Yanga 2-0 Azam FC | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Marefa hua wanatafsiri sheria wajisikiavyo wao sio watakavyo mashabiki. Nakumbuka mechi ya Simba vs Galaxy kwa Mkapa,. Mchezaji wa Galaxy aliyekuwa amemiliki mpira alichezewa faulo dhhiri shahiri kabisa lakini refa akapeta mwisho wa siku Simba ikapata goli kwa kunufaika na tukio lile.
 
Sheria gani ambayo inamruhusu refa kupeta penalty ambayo mchezaji kachezewa rough kwenye penalty box?

Ni sheria gani ambayo refa ina mruhusu kuweka goal kona?
 
Afu ngoja niwaskie wachambuzi kama wataikataa ile penalty
 
Sheria gani ambayo inamruhusu refa kupeta penalty ambayo mchezaji kachezewa rough kwenye penalty box?

Ni sheria gani ambayo refa ina mruhusu kuweka goal kona?
Kwahiyo kila tukio la mchezaji kudondoshwa chini ni faulo?
 
Angalieni uchambuzi huu, na namna picha za marejeo zinavyoonesha nyie ambao mnasema haikua penalty
 
Azam ni watoto wadogo sana. Bado wananyonya hawatuwezi hao.Tumeishawakojolea tayari bao moja. Tukirudi tutawapiga mabao mawili ya double ili yawe mabao matatu.
 
Yanga inaonesha kwamba hata mpira huhitaji kipaji ukikosa connection umekosa kigezo cha msingi
 
Back
Top Bottom