Yanayojiri ziara za Ndugu Paul Makonda maeneo mbalimbali nchini

Yanayojiri ziara za Ndugu Paul Makonda maeneo mbalimbali nchini

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
download (5).jpeg



Karibu!
Katika uzi huu tujadili yanayojiri moja kwa moja ziara za Muenezi Taifa Ndugu Paul Makonda. Tuanze na Makambako alipokuwepo siku ya jana 09 /02/2024.

 
Hakika Chama kimepata jembe katika wakati sahihi

CDE Paul C. Makonda ndio nembo ya Chama kwa Sasa.
 
Back
Top Bottom