Hapo tunajidanganya warabu wanaojua ukweli wanalaumu hamas kwa kuleta madhira kwa wapalestina, huyo kijana wa Kiyahudi siku akichomwa kisu na hamas ndo ataelewa nini maana ya hamas, Israel imetoa condition ya kusitishwa vita endapo tu mateka wataachiwa, waliachia mateka tu siku hiyo hiyo vita inaisha ni kwa mjibu wa balozi wa Israel UN mr Girad. Badala ya kuandamana ili hamas waachie mateka waliobaki ili Israel isitishi vita na kuachia wapalestina waliokamatwa tangua 7 October, sasa hamas wamekuja na sharti lingine ili waachie mateka wanataka taifa la Palestina liiundwe kwanza, ngoma bado mbichi Israel hayuko tayari kusikia kitu hicho, swali la kujiuliza kwa nini wasiunde taifa moja ? Na hayo makabila 2 arabs na Jews wakaishi kwa amani ndani ya nchi moja?