LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Houthi ni Jeshi la Yemen,au ni Islamic State,ni kutaka tu kufahamu
Houthi ni kikundi cha kisiasa cha Wayemeni kilichoshika mamlaka ya Yemen kwa nguvu sasa hivi. Walipigana sana na Saudi Arabia, mpaka sasa wamesimamisha vita lakini bado wako kwenye tension na Wasaudi.
 
Msemaji wa Hamas mh Osama Hamdun amezishukuru nchi za Kiislamu na Vikundi vyake zinazowaunga mkono

Osama amemwomba Allah azidi kuwaongezea marafiki hao wema

Mlale Unono 😀
 
Hizo ni ndoto za Yemen....tusubir kama kweli yeye anamiliki bahari..
Hii ndio hali halisi hakuna meli inayoingia wala kutoka israel kupitia suez canal
 

Attachments

  • Screenshot_20231211-174609_Instagram.jpg
    Screenshot_20231211-174609_Instagram.jpg
    75.9 KB · Views: 6
True jews wanapenda amani sio hawa wazungu waliohamia israel
 

Attachments

  • Screenshot_20231212-210318_Instagram.jpg
    Screenshot_20231212-210318_Instagram.jpg
    87.6 KB · Views: 2
Biden akiri israel kupoteza support kutoka jumuia ya kimataifa kwa kuua raia bila ya sababu
 

Attachments

  • Screenshot_20231212-214111_Instagram.jpg
    Screenshot_20231212-214111_Instagram.jpg
    121.7 KB · Views: 7
marekani kwa mara ya kwanza yamkosoa israel hadharani na kuionya kwamba inapoteza ushawishi kwenye jumuia ya kimataifa na hata marekani yenyewe haikubaliani na jinsi israel inavyoendelea na vita dhidi ya hamas
Mungu siku zote hajawahi kushindwa wameanza kugeukana taratibu
 

Attachments

  • Screenshot_20231212-221329_Chrome.jpg
    Screenshot_20231212-221329_Chrome.jpg
    122 KB · Views: 6
Mods bana wameninyima access ya kuanzisha uzi 😂😂
 
Mambo yameanza kuwa magumu kwa Israel na Marekani hali tete baada ya Marekani kumtekeza Israel wameanza kushtuka hawafahamu hatina ya vita wanauwa raia wasikuwa na hatia na Hamas ndiyo kwanza wanaanza vita Marekani wanaona wanakwenda kupata aibu duniani.

In a surprise move Biden ramped up pressure on Israel to rein in its bombing campaign in Gaza with his most scathing criticism since the October 7 terrorist attack by Hamas.
Biden also accused Israel of not wanting a long-term two-state solution, which would give Palestinians their own nation.
The rupture between Washington and Tel Aviv came amid a growing civilian death toll in Gaza as Israeli forces search for Hamas terrorists, and as Biden faces calls from his own party and allies to seek a ceasefire.
Speaking at a closed-door political fundraiser in Washington D.C. on Tuesday, Biden said: 'They're starting to lose that support by indiscriminate bombing that takes place.
'He (Netanyahu) has to change this government. This government in Israel is making it very difficult. Bibi's got a tough decision to make. This is the most conservative government in Israel's history.'

Biden said the Israeli government 'doesn't want a two-state solution' but that, ultimately, 'can't say no' to a Palestinian state.
He said: 'We have an opportunity to begin to unite the region...and they still want to do it. But we have to make sure that Bibi understands that he's got to make some moves to strengthen...you cannot say 'no Palestinian state'...That's going to be the hard part.'
Biden issued his blunt warning hours after Netanyahu flatly rejected American plans for the future of the region.
===============
Katika hali ya mshangao, Biden alizidisha shinikizo kwa Israeli kudhibiti kampeni yake ya kulipua mabomu huko Gaza na ukosoaji wake mkali zaidi tangu shambulio la kigaidi la Oktoba 7 na Hamas.
Biden pia aliishutumu Israel kwa kutotaka suluhu ya muda mrefu ya mataifa mawili, ambayo ingewapa Wapalestina taifa lao.
Mgawanyiko kati ya Washington na Tel Aviv ulikuja huku kukiwa na ongezeko la vifo vya raia huko Gaza wakati vikosi vya Israel vikiwatafuta magaidi wa Hamas, na huku Biden akikabiliana na wito kutoka kwa chama chake na washirika wake kutaka kusitishwa kwa mapigano.
Akizungumza katika harambee ya kuchangisha fedha za kisiasa mjini Washington D.C. siku ya Jumanne, Biden alisema: 'Wanaanza kupoteza uungwaji mkono huo kwa mashambulizi ya kiholela yanayotokea.
'Yeye (Netanyahu) anapaswa kubadilisha serikali hii. Serikali hii ya Israel inaifanya kuwa ngumu sana. Bibi ana uamuzi mgumu kufanya. Hii ndiyo serikali ya kihafidhina zaidi katika historia ya Israeli.'

Biden says Israel losing support around the world over Gaza bombing
 
Jamaa wameanza ku-pump maji kuanza kujaza kwenye mapango ya HAMAS. Sijui itakuwaje huko ndani?
 
Wanajeshi zaidi ya 2000 wa Israel wamepata ulemavu wa kudumu milele.

Huku zaidi ya 5000 wakiwa wamejeruhiwa vibaya.

Lakini ukweli unakinzana hii ni mujibu wa duru za jeshi la kizayuni lakini taarifa za ndani zinadai wana majeruhi wanajeshi zaidi ya elfu 15.

[emoji298]️Earlier, the Hebrew Yedioth Ahronoth announced 5,000 thousand injuries among the occupation soldiers, including 2,000 who were classified as disabled.

Screenshot_20231213-142633.jpg
 
War is a form of madness it's amazing how we spend so much time inventing devices to kill each other and so little time working on how to achieve peace.

Binadamu ni kiumbe Mpumbavu sana.

Unapoteza uhai au kubaki na kilema kisa kupigania ardhi iishiyo milele.
 
Professor Refaat Alareer, siku chache kabla ya kuuwawa kama inavyotokea kwa watoto, wananawake na wasiokuwa na hatia huko Gaza, aliandika utenzi:

".. ya kuwa na ikawe hadithi."

IMG_20231213_054837.jpg


Kifo kitu gani kutuzuia kupigania Katiba mpya? Kwa hakika na ikawe hadithi.

Apumzike kwa amani Prof. Refaat.

Majahiri hatimaye yalimwua kana kwamba yataishi milele.

Bure kabisa!

Zaidi kumhusu Profesa shahidi wa uovu huyu ni kama hivi:

Gaza professor and writer killed in airstrike, weeks after telling CNN he and his family had ‘nowhere else to go’ | CNN
 
..wito wa kupigania katiba mpya uwe kwa Watanzania wote.

..nadhani tunakosea tunapoamini jukumu hilo ni la Chadema peke yao.
 
Professor Refaat Alareer, siku chache kabla ya kuuwawa kama inavyotokea kwa watoto, wananawake na wasiokuwa na hatia huko Gaza, aliandika utenzi:

".. ya kuwa na ikawe hadithi."

View attachment 2841430

Kifo kitu gani kutuzuia kupigania Katiba mpya? Kwa hakika na ikawe hadithi.

Apumzike kwa amani Prof. Refaat.

Majahiri hatimaye yalimwua kana kwamba yataishi milele.

Bure kabisa!

Zaidi kumhusu Profesa shahidi wa uovu huyu ni kama hivi:

Gaza professor and writer killed in airstrike, weeks after telling CNN he and his family had ‘nowhere else to go’ | CNN
Kwa hiyo walivyosema Mbowe ni gaidi kumbe ni sahihi, km mnajilinganisha na HAMAS ambao ni magaidi that's your true colour
 
Back
Top Bottom