LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
naweka alama apa nitarudi mkianza free lebanon wanawake wazee na watoto nk
Haha hebu wewe niambie kuwa mkweli Israel kafanya nini Gaza zaidi ya genocide na kuvunja majumba. Je kaivunja Hamasi?

Jeshi linalo pigana na wanamgambo hawafiki hata 10,000 yani wanakadiriwa wako 8000 to 9000 katumia 50, 000 tons ya silaha na Hamasi kila kukicha wanamla 8 au 11 au 20 au 30 wamekosa sana sana kwa siku ni wa 3 😄

Haya hilo ndio Jeshi likapigane na Hezbullah wanamgambo wake wako ready kuliko wa Hamasi na idadi yao ni 100,000+ ana silaha kuliko Hamasi labda mara 50, mipaka yake iko wazi, kuna makundi kutoka Yemen, Iraq, Pakistan, Iran na Afghanistan wapo ready kwenda Lebanon time Hezbullah anawahitajia.

Kumbuka Nasurlah kawambia kwa sasa hatuhitaji askari, sisi peke yetu tunaweza kumchafua Israel yeye na Baba yake US, huoni US anaogopa hi vita.

Israel mpaa leo kamshindwa Hamas anakimbia Rafah kaona kule anamalizwa, Hamasi kafungiwa chakula, silaha, maji, umeme mpaa hospital zinavunjwa ili wasitibiwe na kamshindwa iwe Hezbullah 😄
 
Mpaa sa ivi wanashauriana na US na UK na France lakini kila mmoja anaogopa moto utakao waka.

Iran, Afghanistan, Iraq, wanasema wataingia hi vita kama hao wakingia.

Iran anamuambia US kama Israel ni mwamba mwachie apigane na Hezbullah sisi wengine tubaki tunatazama nani mshindi 😄
US akifa ya hivyo Israel anafutika chap
 
Screenshot_20240626-115110.jpg

Ingawa vyombo vya habari vya serikali ya utawala wa Kizayuni vinapigana kufa na kupona kuchuja mno habari na kufifiliza athari za droni ya Hodhod ya Hizbullah ndani kabisa ya ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel lakini vinashindwa kuficha athari zake kubwa ikiwa ni pamoja na kiwewe kilichowakumba viongozi wa Israel.
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Tasnim, operesheni ya kishujaa ya ndege isiyo na rubani ya Hizbullah ya Lebanon droni ambayo imepewa jina la Hodhod, imezusha kihoro na woga mkono katika nyoyo za viongozi na wakazi wa utawala wa Kizayuni wakati huu ambapo mgogoro kati ya Hizbullah na utawala wa Kizayuni umefikia kiwango cha juu kabisa tokea tangu mwezi Oktoba 2023.
Hizbullah ya Lebanon iliupa mshituko mkubwa utawala wa Kizayuni kwa kusambaza video ya moja ya droni zake iliyopenya ndani kabisa ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni na kupiga picha katika masafa ya karibu mno; maeneo nyeti sana ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Wachambuzi mbalimbali wanasema kuwa, miongoni mwa ujumbe uliomo kwenye video za droni hiyo ya Hodhod ya Hizbullah ni kwamba kama vita vikubwa vitatokea, basi harakati hiyo ya Kiislamu itashambulia moja kwa moja maeneo hayo muhimu mno ya Israel kadiri utawala wa Kizayuni utakavyoshambulia maeneo ya Lebanon, na haitochunga wala kujali chochote kama ambavyo Israel nayo haichungi wala kujali chochote.
Sehemu ya kwanza ya video iliyotolewa na Hezbullah ya Lebanon ni mchanganyiko wa picha zilizorekodiwa na maelezo kuhusu maeneo zilipopigwa picha hizo. Cha kushangaza zaidi ni kuwa droni hiyo ya Hizbullah ilifanikiwa kuingia maeneo nyeti mno ya utawala wa Kizayuni na kupiga picha kadiri ilivyopenda bila ya kugunduliwa na vyombo vya kijasusi na vya ulinzi vya Israel ambayo inajigamba kuwa eti ina jeshi na teknolojia za kisasa kabisa zisizoshindika.
Hapa chini tumeweka baadhi ya picha zilizopigwa na droni hiyo ya Hodhod ya Hizbullah na kuzusha kiwewe na uogofyaji mkubwa katika safu za wakazi na viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
Screenshot_20240626-115132.jpg

Screenshot_20240626-115150.jpg

Screenshot_20240626-115208.jpg

Israel ndio maana anavumilia kuingia vitani na hezbollah sio mjinga kuvumilia makombora kule kaskazini kupgana na mtu anajua target zote ndani ya nchi yako ni hatari
 
View attachment 3026508

View attachment 3026509

View attachment 3026510
View attachment 3026511
Israel ndio maana anavumilia kuingia vitani na hezbollah sio mjinga kuvumilia makombora kule kaskazini kupgana na mtu anajua target zote ndani ya nchi yako ni hatari
Angalia Beirut itakavyokuwa 2025
Screenshot_20240626-122713_Chrome.jpg
 
Kwa hiyo wanawakumbushia Israeli enzi hizo za Yoshua wao wenyewe walipozizunguka kuta za Yeriko?
 
Nenda kampikie mumeo usije ukaachika,acha kujibishana na wanaume hapa JF
ukipigwa talaka usije kutusumbua hapa na uzi wako wa kuomba ushauri.
Dada ubaida naona unazidi kupovuka kuna yule british maulana alisema allah anachelewa kuwapa wapalestina ushindi kwasababu wanasapotiwa na mashoga kama wewe kweli naamini
Kafirimbwe mbele huko
 
Hao wayahudi unaowaabudu ndio machoko wakubwa kama hujui hilo,nimekushauri kampikie mumeo usije kupigwa talaka,au unaona raha kubishana na wanaume? mumeo hakutoshi?
 
Back
Top Bottom