Mji gani unaupenda hapa Tanzania?Mipango miji ni zero
Tanga kidogo kumepangikaMji gani unaupenda hapa Tanzania?
kwakweli kahama ipo juu sanaMijadala ya sifa na mapambio imeku mingi sana huku mitandaoni kuhusu Kahama, je yanayo ongelewa Yanauhalisia kweli?
Subiri wamalize kujenga hiyo mpya!Mbona stendi yake ni ya kawaida tu nilipita hpo 2023