Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
Wapi hiyo habari ya watu 100 kufa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umekimbia kama vile umebanwa na tumbo la kuhara. Hebu lete habari kwa kina. Acha uwoga.Wadau hamjamboni nyote?
Mayahudi wenye hasira na msimamo mkali wamecharuka Kwa kuvamia na kuchoma moto nyumba za Wapalestina huku oi
Daah Kuna documentary moja niliona Al Jazeera dogo wa miaka mi4 alitekwa na ISIS wakawa wanaishi naye na kumfundisha mambo ya kikatili waliyokuwa wanayafanya yaani dogo bandidu hatari anapiga wenzake ovyo ovyo tu, mara akiona mdoli anamkata shingo yaani roho yake ishaathiriwa vibaya mno bahati nzuri baada ya kuokolewa yeye na familia yake alipata Dr wa saikolojia akawa anatibiwa na mwisho akabadilika kuwa kama watoto wenzake.As a black man, honestly I feel nothing for Arabs, when ISIS was killing Christians, and non Muslim, Arabs, and Muslims all over the world, saw nothing wrong, and claimed it was justifiable,
Black are dying in Congo, Sudan, I feel for them, but for Arabs in middle East,! Collateral damage
Chuki n kubwa kuliko wanavowapenda wake na watoto wao.Hamas hesabu zao za ovyo, wanaanzisha vita ambavyo hawawez pigana hata miez 5 tu, wale wangejikita kuboresha maisha ya raia wao tu
we akili kisoda hamas anapambana na NATO pamoja na magaidi israel wanapigania uhuru wao hesabu gani hizo wamefeli hamasi wewe ndio ulipata F hesabu form four tulia.Hamas hesabu zao za ovyo, wanaanzisha vita ambavyo hawawez pigana hata miez 5 tu, wale wangejikita kuboresha maisha ya raia wao tu
vitabu vya dini haviongelei kuhusu Great IsraelVitabu vya dini ndio vinasema hivyo sio ustadhi ...Kuvunjwa kwa msikiti pale jerusalem then kujengwa hekalu kubwa , kuchinjwa kwa ng'ombe mwekundu .
Hamas wanapigania uhuru kwene ardhi ya watu??we akili kisoda hamas anapambana na NATO pamoja na magaidi israel wanapigania uhuru wao hesabu gani hizo wamefeli hamasi wewe ndio ulipata F hesabu form four tulia.
Wewe ndio unajua leo ? Hiyo imeshaongelewa kitambo sana mpaka kuanguka kwa dollar ya marekani ni suala la muda tu ....Kwa sababu huo wanaamini ujio wa Dajjal , kwa utabiri tu ni kwamba atatokea mashariki ya kati ..vitabu vya dini haviongelei kuhusu Great Israel
We kumbe ni mwehu.Hamas wanapigania uhuru kwene ardhi ya watu??
Mm au ww!We kumbe ni mwehu.
Dini imekuwehusha.
Kwaiyo mwisho itakuaje??Wewe ndio unajua leo ? Hiyo imeshaongelewa kitambo sana mpaka kuanguka kwa dollar ya marekani ni suala la muda tu ....Kwa sababu huo wanaamini ujio wa Dajjal , kwa utabiri tu ni kwamba atatokea mashariki ya kati ..
Nikupe tu dondoo ni ishu ya watu kuhifadhi dhahabu kwa pupa kama ilivyo sasa mpaka Iran .
Soma vizuri .
ewe kizazi cha nyokaHamas wanapigania uhuru kwene ardhi ya watu??
Unaweza ukaniambia mataifa ambayo kiasili ni ya kiarabu ukilinganisha na leo ambapo Waarabu wamesambaa na kutwaa ardhi North africa ??ewe kizazi cha nyoka
ardhi ya watu kivipi ?
waisrael wamelaaniwa wale utajuaje kama mababu zao waliuza ardhi kwa rushwa kama alivofanya babu yao yuda baada ya kulaaniwa na sasa wanairudisha kwa nguvu kwa msaada wa wakoloni Nato.
wala rushwa ni wala rushwa ndio maana hawaogopi kuua watoto na kina mama.
kwa Iran ili aendelee kuwa juu lazima awe na reserve ya gold ya kutosha , ndicho anachofanya sasa kusaka gold .Kwaiyo mwisho itakuaje??
apo iran imeingiaje