Yanayotokea Kenya ni aibu tupu, tazameni hii video

Kutoka 300 hadi 37. 😀
 
Hamia Tanzania Kaka...what we see in Kenya is shame.... citizens are poor and landless, no food security, no assurance of their dail meals and yet you lock them in houses by 7pm....shame!!!
Njoo nikupe shamba Tanzania free...in 2 years you will be a different person.Wakenya waliohamia TZ saivi wamesahau English wanahesabu pesa Tu.Usisahau matajiri wa East Africa wanapatikana Tanzania.Take a serious step bro
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ukarimu wako. Mimi kwa bahati ya mwenyezi Mungu ni Mkenya anayeishi maisha rahisi ambayo haijakuwa na ukali mwingi. Masomo nimeyapata hadi nje ya nchi. Tanzania napanga kuja kutembea hivi karibuni. Nyie mna undugu na umoja na hilo ni jambo nzuri sana. Msipoteze ukarimu wenu. Huwa nahisi huzuni ninapoona jinsi polisi wetu wanavyomistreat watu wetu. Lakini hakuna jambo ninaloweza kufanya kuzuia jambo hili.
 
Kenya
https://www.facebook.com/
Sent using Jamii Forums mobile app
 
1,000 pages constitution inasemaje kuhusu hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…