Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa mkuu.Mungu ni Mungu wa kutusaidia tunapokuwa shidani. Kitendo cha Israel kuuawa watoa misaada wa World Kitchen ni kitendo cha kishetani na kinadhihirisha kwamba jeshi la Israel ni la kishetani
Kwani mkuu Kila anayevaa kanzu ni Muislam? Usikalili Muislamu wa kweli hawezi kufanya unyanyasaji wa aina yoyote kinyume chake si Muislam rejea makundi ya kigaidi ni nani aliyeyaanzisha na ili iwaje,tambua waislam hatutendi uzuri ili utusifie ila ibaki uelewe soma misingi uuelewe usitangulizwe na mahaba ya kuishi gizani/kukosa dini ili uhalalishe uliyonayoKama unadhani wa Oman Wana huruma, hebu muulize msichana yoyote ambaye amefanya kazi za u housegirl Oman.
Mkuu. Wapi nimetaja uislam?Kwani mkuu Kila anayevaa kanzu ni Muislam? Usikalili Muislamu wa kweli hawezi kufanya unyanyasaji wa aina yoyote kinyume chake si Muislam rejea makundi ya kigaidi ni nani aliyeyaanzisha na ili iwaje,tambua waislam hatutendi uzuri ili utusifie ila ibaki uelewe soma misingi uuelewe usitangulizwe na mahaba ya kuishi gizani/kukosa dini ili uhalalishe uliyonayo
We mkolosai husikii raha mpk umtaje mufti kahtaan.Huwezi kuwalinganisha waajemi na vitu vya hovyo, yaani waarabu.
kahtaan
Wacha kuandika utumbo ewe maswara usie na elimu.Kama unadhani wa Oman Wana huruma, hebu muulize msichana yoyote ambaye amefanya kazi za u housegirl Oman.
ni wap hapaImekua ghafla sana hili tukio kwao
View attachment 2786244
Nawe ulikua house girl huko?Wacha kuandika utumbo ewe maswara usie na elimu.
Mimi mtanzania na nimeishi Oman.
Leta ushahidi hapa kutoka serikalini kuwa kuna house girl aliwahi kuteswa Oman.
Balozi wa Tanzania alifanya ziara kwa wale wote wenye kujirekodi unafiki akatoa taarifa kwenye vyombo vya habari kuwa walikuwa wote Waongo Wanaotafuta umaarufu wa kijinga kwenye mitandao.
Matokeo yake wakafukuzwa kazi.
Leo hii wako buza wameshapigwa mimba na wavuta bange.
Unafiki umewatia adabu .
Ile kula bure na kulala bure na mshahara 700,000 kwa mwezi imeisha fasta.
Israel bila misaada ni bora hata JanjaweedHamas wamewaua wanajeshi 14 wa Israel walivyowavamia kwenye kambi na kuwamaliza hao 14 papo hapo
Hili linajitokeza wakati ambapo hadi sasa Israel hajapata handaki hata moja la Hamas wala mateka hata mmoja hajaokolewa
Wakati huo huo Hezbollah wametangaza kuiangusha ndege ya kisasa na ghali ambazo haitumii rubani ya Israel ya Hermes 900 ambayo ndo ndege bora kabisa ambayo haitumii Rubani ya Israel ambapo pia hizi drone hamas walishazidaka kadhaa
Inaonekana vita bado ni mbichi, huko Telaviv hali ni mbaya watu wamemchoka netanyahu na utawala huo wa Israel unaenda kuangushwa na wananchi wake wenyewe ni suala la muda tu
My take:IDF mbele ya Hamas ni tepetepe tu hawawezi vita ya nchi kavuView attachment 2956494View attachment 2956493
Wanasavaivu kwa misaada na kupigana hawawezi zaidi ya kuua wamama na watoto tuIsrael bila misaada ni bora hata Janjaweed
Allah ndiyo kaangusha hahahahaaaaaHezb-Allah shot down the first $85 million Hermes 900 UAV since the beginning of the conflict.
Looks like they received some new toysView attachment 2956510