Yanayotokea Kenya ni aibu tupu, tazameni hii video

Kutoka 300 hadi 37. 😀
Hahahaha, katiba mpya?, mavi ya kuku ya katiba mpya.Uchaguzi uliopita chini ya katiba mpya, wakenya 300 waliuliwa na kwa kupigwa risasi na polisi, hiyo katiba mpya inasaidia nini?
Tangu Kenya imepata uhuru wake, imekua kinara wa police brutality, hakuna tofauti kati ya kipindi cha Moi wala hiki cha Uhuru Kenyatta, Kenya imeendelea kubaki kileleni hapa Afrika, huo unafuu unaosema ni upi?.
Hizo kelele na kupinga hivi vitendo mnazopiga zinasaidia nini Kama kila mwaka Kenya inaendelea kushika namba moja?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamia Tanzania Kaka...what we see in Kenya is shame.... citizens are poor and landless, no food security, no assurance of their dail meals and yet you lock them in houses by 7pm....shame!!!
Njoo nikupe shamba Tanzania free...in 2 years you will be a different person.Wakenya waliohamia TZ saivi wamesahau English wanahesabu pesa Tu.Usisahau matajiri wa East Africa wanapatikana Tanzania.Take a serious step bro
This is very primitive behaviour by our police. Kenyan police is one of the most brutal in the world. Such things make me hate our police completely. Hii ni nchi ya ujinga sana. Polisi wanatreat wananchi kama mbwa. Wanapiga wanawake rungu? Wanawapiga 2 hours before curfew? Halafu rais Kenyatta atanyamaza, hataongea kuhusu huu unyama. Hii nchi ni ya ujinga sana. I am ashamed to be a Kenyan.

Asante kwa ukarimu wako. Mimi kwa bahati ya mwenyezi Mungu ni Mkenya anayeishi maisha rahisi ambayo haijakuwa na ukali mwingi. Masomo nimeyapata hadi nje ya nchi. Tanzania napanga kuja kutembea hivi karibuni. Nyie mna undugu na umoja na hilo ni jambo nzuri sana. Msipoteze ukarimu wenu. Huwa nahisi huzuni ninapoona jinsi polisi wetu wanavyomistreat watu wetu. Lakini hakuna jambo ninaloweza kufanya kuzuia jambo hili.
 
Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is very primitive behaviour by our police. Kenyan police is one of the most brutal in the world. Such things make me hate our police completely. Hii ni nchi ya ujinga sana. Polisi wanatreat wananchi kama mbwa. Wanapiga wanawake rungu? Wanawapiga 2 hours before curfew? Halafu rais Kenyatta atanyamaza, hataongea kuhusu huu unyama. Hii nchi ni ya ujinga sana. I am ashamed to be a Kenyan.
1,000 pages constitution inasemaje kuhusu hili.
 
Back
Top Bottom