Uchaguzi 2020 Yanayotokea Tanzania Leo yalitokea Indonesia 1998

Indonesia ilikuwa na utawala uliojulikana kama New Order ulioendeshwa na Rais Surharto. New Order ili dumu madarakani kwa miongo mitatu, watawala walikuwa wamepumzika na hawakuangalia tena matatizo ya wananchi walala hoi.

Mwaka 1998 upinzani ulifanya campeni ya nguvu. Pamoja na New Order kuwa na jeshi, polisi na Usalama wa Taifa, ushindi wa upinzani ulikuwa mkubwa mno.

Mabadiliko makubwa ya kiutawala yalifanywa na Upinzani ulipoingia madarakani. Haikua kazi rahisi na walipitia mwaka mzima wa mtikisiko wa kuichumi. Baada ya hapo mpaka sasa hali ya siasa a uchumi iko shwari.

Mnaopenda kusoma zaidi nendeni Wikipedia msome The history of Indonesia.
Mmmmmmhmn hapo kwenye NEW WORLD ORDER (NWO) nina doubt sana kufananishwa na hilo tukio la Indonesia
 
Indonesia is a republic with a presidential system. Following the fall of the New Order in 1998, political and governmental structures have undergone sweeping reforms, with four constitutional amendments revamping the executive, legislative and judicial branches.[110] Chief among them is the delegation of power and authority to various regional entities while remaining a unitary state.[111] The President of Indonesia is the head of state and head of government, commander-in-chief of the Indonesian National Armed Forces (Tentara Nasional Indonesia, TNI), and the director of domestic governance, policy-making, and foreign affairs. The president may serve a maximum of two consecutive five-year terms.[112]
 
What is all this?!
 
Endelea kujifariji wakati kuna wakulima, Askari, watumishi wa umma, vijana kila mmoja amekata tamaa ya maisha katika serikali hii.
Umeitaja makundi yote, cha ajabu hao wanaompenda na watakao mpigia Kura wako kwenye kundi lipi sasa mkuu
 
Indonesia ilikuwa na utawala uliojulikana kama The New Order ulioendeshwa na Rais Surharto. New Order ili dumu madarakani kwa miongo mitatu, watawala walikuwa wamepumzika na hawakuangalia tena matatizo ya wananchi walala hoi.

Mwaka 1998 upinzani ulifanya campeni ya nguvu. Pamoja na The New Order kuwa na jeshi, polisi na Usalama wa Taifa, ushindi wa upinzani ulikuwa mkubwa mno.

Mabadiliko makubwa ya kiutawala yalifanywa na Upinzani ulipoingia madarakani. Haikua kazi rahisi na walipitia mwaka mzima wa mtikisiko wa kuichumi. Baada ya hapo mpaka sasa hali ya siasa a uchumi iko shwari.

Mnaopenda kusoma zaidi nendeni Wikipedia msome The history of Indonesia.
MAGUFULI FOR 20
 
Ccm mnatia huruma sana hamtaki kabisa kukubaliana na hali halisi
Najua siku hiyo sababu haitakuwa ni nyingine zaidi ya kusema, Umati wote ule Kura hazikutosha? Tumeibiwa! Kumbe Umati ni Umati wa watu wa mijini Wala mayai chipsi hawawezi kuvumilia hata foleni ya kwenda kupiga Kura

Wengine hawana hata kichinjio, basi ni kelele, wengine husema wanapoteza muda Wao kupanga foleni

Nikukumbushe mkuu, wapiga Kura wako vijini hawajui hata kwenye mitandao wanaongea nini, wanajua CCM Tu basi, hakuna cha Tundu na mpaka leo kuna wengine hawajui kama kuna mtu nchii hii amewahi kushambuliwa na wasiojulikana, hao ndio watakaoleta kishindo cha JPM na wamachinga wote nchini
 
yote hayo ila Magufuli atapita tuu tena kwa kishindo cha muhimu tujipange mwaka ujao wa uchaguzi
 
maneno ya hovyo ndo faraja yenu bt nikuhakikishie kua uzalendo ni bora zaidi kuliko kutumika na mabeberu.
Sasa nani mzalendo na nani beberu? Weka wazi na sababu zako za kina sio kubwabwaja tuu ujinga.
Hatuwezi kuendeshwa na propaganda za kitoto nchi nzima huku maisha ya watu yanadorola tunaishia kuonyeshwa projects zilizo jaa upigaji na hazina impact ya moja kwa moja kwa raia kisingizio uzalendo.
WIZI MTUPU
 
kama unataka serikali ikutengenezee maisha utazeeka bure.
 
wapinzani wa tanzania wao wanajua upinzani kupinga ovyo tu, watizame miradi mikubwa aloianzisha rais hadi kenya wanaweweseka maana wanajua ikikamilika itatupa mapato makubwa yatakayotufanya tushike usukani wa uchumi EAC, bt mbuzi hawa wao nikutaka siasa za kuwafurahisha waume zao mabeberu tu.
Umeona. Unakuta kuna mbuzi, amekaa anasubiri kula ugali wa kengele, hajawahi hata kutoka nje ya Wilaya anayoishi alafu anadai anataka mabadiliko. Ukimuuliza mabadiliko yapi anakuambia, Uhuru wa habari na haki za binadamu.
 
kuna mizigo humu ila inabidi tuwavumilie tu mkuu.
 
I look at Zambia, Malawi waliweza upinzani kuchukua nchi historia ikabadilika! Kwa Tanzania yetu shida ni unafiki watu hawana misimamo thabiti! Imagine habari za wapinzani hazipewi coverage ya kutosha wakifanya mema! Mabaya ndio yanatangazwa kwa nguvu! It takes alot yaan the journey is not eas s at all na wenye mioyo hiyo wachache kina Lissu wengine mamluki tu!
 
maneno ya hovyo ndo faraja yenu bt nikuhakikishie kua uzalendo ni bora zaidi kuliko kutumika na mabeberu.
CCM uzalendo ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani, CCM wanawaita wanaume wenzao mabeberu utazani wao ni mbuzi jike
 
I look at Zambia, Malawi waliweza upinzani kuchukua nchi historia ikabadilika! Kwa Tanzania yetu shida ni unafiki watu hawana misimamo thabiti! Imagine habari za wapinzani hazipewi coverage ya kutosha wakifanya mema! Mabaya ndio yanatangazwa kwa nguvu! It takes alot yaan the journey is not eas s at all na wenye mioyo hiyo wachache kina Lissu wengine mamluki tu!
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho, sasa ubaya wa CCM unaenda mwisho kupitia kamati kuu Dodoma kuvurunda kwenye mchujo wakigawe chama wale wote watakaonewa kifikira moyoni watahamia upinzani ingawa kimavazi sura kwa juu watabakia CCM kwa kuogopa kufukuzwa CCM kisha kubambikiwa kesi yeyote
 
Kura za Lissu zitatosha na kubaki tumpe jamaa wa CCM waondolee aibu
 
Back
Top Bottom