Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
[emoji1][emoji1][emoji1] Nyani haoni kundule kweli. Ila ni taswira mbaya sana kutoka kwa Kenya Police. Wazo lenyewe la curfew lipo sawa, maanake inasemekana kwamba wakenya wanazingatia maagizo ya wizara ya afya mchana, lakini giza likiingia wanarudi kwenye mazoea yao ya kawaida. Natumai watalegeza muda iwe ni kutoka saa 2 au 3 usiku. Nachojua kwa uhakika ni kwamba kamanda wa polisi na vijana wake waliohusika kwenye tukio hilo bovu lazima watawajibika. Hivi karibuni, mbele ya shirika huru la kuchunguza 'conduct' ya Kenya Police, yaani IPOA(Independent Police Oversight Authority).
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096