Kuna mambo yakujifunza kwa mataifa yetu ya africa na kuyapigia kelele kama watu mnavyopiga kelele kwenye corona..
Dunia isikie uonevu mkubwa unaofanywa na vyombo vya dora kwa kukiuka haki za kibinadam.
Ukwel ni kuwa Sijawah ona rais anaekemea hadharan na kuleta mabadiriko kwenye vyombo vya dora..
Zaidi wanapoingia madarakani hutumia vyombo vya dora kulinda masrah yao..
Tunapaswa kuchagua na kupata viongz ambao wataweza ondoa mifumo hii ya kidikteta kwa polisi na majeshi mangine..mitazamo ibadirike.
Bila kufanya hivyo, basi
Haki usawa na maendeleo katika jamii yoyote iwe ndogo au kubwa haviwez kuwepo,na raia hawawez furahia mataifa yao.