LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Netanyahu pasua kabisa hao magaidi popote wanapojificha wewe fumua tu maana hata hao watoto wakikua watakuwa magaidi tu
 
Hii vita ya Mayahudi na Mapalestina duniani inafuatiliwa sana kama sisi tunavofuatilia Simba na Yanga
 
As a black man, honestly I feel nothing for Arabs, when ISIS was killing Christians, and non Muslim, Arabs, and Muslims all over the world, saw nothing wrong, and claimed it was justifiable,
Black are dying in Congo, Sudan, I feel for them, but for Arabs in middle East,! Collateral damage
Daah Kuna documentary moja niliona Al Jazeera dogo wa miaka mi4 alitekwa na ISIS wakawa wanaishi naye na kumfundisha mambo ya kikatili waliyokuwa wanayafanya yaani dogo bandidu hatari anapiga wenzake ovyo ovyo tu, mara akiona mdoli anamkata shingo yaani roho yake ishaathiriwa vibaya mno bahati nzuri baada ya kuokolewa yeye na familia yake alipata Dr wa saikolojia akawa anatibiwa na mwisho akabadilika kuwa kama watoto wenzake.
 
Kwa wale ambao hamjaiona ramani ya Great Israel nawashauri angalieni google hapo. Ukiandika Great israel map utaiona.

Ustadhi anatabiri kwamba Wazayuni hawajamaliza kwanza wapo namba moja. Wataendelea hadi ndoto ya Great israel itimie.

Saizi naona wanamuandama Prince MBs Kwamba ni Zionist ili wakitibue Saudi Arabia. Wakuu hii movie bado mbichiii sana.Kwa watakaoishi hadi kesho mtasimulia.

View: https://youtu.be/0YSp-HBq32g?si=A5EQ9TY0z7EKgvsu
 
Hamas hesabu zao za ovyo, wanaanzisha vita ambavyo hawawez pigana hata miez 5 tu, wale wangejikita kuboresha maisha ya raia wao tu
Chuki n kubwa kuliko wanavowapenda wake na watoto wao.

Ikifikia hapo ndo hapo unaanzisha vita na mwenye bunduki huku ukijua kinachofuata kwa familia yako ni kibaya kuliko ubaya wa unaemchukia
 
vitabu vya dini haviongelei kuhusu Great Israel
Wewe ndio unajua leo ? Hiyo imeshaongelewa kitambo sana mpaka kuanguka kwa dollar ya marekani ni suala la muda tu ....Kwa sababu huo wanaamini ujio wa Dajjal , kwa utabiri tu ni kwamba atatokea mashariki ya kati ..

Nikupe tu dondoo ni ishu ya watu kuhifadhi dhahabu kwa pupa kama ilivyo sasa mpaka Iran .

Soma vizuri .
 
Kwaiyo mwisho itakuaje??
apo iran imeingiaje
 
Hamas wanapigania uhuru kwene ardhi ya watu??
ewe kizazi cha nyoka
ardhi ya watu kivipi ?
waisrael wamelaaniwa wale utajuaje kama mababu zao waliuza ardhi kwa rushwa kama alivofanya babu yao yuda baada ya kulaaniwa na sasa wanairudisha kwa nguvu kwa msaada wa wakoloni Nato.
wala rushwa ni wala rushwa ndio maana hawaogopi kuua watoto na kina mama.
 
Unaweza ukaniambia mataifa ambayo kiasili ni ya kiarabu ukilinganisha na leo ambapo Waarabu wamesambaa na kutwaa ardhi North africa ??
sasa apo nani wenye uchu wa ardhi
 
Kwaiyo mwisho itakuaje??
apo iran imeingiaje
kwa Iran ili aendelee kuwa juu lazima awe na reserve ya gold ya kutosha , ndicho anachofanya sasa kusaka gold .

Hapo ni katika utabiri wa siku za mwisho , kuja kwa mtu atakayejifanya yeye ni Mungu
 
Back
Top Bottom