LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Na bado Kudadadeki zao mbona Watamkoma Netanyahu na Waisraeli hadi wenyewe Waombe Poo Kwao na Kutulia.
FB_IMG_17261580181651821.jpg
 
hahahahahha!so unamkubali sana mwamba anavyowanyoosha hao wapuuzi!yaani wamemchokoza mwenyewe wanapigwa wanalialia!wakati anachokozwa wafuasi wao walikaa kimya, kaanza kuwachapa wafuasi wao (wengine wako huku tz) wanapiga mayowe kama WAJINGA
Walikua wanawasifia ,majamaa ukiyaacha yanajiona mamiamba sana Iran ana intelligence kali sana level za US na Russia ndio maana hatoi maboko yakindezi ila anawajaza tu mapimbi yakiarabu nayo yanajaa kwenye mfumo
 
Walikua wanawasifia ,majamaa ukiyaacha yanajiona mamiamba sana Iran ana intelligence kali sana level za US na Russia ndio maana hatoi maboko yakindezi ila anawajaza tu mapimbi yakiarabu nayo yanajaa kwenye mfumo
hahahhaa si majinga!ndo maana yanajazwa upepo yanajaa!matokeo yake yanasababisha mauaji kwa watu wasio na hatia!HAMAS WAPUUZI SANA
 
Uje na Kiingereza chako hiki Uchwara cha kwa Ras Simba hapo Mwenge Mapambano au wapi, ila Netanyahu atawanyoosha tu.
Kwani ndio leo Israel imeanza kupigana Hezbollah! Israel ina uwezo mkubwa kijeshi kuliko hata baadhi ya nchi za ulaya, sasa mbona imeshindwa kuwamaliza. Akili za kuambiwa changanya na za kwako. By the way, is Hamas done yet?
 
NO ANY CEASEFIRE WITH HEZBOLLAH AND LEBANON UNTIL VICTORY IS ACHIEVED

Shikamoo Benjamin Netanyahu na Waisraeli wote. Yaani nawakubali mnavyonichapia hawa Wapuuzi hadi raha sana.

Kudadadeki.
Siyo Israel [emoji1134], ni Marekani yupo kazini mkuu.
Bila U.S.A kumsaidia Israel kwa vifaa vya kisasa vya kijeshi...hatuboi hapo.

Nb.Pitia baheti ya USA [emoji631] ni namna gani inaisaidia Israel [emoji1134].

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Anabweka sababu kuna wanaume wanamkingia kifua na kutwa kuchwa yuko huko : US, UK, FRANCE,Germany kuna hawa majirani pia kupitia hao wanaume wako kimya (Jordan, Saudi Arabia, Egypt).Kinyume cha hapo hana ubavu wa kuropoka hivyo.
 
Iran's Supreme Leader moved to secure location under heavy guard

September 28, 2024
Iran's Supreme Leader Moved to Secure Location Under Heavy Guard


The Ayatollah Ali Khamenei, Supreme Leader of Iran, has been moved to a Secure Location under heavy guard. This is being widely interpreted as a prelude to Iran launching attacks upon Israel in retaliation for the air-strike-murder of Hezballah Leader Sayyad Hassan Nasrallah in Beirut, Lebanon, yesterday.
Israeli Air Force planes launched a barbaric strike upon six (6) apartment blocks in downtown Beirut, Lebanon, using ground-penetrating "Bunker Buster" bombs at either 4,000 pounds or 2,000 pounds, each.
Entire apartment buildings collapsed into in piles of dusty rubble, with fires burning beneath them underground.
Hundreds of innocent families who lived in those apartment buildings are either trapped in the rubble, dying - or already dead.
This latest act of war by Israel, against Lebanon, has put the entire Middle East on the brink of war.
Israel has been waging undeclared war upon Lebanon for over a week, with air strikes against all manner of civilian targets, which Israel claims - without evidence or proof - are Hezballah weapons locations.
The air strikes came after Israel detonated pocket-pagers, cell phones, and walkie-talkies they sabotaged with explosives placed inside battery packs.
The Israeli savages, who exhibit the behavior of lowly, dirty, murderous, beasts, continue their attacks upon people in several neighboring countries, who object to the ongoing Israeli theft of Palestinian homes and land.
 
Back
Top Bottom