wanaficha idadi kamili, tena wao wanakufa askari,, tofauti na wapalestina wanaokufa wengi ni wagonjwa, vitoto, na akinamama na ukumbuke hao wanaopigana nao ni wanamgambo Ambao hawana hata kifaru wala ndege,, zaidi ya ma rpg na manati, mawe na magobore..
 
Baada ya kupata kipigo kibaya ndani ya siku mbili Israel imeamua kuokoa Wanamgambo wake kwa kuwaondoa Kaskazini mwa gaza hii ni aibu kubwa kuwahi kutokea......

[emoji599][emoji1134][emoji1193] BREAKING: “ ISRAEL has announced the WITHDRAWAL of 70% of their forces from the northern Gaza Strip due to the failure of their operations and because of resistance strikes.

The withdrawal from the northern Gaza Strip began with the truce and accelerated with the resistance strikes in the last two days.”

— Al Jazeera, citing a leading source in Al-Qassam
Duh nina shaka na hii habari. Kama mayahudi yanapewa kipigo ni jambo la kufurahisha. Unajua mayahudi na mabwana zake marekani na ulaya magharibi wana njama kuficha au kuzuia habari zozote za kichapo kwa el yahud.
 
Kwa jinsi ambavyo hawa watu wanavyopewa sifa na walokole, nilitegemea watapigana vita vya kisayansi yaani taifa linalosifiwa na walokole kuwa ni teule linaua watoto na wanawake na wazee Tena baadhi ya ni wa kristo wenzetu, badala ya kuwaua mapiganaji, kumbe warusi wako mbali sana kisayansi, Uteule wao umeshindwa kubaini mateka wako wapi.Amani na salama wapenda tuwaombee wakristo wenzetu wa parestina lakini tusiwasahau na waislamu ambayo kiukweli hawana ubaya na wakristo hapo gaza
 
Hakuna Vita isiyokuwa na hasara! Israel ilishakiri kuwa vita vitachukua muda mrefu na vitakuwa vigumu lakini itashinda!
Ground operations zinaendelea kama kawaida! Changamoto yake ni namna ya kuepusha vifo vya raia.
 
Amani na salama wapendwa, sisi tunaouangalia mgogoro huo tukiwa na akili zetu na sio zakushikiwa na Imani yeyote always tunangalia haki, Ni Kosa kuua watu wasio na hatia, Hamas walikosea lakini lsrael anakosea zaidi, uadui hautaisha kamwe damu itaendelea kumwagika milele mpaka pa!e haki itakapopatikana
 
Kuna watu wanakalili historia ya miaka ya nyumba,eti waisrael waliwashinda waarabu ndani ya siku sita eti Mungu aliwapigania. Leo wanapambana na sio inchi Bali kakikundi tu Leo ni siku ya ngapi? Ukweli ni kwamba ni waingreza na wamarekani walihusika pakubwa kutoa siraha na inteligensia na askali. Pili Leo hakuna teknolijia ya siraha na inteligensia ya vita ambayo hawana ,
majirani zake wameadvance sana. Labra atumie nyuklia
 
Israeli military expert "Barham Meir" on Channel 12: We have to admit that "Hamas" has won and the continuation of the struggle will lead to the great fall of the Israeli army. He says that within 24 hours, 25 vehicles were destroyed, if we assume that 3 soldiers were killed in each vehicle, the number is 75, a loss that Israel has not suffered in its history

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom