Yusuphsabury
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 307
- 114
Hatari sana !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jadili haya masuala ukitumia facts, sio mihemko ya ovyo. Maanake hujui historia ya Kenya enzi hizo, wakati wa miaka 24 ya udikteta wa Moi. Ndio yale yale mnayoyapitia sasa hivi na wasiojulikana na swag zao za kupotezana na kuwanyamazisha.
Siishi nje ya nchi naishi hapa hapa Tanzania naelewa vizuri mode of operation, sihitaji ripoti iliyoandikwa na mtu mwingine utadhani mimi siko TanzaniaOnyesha ripoti yoyote ile ya kimataifa ambapo polisi Tanzania imetajwa kuwa katika top ten in police killings or brutality
Kenya tops Africa in police killings
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, hahahaha,. The last kicks of a dying nyang'au.Buda hao walirusha mawe GSU ndio manake ikabidi walalalie kichapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekuelewa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siishi nje ya nchi naishi hapa hapa Tanzania naelewa vizuri mode of operation, sihitaji ripoti iliyoandikwa na mtu mwingine utadhani mimi siko Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui idadi kamili ila kunao ambao walipoteza maisha yao wakati wa vurugu za uchaguzi. Alafu sio eti wote walipigwa risasi na polisi. Wakati wa dikteta Moi hali ilikuwa mbaya zaidi ya unavodhania. Ni wangapi wamepigwa risasi na polisi au kupotezwa Tz tangia Jiwe lenu liingie ikulu? Nipe jibu kama ni kweli kwamba unajali kuhusu haki za kibinadamu.How many people lost their lives during the previous general elections in Kenya?
Sent using Jamii Forums mobile app
LOL porojo tu, so saivi moi kafufuka na karudi ikulu?Kwahivyo unadhani wakenya wanaunga mkono upumbavu kama huo wa ukiukaji wa haki zao? Najua hujashiriki kwenye maandamano hata siku moja maishani mwako, kwahivyo mitazamo yetu itakuwa ni tofauti sana. Vitu kama hivyo ni vya kukemewa iwe ni nchini Kenya, Uganda au Tanzania. Huwa nawashangaa sana mnapowashabikia polisi wenu kila mara wanapowadhulumu wapinzani nchini Tz. Leo kwa unafiki wenu mpo hapa mkikemea. Kwa taarifa yako, matukio kama hayo yalikuwa ya kawaida sana zamani wakati wa utawala wa dikteta Moi. Ila baada ya katiba mpya na kubuniwa kwa shirika huru la kuchunguza vitengo vya usalama angalau kuna afueni na haki huwa inapatikana mwishowe kupitia mahakama. Vipi kuhusu Tz, polisi kutembeza virungu na kuwakung'uta huwa ni haki yao?
Zaidi ya Aquilina Hakuna raia mwingine aliepoteza hata unywele awamu hii katika makabiliano ya police na wananchi.Sijui idadi kamili ila kunao ambao walipoteza maisha yao wakati wa vurugu za uchaguzi. Alafu sio eti wote walipigwa risasi na polisi. Wakati wa dikteta Moi hali ilikuwa mbaya zaidi ya unavodhania. Ni wangapi wamepigwa risasi na polisi au kupotezwa Tz tangia Jiwe lenu liingie ikulu? Nipe jibu kama ni kweli kwamba unajali kuhusu haki za kibinadamu.
This is the lowest number At least 37 people were killed in election violenceSijui idadi kamili ila kunao ambao walipoteza maisha yao wakati wa vurugu za uchaguzi. Alafu sio eti wote walipigwa risasi na polisi. Wakati wa dikteta Moi hali ilikuwa mbaya zaidi ya unavodhania. Ni wangapi wamepigwa risasi na polisi au kupotezwa Tz tangia Jiwe lenu liingie ikulu? Nipe jibu kama ni kweli kwamba unajali kuhusu haki za kibinadamu.
[emoji1][emoji1][emoji1] Nimeuliza swali tofauti sana, ila unavojitia hamnazo inaeleza yote ambayo mwenye akili anayajua.Zaidi ya Aquilina Hakuna raia mwingine aliepoteza hata unywele awamu hii katika makabiliano ya police na wananchi.
Kama wapo leta ushahidi.