Yanayojiri ziara za Ndugu Paul Makonda maeneo mbalimbali nchini

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227



Karibu!
Katika uzi huu tujadili yanayojiri moja kwa moja ziara za Muenezi Taifa Ndugu Paul Makonda. Tuanze na Makambako alipokuwepo siku ya jana 09 /02/2024.

Your browser is not able to display this video.
 
Hakika Chama kimepata jembe katika wakati sahihi

CDE Paul C. Makonda ndio nembo ya Chama kwa Sasa.
 
"Collective Imbecilization" Seithy chachege

Wengi mmeingia kwenye hoja ya Prof huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…