Yanga 2-0 Azam FC | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Huyu juma shabani kapiga off target lakini alivyo kenua
 
Leo kutakuwa na Mtinange wa Kukata na Shoka kati Yanga na Azam FC, mechi hii itaanza majira ya saa 1:00 usiku Uwanja wa Benjamini Mkapa

Tunajua ugumu wa game hii ya leo kizingati timu hizi zinapokutana hupigwa mpira wa nguvu sana.
Azam fc msiwaache hawa manyani fc piga hao piga matopolo piga pigaaaaaaa
 
A
Leo kutakuwa na Mtinange wa Kukata na Shoka kati Yanga na Azam FC, mechi hii itaanza majira ya saa 1:00 usiku Uwanja wa Benjamini Mkapa

Tunajua ugumu wa game hii ya leo kizingati timu hizi zinapokutana hupigwa mpira wa nguvu sana.
Azam wanaupiga mwingi aiseee
 
Back
Top Bottom