Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Usiseme viongozi wa Kenya sema viongozi wa Africa, we unadhani lock down ikitangazwa hapa bongo hayatatokea hayo yanayotokea Kenya? Tena ya hapa yatakuwa makubwa kuliko Kenya.Sasa hawa watu wanapigwa kwa kosa gani?, mbona hao wamama hawajafanya kosa lolote?.
Tatizo la viongozi wa Kenya hawana uwezo kabisa, wanakurupuka Sana bila maandalizi yoyote, miradi yao karibu yote inashindikana kwa sababu ya kukosa maandalizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi la wananchi, polisi, JKT, Magereza wote wataingia mtaani kupiga watu na amri hiyo itatolewa na mamlaka za juu maana sisi wabongo pia ni wabishi na wajuaji bila kipigo lock down haitekelezeki[emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app